Kama tuna haki tudai lakini tuepuke mihemko! Refa wa kati tunamuangushia jumba bovu!

Ndio maana nasema hujanielewa!Ungesoma maelezo yangu ungenielewa!
Refa wa kati hupewa tu taarifa na timu yake ya wasaidizi iliyo kwenye vyumba!Na taarifa aliyopewa ni kuwa sio goli!Vipi kama Refa wa kati angepewa taarifa kuwani goal,ungelalamika?
We nawe jaribu kuficha uchi wa akili yako. Umeandika upuuzi wa hali ya juu.
 
"Refa wa kati huwajibika kwenda kuangalia VAR pale ambako kuna tukio la utata".
Je Lile tukio halikua la utata?!!!
 
Sasa kwann inawekwa uwanjani kama haimsaidii referee kwenye maamuzi yenye utata?
Unatakiwa kuelewa kuwa kwenye vyumba vya VAR kunakuwa na marefa atleast watatu!Sio lazima on field referee aende kuangalia VAR,ndio maana huwa ana microphone!Huwa anapewa taarifa kuwa hiyo ni offside au goli limepita mstari!
Lile goal la Azizi ki,refa wa kati alipewa taarifa kuwa sio goli!Vp angepewa taarifa kuwa ni goli,hizi lawama zingekuwepo kwanini refa hajaenda kuangalia?
 
"Refa wa kati huwajibika kwenda kuangalia VAR pale ambako kuna tukio la utata".
Je Lile tukio halikua la utata?!!!
Umeniquote nusu sehemu unayoipenda,ungequote kipande chote!
Kwenye chumba cha VAR kunakuwa na mareferee atleast 3!
Tatizo watu mnahisi labda refa wa kati angeenda kwenye VAR,angetoa maamuzi tofauti na yale ya mareferee watatu!
 
Unatakiwa kuelewa kuwa kwenye vyumba vya VAR kunakuwa na marefa atleast watatu!Sio lazima on field referee aende kuangalia VAR,ndio maana huwa ana microphone!Huwa anapewa taarifa kuwa hiyo ni offside au goli limepita mstari!
Lile goal la Azizi ki,refa wa kati alipewa taarifa kuwa sio goli!Vp angepewa taarifa kuwa ni goli,hizi lawama zingekuwepo kwanini refa hajaenda kuangalia?
Ndio nauliza mkuu kama huwa anapewa na wasaidizi wake na anawasiliana nao kupitia microfone ,je Kuna haja Gani ya kuiweka pale uwanjani?
 
Angeenda angetoa maamuzi tofauti na Yale coz Dunia nzima tungeliona lile goal linavyorudiwa kwa screen ya VAR , hakuitwa kwenda kuangalia coz walijua akienda kuangalia tu basi marudio yatapostiwa on screen
 
Hivi kwenye match mwamuzi wa mwisho kusema mpira uwekwe kati au usiwekwe kati ni nani? Yaan ni goal au sio goal ni nan?

Mbona nimeeleza kwenye thread,kuna maamuzi ambayo VAR yanahitaji utashi!
Mfano ile foul ya Lomalisa,kweli kosa limetendeka,je adhabu ni ya aina gani?Ndio hapo refa wa kati anaitwa aende kuamua mwenyewe!Refa mwingine angeweza kutoa red card kwa kosa hilo hilo!Ndio maana maamuzi hayo yanayotegemea utashi anaachiwa refa wa kati!Eneo lingine ni penalty,refa huyu anaweza kusema labda contact ilikuwa kidogo si ya kutoa penalty lakini refa mwingine akatoa penalty kwa tukio hilo hilo!
Matukio kama hayo huamuliwa moja kwa moja na refa wa kati!
Refa wa kati hawezi kupewa taarifa kuwa toa kadi nyekundu au toa penalty bila yeye kujiridhisha!
Ila matukio ya mpira kuvuka goli au offside,haitegemei utashi wa mtu bali teknolojia!Ndio maana matukio ya offside na mpira kuvuka mstari wa goli,refa hupewa taarifa tu!Angalie hata ulaya!
Niwekee hata tukio moja ambapo refa wa kati ameenda kuangalia tukio la utata la offside au mpira kuvuka mstari wa goli!Niwekee tukio moja tu!
 
Angeenda angetoa maamuzi tofauti na Yale coz Dunia nzima tungeliona lile goal linavyorudiwa kwa screen ya VAR , hakuitwa kwenda kuangalia coz walijua akienda kuangalia tu basi marudio yatapostiwa on screen
Niwekee video moja tu ya VAR ambayo refa alienda kuangalia yeye binafsi kama mpira umevuka mstari wa goli!
 
Ndio maana nasema hujanielewa!Ungesoma maelezo yangu ungenielewa!
Refa wa kati hupewa tu taarifa na timu yake ya wasaidizi iliyo kwenye vyumba!Na taarifa aliyopewa ni kuwa sio goli!Vipi kama Refa wa kati angepewa taarifa kuwani goal,ungelalamika?
Kwa kuongezea hata ulaya tu ambako hyo VAR ndo ilianzia huko Kuna tukio refa kaona Moja Kwa Moja na kimbendera wake hyo Huwa haihitaji kuangalia VAR Kuna tukio refa kaona Ile ya kwanza lkn kule kwenye VAR WAO wameludia wameona tofauti ndo humwambia nenda kajiridhishe

Kwa mantiki alichoamua refa na wale walichomwambia kulikuwa ni kitu kimoja hivyo akaona Haina sababu

Kwenye tukio la lomalisa refa aliona kuwa inafaa card ya njano wale wao wakaona inafaa nyekundu ndo wakamwambia akaangalie na alivyoangalia akalud na jibu lile lile kuwa ni njano inastahili
 
Nn maana ya Video Assistant Referee ? Na kwann ipo uwanjani kama maelekezo huwa yanatoka chumba Cha wasaidizi?
Naomba nikuulize swali Moja tu chumba Cha wasaidizi wa VAR Kiko wapi ???
 
Hivi kwenye match mwamuzi wa mwisho kusema mpira uwekwe kati au usiwekwe kati ni nani? Yaan ni goal au sio goal ni nan?
Mwamuzi wa mwisho ni refa wa kati!
Naomba nikuulize swali,sehemu ambayo hakuna VAR kama hapa NBC,mwamuzi wa pembeni anaweza nyoosha kibendera kuwa kuna offside halafu refa wa kati akasema ni goli na kumpuuza kibendera?
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Kwa kuongezea hata ulaya tu ambako hyo VAR ndo ilianzia huko Kuna tukio refa kaona Moja Kwa Moja na kimbendera wake hyo Huwa haihitaji kuangalia VAR Kuna tukio refa kaona Ile ya kwanza lkn kule kwenye VAR WAO wameludia wameona tofauti ndo humwambia nenda kajiridhishe

Kwa mantiki alichoamua refa na wale walichomwambia kulikuwa ni kitu kimoja hivyo akaona Haina sababu

Kwenye tukio la lomalisa refa aliona kuwa inafaa card ya njano wale wao wakaona inafaa nyekundu ndo wakamwambia akaangalie na alivyoangalia akalud na jibu lile lile kuwa ni njano inastahili
Umesema vema ila hapo kwenye tukio la Lomalisa nikupinge kidogo!Usiseme wao waliona ni kadi nyekundu,hapana!Wao walimwita refa ili apime,yeye alivyopima akaona inastahili ile ile kadi ya njano!Hayo matukio hutegemea utashi wa refa ndio maana humwachia on field referee aone na ajiridhishe mwenyewe kwa utashi wake!
 
Kwani wanavyomwita akajiridhishe wanamwita kwanini kama maamuzi wanatoa wa chumbani tu. Basi wasingekua wanaenda kucheki kwanini tukio la lomalisa alienda kucheki na wale hawakumwambia sio red endelea
Umeniquote nusu sehemu unayoipenda,ungequote kipande chote!
Kwenye chumba cha VAR kunakuwa na mareferee atleast 3!
Tatizo watu mnahisi labda refa wa kati angeenda kwenye VAR,angetoa maamuzi tofauti na yale ya mareferee watatu!
 
Kwani wanavyomwita akajiridhishe wanamwita kwanini kama maamuzi wanatoa wa chumbani tu. Basi wasingekua wanaenda kucheki kwanini tukio la lomalisa alienda kucheki na wale hawakumwambia sio red endelea
Nimeshajibu hilo,tukio kama la Lomalisa linahitaji utashi wa refa!Refa mwingine pale angeweza kutoa red card!Matukio mengine ni Penalty,kuna refa mwingine anaweza kutoa penalty,na kwa kosa hilo hilo refa mwingine asitoe penalty!Kwahiyo matukio ya namna hii,wanamwachia refa wa kati aamue!
likija suala la offside au mpira kuvuka mstari wa goli,sio utashi!Ni teknolojia ndio inatumika!Hapo refa wa kati anapewa taarifa tu!Huwa iko hivyo,tulaumu failure ya teknolojia au marefa vyumba vya VAR kama kweli lile ni goli lakini mwamuzi wa kati hana hatia kabisa katika hilo!
 
Hujaelewa nilichoandika,wabongo ni full mihemko!
Mimi hata sijazungumzia goli kama ni halali au sio halali
Kwa hiyo tuelewe kwamba kuidhinisha hili ni goli au siyo goli si kazi ya refa?
 
Back
Top Bottom