Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

Hiyo ni aina ya ubakaji inaitwa Marital Rape. Yani unalazimishwa kushiriki na mwezi wako bila kupenda ili mradi aridhike.
Umesoma vizuri maada? Uliposoma wanandoa ni wapi! Ungesema tu kuna aina ya ubakaji nyingine ndo ukayitaja
 
Mjinga si unaachana nae kama wa ndani?! Wapo ambao wapo kwenye mood full time. Unahangaika na hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…