Lema zaidi ya Arusha hamna anayemsikiliza labda wachaga wenzake.
Hauwezi kumfananisha Zitto na Lema Zitto yupo kitaifa Lema yupo na maandamano ya Arusha.
Pasco, wakati huu wachaMungu wamezama katika maombi wakimlilia Mola atupatie Rais BORA! Huyu Zitto yumo TANURUNI na akivuka salama yeye ndiye Rais ajaye, utamsikia tu Lubuva kwa uwezo wa Mungu anaahirisha uchaguzi ili matakwa ya KATIBA yatimilizwe!
ccm ilivoona JK kawa rais basi yaan kila mtu kwao anaweza kuwa Rais. Utafikiri Urais wa Tanzania ni ukiranja wa chekecheaKichaa huwa kinaanza kwa namna kama hii. Si afadhali ungeota kuwa wewe mwenyewe umekuwa Rais?
Kwa hiyo huwa unamsikiliza Zito?
Teh teh teh
Ally kombo umenifurahisha sana.
Hivi huyu jamaa laana ya usaliti wa kanisa na mke wake itamuacha kweli??
Lione kwanza na gauni lake hilo nani ampe Urais wa nchi hii??
Teh teh teh
Duh mkuu ligi ya Zitto na Mengi hujui nani atashindwa??
L
Mswahili....mpuuzi na masikini Kama Zitto anaweza shindana na Mengi??
He is just a smaller dog !!!!
Amekwisha!!!!!!
ccm ilivoona JK kawa rais basi yaan kila mtu kwao anaweza kuwa Rais. Utafikiri Urais wa Tanzania ni ukiranja wa chekechea
Wakati woote huo Taasisi za Ulinzi na Usalama za Serikali zimeenda likizo !
Akili za kichaga ni kama za kikristo, ananunua picha dukani na kuiabudu !
Lusungo narudia tena, najua wivu wa kimasikini unakusumbua sababu unatamani Kuwa Kamna Zitto wakati huna hata 1/100 ya sifa ya kumfikia Zitto. Uwezo wa Zitto kielimu,kimaisha na kisiasa ni zaidi yako wewe na familia yako yote. Wewe uwezo wako ni fitina na majungu tu. Nakufahamu!
msee ya kiraracha sku hizo ipo beneti sana na jk. yan watu wa hovyo hovyo ndo mnawasogeza karibu na jk ili wazidi kumpotosha. lakin UKAWA tutamnyoosha kule vunjo mwaka huu. yeye na mamvi wanatakiwa wakakamue maziwa ya ngombe zao wajinywee chai, WAMESHAJICHOKEA, waache vijana wa cdm waongoze nchi.Hata wachaga walikuwa wanamsukuma Mrema huku wakishangilia, Raisss....Raisss....Raisss ! Ikabakia hivyo hivyo !
udini utakumaliza tu. ni heri kuabudi picha isiyosema lolote kuliko kuabudi waganga wa kienyeji wanaokuambia ukawaue albino na kutoa makafara ya damu ili ushinde uchaguzi. wakristo huwa wanakemea majini, hawayakaribishi, wala hakuna jini malaika.....ukija na jini lako litakemewa kwa Jina la Yesu Kristu Mwana Kondoo, Bwana na Mwokozi wa wanadamu WOTE akiwemo Ally Kombo.....
ahahahahahahaaaa, kunilipua huwezi, ukitaka lipua JF na moshidaa alipukie mumo.
..Kiroba na kitimoto huwa vinashuka bei sana nyakati za mfungo wa ramazani. ngojea sasa mfungo ukiisha, weeeee.....Kumbe una abudu mwana kondoo !?....akili zenu zinatosha kutambua taste ya kiroba tu !
Waua Albino wote ni wagalatia, sisi neema tunaitegemea kwa Allah SWT pekee !
babu anatafuta kick,ngoja jion utaskia mwanaume atakavyojibu kiuungwana,babu chezea wote sio huyu nyerere wa pili utauza had huyo mjukuu wako uliemuoa juzi.
Taifa linamsikiliza Zito !
..Kiroba na kitimoto huwa vinashuka bei sana nyakati za mfungo wa ramazani. ngojea sasa mfungo ukiisha, weeeee.....