Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

Leo Utapata "LIKES" Nyingi sana za BAVICHA.Hii Taarifa UTAIKUTA Kwenye Mawio Alhamisi na Title "......Mengi kumshughulikia Zitto,amma ...."Maskini Zitto,Kumalizwa na Mengi au ACT matatani,Uwongo wa Zitto wamponza" .Vita dhidi ya UFISADI ni ngumu sana,MBOWE yeye ni "Money Tu"-Unakopa NSSF then unawatafuta SUMAYE na KINANA kunegotiate kuhusu dini.WASTAAFU/WALIMU WANAKUFA BILA HATA PENSION.....
 
Mengi mbinafsi sana,anataka resources zote za nchi hii atafune pekee yake
 
Pasco kuna new info kuwa mmiliki wa gazeti lililosema hayo yote ni JAMES Rugemalila....
sijui unajua hilo?

So what ?!?!?!?!
Unaujua u karibu wa Ruge na JK wewe ?
Kama hujui hao watu ni marafiki wa kiapo,JK atamshukuru Ruge kwa Taarifa.
Huyu mungu wenu ACT kaingizwa Mkenge,anaingia kila sehemu kichwa kichwa,mzima mzima,sasa mambo yana backfire.
Kufeni nae na Mzikwe kaburi moja la ki Siasa kuonesha upendo wenu
 
Last edited by a moderator:
pasco hoja dhaif sana, sikutegemea mtu mwenye wered km wewe kuandika vitu vya kidhanif na kufikirika km hivi, unataka kuaminisha watu kuwa mtu anayewajibishwa kutokana na utendaji mbovu bas hiyo ni kaz ya mengi, umetoa orodha ndef ya watu waliotoka kwa kashfa km akina simba muhogo na mkulo, na ambao mikataba yao iliisha km kina tido, kwa hiyo mengi ni mungu wako ambaye hataki usgindan wa kibiashara wala hoja. Jaribu walau kutumia akili unapoandika la sivyo utadharauliwa na kila mtu.
 
Mkuu@Pasco umetaja wooote kwanini namba 22 umeishia ule uandishi wa kigogo flan bila kutajwa jina
 
Safari hii naona hiyo 'karma' italia na chadema maana ndio wazushi wakubwa. idara yao ya missimformation hata kgb ya soviet union haifui dafu. hivi zitto huyu tunayemfahamu akamtolee rais uongo wa bei rahisi kiasi hicho, kwani yeye mwehu?
 
wanatuvurugaje sasa? mengi ametaka ufafanuzi kutoka kwa serikali kwa taarifa iliyochapishwa ikimuhusisha na uhaini (kuiangusha serikali kila mara) na aliyetoa taarifa hizo kwa serikali (rais) ni zitto. Mengi anataka ufafanuzi taarifa hiyo ni sawa kuachwa bila kuchukuliwa hatua ili yeye awe salama kwa maana nyingine anataka asafishwe, sasa hapo kuna kuyumbishwa gani?

Hivi kwa akili yako Mengi anaweza kuangusha serikali ambayo inavyombo vya ulinzi na usalama? Mengi ataingushaje serikali wakati unajua kabisa suala la Escrow aliyeleta taarifa ni CAG amabye ni mteule wa Rais? Wabunge walichofanya ni kuisimamia serikali, kama Zitto alihongwa na Mengi kwanini hakukataa au kama CAG alikuwa kaleta ripoti ya uongo je mamlaka za usalama serikalini (GSO) zingekubali?
Hapo narudia tena ni vita vya urais maana kila mfanyabiashara anamtu wake ambaye anataka awe rais wa 5 wa JMT
 
So what ?!?!?!?!
Unaujua u karibu wa Ruge na JK wewe ?
Kama hujui hao watu ni marafiki wa kiapo,JK atamshukuru Ruge kwa Taarifa.
Huyu mungu wenu ACT kaingizwa Mkenge,anaingia kila sehemu kichwa kichwa,mzima mzima,sasa mambo yana backfire.
Kufeni nae na Mzikwe kaburi moja la ki Siasa kuonesha upendo wenu

Kuwa na heshima
ukitaka kujadili kitu na mimi bora ujifunze kujadili mambo kistaarabu na kiheshima
ndo maana umeona hiyo post nimeenda direct kwa Pasco na posdt ilikuwa ninamuuliza hiyo
info kama ni kweli?au kama si kweli au kama pasco ana more info

Wewe huna haki ya kunitukana
kuniambia mimi Zitto ni mungu wangu ni kunitukana
nina threads na post za kutosha humu nikimpinga Zitto kwa specific issues
Mimi kuipinga CHADEMA hakunifanyi kuwa suipporter wa ACT
wala hakuniondoi haki ya kumpinga Zitto in the future....
wewe unapaswa kujadili ishu bila ku accuse watu misimamo ambayo huna uhakika nao
nikikuuliza humu niwekee post hata moja ambayo mimi nimeunga mkono ACT unaweza kuweka?
 
Last edited by a moderator:
Alipishana kauli na wandeshaji wa Kipindi cha "Kiti Moto", Kiti Moto kilikufa.
Hii namba 21 nimeipanda zaidi.
Naona strategies za shughuli na maisha ya Mengi ni zaidi ya wengi tunavyofikiri na huenda ndio maana wanaomfuata fuata wanaanguka. Pia huyu aya.to.llah zzk kuna 'super back-up force' aliyokuwa nayo na nasubiri tu kuona kama muda utatueleza kama imeanza kudeteriorate!

Pasco umeleta mambo mengi kuhusu Mengi, lakini kuna baadhi ambayo si kweli kiasi kwamba nashindwa kuamini kama yote uliyosema ni kweli. Ila ninachokiona kwenye bandiko lako ni kama mtu usiye na imani sana na Zitto lakini kwa kuwa alikuwa analeta madhara fulani kwa cdm basi unajaribu kusimamisha shilingi ili asipofanikiwa ujifanye ni sababu ya R. Mengi ama akifanikiwa uwasute cdm.

Ni hivi ndugu yangu, unajua nakuheshimu na ninakubaliana/kutokubaliana na michango yako mingi hapa jukwaani, huyu Zitto ndio kwanza anaanza kuendesha chama, hajakutana na changamoto halisi za kuongoza watu wengi haswa watu wenye mindset za kimajungu na fitina. Tumpe wangalau miezi 6 hapo ndio tutaona uwezo wake halisi, kwani alipokuwa cdm waliokuwa juu yake ni wengi hivyo ilikuwa rahisi kwa zile propaganda za ukanda, ukabila, udini nk kutumika yeye akiwa chini bila kukumbana na changamoto halisi za kuwa kinara wa taasisi. Hayo yaliyomkuta Mbowe naye atakutana nayo.

Ujue walio wengi wamefuata fursa, na iwapo watazikosa ni lazima wataanza kuleta changamoto kwani wewe Pasco na chama cha mapinduzi pamoja na wapambe wa Zitto mmemfanya kwamba yeye ni mtakatifu sana kwa hiyo kule cdm alionewa. Ngoja kwani sasa ana chama chake, na yeye watu watataka awatendee kila watakachotaka wao, hapo ndio tutajua uvumilivu na uimara wake.

Kumbuka kwa sasa walio wengi wanaenda kumuona Zitto kwenye mikutano yake lakini katika brand ya cdm, ila watakapoanza kugawanyika kwenda mikoani malalamiko yataanza kwani wale watakaokuwa na Zitto wataona hela, lakini hawa wengine kwenye upande wa hela patasumbua. Usisahau kwamba hao wengine bila Zitto kwenye msafara kupata watu kwenye mikutano itakuwa kizungumkuti.

Kwa hiyo ninakuomba sana usimtumie Reginald Mengi kama sehemu ya mafanikio ya Zitto ama kushindwa kwake.
 
Hivi kwa akili yako Mengi anaweza kuangusha serikali ambayo inavyombo vya ulinzi na usalama? Mengi ataingushaje serikali wakati unajua kabisa suala la Escrow aliyeleta taarifa ni CAG amabye ni mteule wa Rais? Wabunge walichofanya ni kuisimamia serikali, kama Zitto alihongwa na Mengi kwanini hakukataa au kama CAG alikuwa kaleta ripoti ya uongo je mamlaka za usalama serikalini (GSO) zingekubali?
Hapo narudia tena ni vita vya urais maana kila mfanyabiashara anamtu wake ambaye anataka awe rais wa 5 wa JMT

una kichwa kigumu sana, unayajua madai ya mengi lakini au unajiandikia tu? unadhani mengi kajiaandikia ile habari! gazeti limeandika tuhuma dhidi yake chanzo akiwa zitto sasa mambo ya uchaguzi yanakujaje hapa, serikali inatakiwa itoe ufafanuzi kwa maana ndo wasimamizi wa vyombo vya habari na serikali hiyo hiyo imeguswa kwa kuwa raisi ameamnbiwa "mbaya" wake ni Mengi ni wajibu wa serikali kufafanua madai haya. jitoe kwenye shuka la kisiasa kwanza uoone ukweli. kwa akili yako unadhani kuiangusha serikali ni mpaka uwe na misilaha wa ajabu sana wewe kubadilisha badilisha srikali kwa maana ya mawaziri kila wakati nako ni kuangushwa kwa serikali, kujiuzuru kwa lowassa wakti ule unakuitaje, pale serikali iliangushwa na hata hivi majuzi pinda angejiuzuru unadhani kungetokea nini?
 
Kuwa na heshima
ukitaka kujadili kitu na mimi bora ujifunze kujadili mambo kistaarabu na kiheshima
ndo maana umeona hiyo post nimeenda direct kwa Pasco na posdt ilikuwa ninamuuliza hiyo
info kama ni kweli?au kama si kweli au kama pasco ana more info

Wewe huna haki ya kunitukana
kuniambia mimi Zitto ni mungu wangu ni kunitukana
nina threads na post za kutosha humu nikimpinga Zitto kwa specific issues
Mimi kuipinga CHADEMA hakunifanyi kuwa suipporter wa ACT
wala hakuniondoi haki ya kumpinga Zitto in the future....
wewe unapaswa kujadili ishu bila ku accuse watu misimamo ambayo huna uhakika nao
nikikuuliza humu niwekee post hata moja ambayo mimi nimeunga mkono ACT unaweza kuweka?

Always watu wakiweka the Dark side of Zitto,wewe hukurupukaga kuja kutetea
 
Last edited by a moderator:
babu anatafuta kick,ngoja jion utaskia mwanaume atakavyojibu kiuungwana,babu chezea wote sio huyu nyerere wa pili utauza had huyo mjukuu wako uliemuoa juzi.

Ona huyu nae!Hivi unajua issue hii ilivyo kweli ama ndiyo mahaba niue?Tulia ujue jambo kwanza ndipo uanze kupiga vigelegele maana ngoma bila kina mama wapiga vigele gele huwa hainogi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Serikali inamkono mrefu sana, kuliko wewe unavyodhani na kwa akili yako unafikiri ulinzi na usalama ni kutumia siraha, kuna mambo ya kiintelejensia, kwa suala la escrow, Richmond yasingewa kutokea kama utawala hauwezi kubaliki yajadiliwe bungeni (Siasa za Afrika) elewa kuwa katika siasa za Africa mhimili wa utawala unanguvu sana kuliko mahakam na Bunge. Mengi anahaki ya kutaka ufafanuzi, lakini jiulize mbona wamejiuzuru mawaziri wengi, mbona operation tokomeza haikuwa nongwa kwanini iwe escrow ndo yenye kutaka kuangusha serikali?

una kichwa kigumu sana, unayajua madai ya mengi lakini au unajiandikia tu? unadhani mengi kajiaandikia ile habari! gazeti limeandika tuhuma dhidi yake chanzo akiwa zitto sasa mambo ya uchaguzi yanakujaje hapa, serikali inatakiwa itoe ufafanuzi kwa maana ndo wasimamizi wa vyombo vya habari na serikali hiyo hiyo imeguswa kwa kuwa raisi ameamnbiwa "mbaya" wake ni Mengi ni wajibu wa serikali kufafanua madai haya. jitoe kwenye shuka la kisiasa kwanza uoone ukweli. kwa akili yako unadhani kuiangusha serikali ni mpaka uwe na misilaha wa ajabu sana wewe kubadilisha badilisha srikali kwa maana ya mawaziri kila wakati nako ni kuangushwa kwa serikali, kujiuzuru kwa lowassa wakti ule unakuitaje, pale serikali iliangushwa na hata hivi majuzi pinda angejiuzuru unadhani kungetokea nini?
 
Wakati Zitto anawasilisha ripoti ya PAC bungeni rais Kikwete alikuwa Marekani kwenye matibabu.

Umenena vyema kabisa. Sasa hili suala kwamba walikutana muda mfupi kabla ya kuwasilisha report ya ESCROW tayari inaonyesha habari nzima ni ya kutungwa.
 
Ona huyu nae!Hivi unajua issue hii ilivyo kweli ama ndiyo mahaba niue?Tulia ujue jambo kwanza ndipo uanze kupiga vigelegele maana ngoma bila kina mama wapiga vigele gele huwa hainogi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu tatzo humu kuna mitoto mingi saizi na kingine haya matoto hayajielewi,limekulupuka kuchaingia na wala hajaelewa
 
Back
Top Bottom