Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
We nawe jaribu kuficha uchi wa akili yako. Umeandika upuuzi wa hali ya juu.Ndio maana nasema hujanielewa!Ungesoma maelezo yangu ungenielewa!
Refa wa kati hupewa tu taarifa na timu yake ya wasaidizi iliyo kwenye vyumba!Na taarifa aliyopewa ni kuwa sio goli!Vipi kama Refa wa kati angepewa taarifa kuwani goal,ungelalamika?
Unatakiwa kuelewa kuwa kwenye vyumba vya VAR kunakuwa na marefa atleast watatu!Sio lazima on field referee aende kuangalia VAR,ndio maana huwa ana microphone!Huwa anapewa taarifa kuwa hiyo ni offside au goli limepita mstari!Sasa kwann inawekwa uwanjani kama haimsaidii referee kwenye maamuzi yenye utata?
Umeniquote nusu sehemu unayoipenda,ungequote kipande chote!"Refa wa kati huwajibika kwenda kuangalia VAR pale ambako kuna tukio la utata".
Je Lile tukio halikua la utata?!!!
Ndio nauliza mkuu kama huwa anapewa na wasaidizi wake na anawasiliana nao kupitia microfone ,je Kuna haja Gani ya kuiweka pale uwanjani?Unatakiwa kuelewa kuwa kwenye vyumba vya VAR kunakuwa na marefa atleast watatu!Sio lazima on field referee aende kuangalia VAR,ndio maana huwa ana microphone!Huwa anapewa taarifa kuwa hiyo ni offside au goli limepita mstari!
Lile goal la Azizi ki,refa wa kati alipewa taarifa kuwa sio goli!Vp angepewa taarifa kuwa ni goli,hizi lawama zingekuwepo kwanini refa hajaenda kuangalia?
Angeenda angetoa maamuzi tofauti na Yale coz Dunia nzima tungeliona lile goal linavyorudiwa kwa screen ya VAR , hakuitwa kwenda kuangalia coz walijua akienda kuangalia tu basi marudio yatapostiwa on screenUmeniquote nusu sehemu unayoipenda,ungequote kipande chote!
Kwenye chumba cha VAR kunakuwa na mareferee atleast 3!
Tatizo watu mnahisi labda refa wa kati angeenda kwenye VAR,angetoa maamuzi tofauti na yale ya mareferee watatu!
Unatakiwa kuelewa kuwa kwenye vyumba vya VAR kunakuwa na marefa atleast watatu!Sio lazima on field referee aende kuangalia VAR,ndio maana huwa ana microphone!Huwa anapewa taarifa kuwa hiyo ni offside au goli limepita mstari!
Lile goal la Azizi ki,refa wa kati alipewa taarifa kuwa sio goli!Vp angepewa taarifa kuwa ni goli,hizi lawama zingekuwepo kwanini refa hajaenda kuangalia?
Mbona nimeeleza kwenye thread,kuna maamuzi ambayo VAR yanahitaji utashi!Ndio nauliza mkuu kama huwa anapewa na wasaidizi wake na anawasiliana nao kupitia microfone ,je Kuna haja Gani ya kuiweka pale uwanjani?
Niwekee video moja tu ya VAR ambayo refa alienda kuangalia yeye binafsi kama mpira umevuka mstari wa goli!Angeenda angetoa maamuzi tofauti na Yale coz Dunia nzima tungeliona lile goal linavyorudiwa kwa screen ya VAR , hakuitwa kwenda kuangalia coz walijua akienda kuangalia tu basi marudio yatapostiwa on screen
HaswaaahIt was clear no goal.
Kwa kuongezea hata ulaya tu ambako hyo VAR ndo ilianzia huko Kuna tukio refa kaona Moja Kwa Moja na kimbendera wake hyo Huwa haihitaji kuangalia VAR Kuna tukio refa kaona Ile ya kwanza lkn kule kwenye VAR WAO wameludia wameona tofauti ndo humwambia nenda kajiridhisheNdio maana nasema hujanielewa!Ungesoma maelezo yangu ungenielewa!
Refa wa kati hupewa tu taarifa na timu yake ya wasaidizi iliyo kwenye vyumba!Na taarifa aliyopewa ni kuwa sio goli!Vipi kama Refa wa kati angepewa taarifa kuwani goal,ungelalamika?
Naomba nikuulize swali Moja tu chumba Cha wasaidizi wa VAR Kiko wapi ???Nn maana ya Video Assistant Referee ? Na kwann ipo uwanjani kama maelekezo huwa yanatoka chumba Cha wasaidizi?
Mwamuzi wa mwisho ni refa wa kati!Hivi kwenye match mwamuzi wa mwisho kusema mpira uwekwe kati au usiwekwe kati ni nani? Yaan ni goal au sio goal ni nan?
Umesema vema ila hapo kwenye tukio la Lomalisa nikupinge kidogo!Usiseme wao waliona ni kadi nyekundu,hapana!Wao walimwita refa ili apime,yeye alivyopima akaona inastahili ile ile kadi ya njano!Hayo matukio hutegemea utashi wa refa ndio maana humwachia on field referee aone na ajiridhishe mwenyewe kwa utashi wake!Kwa kuongezea hata ulaya tu ambako hyo VAR ndo ilianzia huko Kuna tukio refa kaona Moja Kwa Moja na kimbendera wake hyo Huwa haihitaji kuangalia VAR Kuna tukio refa kaona Ile ya kwanza lkn kule kwenye VAR WAO wameludia wameona tofauti ndo humwambia nenda kajiridhishe
Kwa mantiki alichoamua refa na wale walichomwambia kulikuwa ni kitu kimoja hivyo akaona Haina sababu
Kwenye tukio la lomalisa refa aliona kuwa inafaa card ya njano wale wao wakaona inafaa nyekundu ndo wakamwambia akaangalie na alivyoangalia akalud na jibu lile lile kuwa ni njano inastahili
Umeniquote nusu sehemu unayoipenda,ungequote kipande chote!
Kwenye chumba cha VAR kunakuwa na mareferee atleast 3!
Tatizo watu mnahisi labda refa wa kati angeenda kwenye VAR,angetoa maamuzi tofauti na yale ya mareferee watatu!
Nimeshajibu hilo,tukio kama la Lomalisa linahitaji utashi wa refa!Refa mwingine pale angeweza kutoa red card!Matukio mengine ni Penalty,kuna refa mwingine anaweza kutoa penalty,na kwa kosa hilo hilo refa mwingine asitoe penalty!Kwahiyo matukio ya namna hii,wanamwachia refa wa kati aamue!Kwani wanavyomwita akajiridhishe wanamwita kwanini kama maamuzi wanatoa wa chumbani tu. Basi wasingekua wanaenda kucheki kwanini tukio la lomalisa alienda kucheki na wale hawakumwambia sio red endelea
Kwa hiyo tuelewe kwamba kuidhinisha hili ni goli au siyo goli si kazi ya refa?Hujaelewa nilichoandika,wabongo ni full mihemko!
Mimi hata sijazungumzia goli kama ni halali au sio halali