Brother pasco akili mingi sana hakika ww unahitwaji usomeke kwa jicho la 3 maaana hapo umeonyesha ubaya wa mengi zitto umememuweka ili tu uvute attention hahahahhaha ww ni hatari
Pasco kuna new info kuwa mmiliki wa gazeti lililosema hayo yote ni JAMES Rugemalila....
sijui unajua hilo?
wanatuvurugaje sasa? mengi ametaka ufafanuzi kutoka kwa serikali kwa taarifa iliyochapishwa ikimuhusisha na uhaini (kuiangusha serikali kila mara) na aliyetoa taarifa hizo kwa serikali (rais) ni zitto. Mengi anataka ufafanuzi taarifa hiyo ni sawa kuachwa bila kuchukuliwa hatua ili yeye awe salama kwa maana nyingine anataka asafishwe, sasa hapo kuna kuyumbishwa gani?
So what ?!?!?!?!
Unaujua u karibu wa Ruge na JK wewe ?
Kama hujui hao watu ni marafiki wa kiapo,JK atamshukuru Ruge kwa Taarifa.
Huyu mungu wenu ACT kaingizwa Mkenge,anaingia kila sehemu kichwa kichwa,mzima mzima,sasa mambo yana backfire.
Kufeni nae na Mzikwe kaburi moja la ki Siasa kuonesha upendo wenu
Hii namba 21 nimeipanda zaidi.Alipishana kauli na wandeshaji wa Kipindi cha "Kiti Moto", Kiti Moto kilikufa.
Hivi kwa akili yako Mengi anaweza kuangusha serikali ambayo inavyombo vya ulinzi na usalama? Mengi ataingushaje serikali wakati unajua kabisa suala la Escrow aliyeleta taarifa ni CAG amabye ni mteule wa Rais? Wabunge walichofanya ni kuisimamia serikali, kama Zitto alihongwa na Mengi kwanini hakukataa au kama CAG alikuwa kaleta ripoti ya uongo je mamlaka za usalama serikalini (GSO) zingekubali?
Hapo narudia tena ni vita vya urais maana kila mfanyabiashara anamtu wake ambaye anataka awe rais wa 5 wa JMT
Kuwa na heshima
ukitaka kujadili kitu na mimi bora ujifunze kujadili mambo kistaarabu na kiheshima
ndo maana umeona hiyo post nimeenda direct kwa Pasco na posdt ilikuwa ninamuuliza hiyo
info kama ni kweli?au kama si kweli au kama pasco ana more info
Wewe huna haki ya kunitukana
kuniambia mimi Zitto ni mungu wangu ni kunitukana
nina threads na post za kutosha humu nikimpinga Zitto kwa specific issues
Mimi kuipinga CHADEMA hakunifanyi kuwa suipporter wa ACT
wala hakuniondoi haki ya kumpinga Zitto in the future....
wewe unapaswa kujadili ishu bila ku accuse watu misimamo ambayo huna uhakika nao
nikikuuliza humu niwekee post hata moja ambayo mimi nimeunga mkono ACT unaweza kuweka?
Always watu wakiweka the Dark side of Zitto,wewe hukurupukaga kuja kutetea
babu anatafuta kick,ngoja jion utaskia mwanaume atakavyojibu kiuungwana,babu chezea wote sio huyu nyerere wa pili utauza had huyo mjukuu wako uliemuoa juzi.
una kichwa kigumu sana, unayajua madai ya mengi lakini au unajiandikia tu? unadhani mengi kajiaandikia ile habari! gazeti limeandika tuhuma dhidi yake chanzo akiwa zitto sasa mambo ya uchaguzi yanakujaje hapa, serikali inatakiwa itoe ufafanuzi kwa maana ndo wasimamizi wa vyombo vya habari na serikali hiyo hiyo imeguswa kwa kuwa raisi ameamnbiwa "mbaya" wake ni Mengi ni wajibu wa serikali kufafanua madai haya. jitoe kwenye shuka la kisiasa kwanza uoone ukweli. kwa akili yako unadhani kuiangusha serikali ni mpaka uwe na misilaha wa ajabu sana wewe kubadilisha badilisha srikali kwa maana ya mawaziri kila wakati nako ni kuangushwa kwa serikali, kujiuzuru kwa lowassa wakti ule unakuitaje, pale serikali iliangushwa na hata hivi majuzi pinda angejiuzuru unadhani kungetokea nini?
Mkuu tatzo humu kuna mitoto mingi saizi na kingine haya matoto hayajielewi,limekulupuka kuchaingia na wala hajaelewaOna huyu nae!Hivi unajua issue hii ilivyo kweli ama ndiyo mahaba niue?Tulia ujue jambo kwanza ndipo uanze kupiga vigelegele maana ngoma bila kina mama wapiga vigele gele huwa hainogi
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums