Ungetoa mfano.Ni eneo gani katika biblia linakuchanganya?Trust me, I'm not an atheist!
Ninaamini uwepo wa Mungu kama nguvu kubwa iliyo umba ulimwengu na vilivyomo.
Tatizo ni pale ninapofungua vitabu vitakatifu vinavyosemekana kua neno la Mungu then nakutana na vitu vyenye kuleta mkanganyiko kuliko suluhu!
Mkuu, naamini Mungu ana mfumo wake (DINI) ambao anaendesha mambo yake kwa taratibu zake, na ni muhimu binadamu kufuata mfumo huo. Kama vile software kwenye kifaa cha kielektroniki.
Sasa sijaelewa unaponiambia nisiwe religion centred mkuu!
Maandishi murua sana haya mkuu, muhimu niyatafakari kwa kina, Nakushukuru kwa kuniamini na kunifollow mkuu. I'll follow you back.mkuu nilikua sina uhakika kama nimeku-follow but today nimehakikisha nikakuta sijakufollow so soon utaona notification yangu....keep it up...you're a truly G.THINKER
Ninaamini uwepo wa Mungu na ukuu wake.Kwa hiyo kwa ujumla msimamo wako ukoje mkuu juu ya Dini na Mungu?
Mkuu, ni kweli Mungu hakosei, alimuumba binadamu kwa mfano wake yaani mkamilifu, ukamilifu wa binadamu uliishia pale binadamu alipoanza kutenda dhambi, mtu asiye na dhambi ni mkamilifu mbele za mwenyezi Mungu ila mbele za binadamu mwenzie ndo utasikia kuwa hakuna binadamu aliye mkamilifu kwa maana binadamu tunatenda sana dhambi isipokuwa watoto wadogo tu wasiojua hili wala lile ndo wakamilifu Marko 10:14 Yesu anawaambia wale watu waliokuwa wanawazuia watoto kuingia kwenye mkutano "waacheni watoto wadogo waje kwangu msiwazuie, kwa maana watoto kama hawa ufalme wa Mungu ni wao" hapa anamaanisha kuwa watoto wadogo ni wakamilifu yaani Mungu kawaumba kwa ukamilifu na ndo maana ni rahisi kwao kuumiliki ufalme wa Mungu, lakini kwa mtu aliyefika umri wa kujitambua ndo ukamilifu humtoka maana huanza kutenda dhambi kwa namna yoyote ileKiimani na hata mahala pengi tu utawasikia Watu wakisema kwamba Mwenyezi Mungu hakosei, hajakosea na kwamba huwa hakosei na wengi wetu ama Kiuwoga au ' Kimbumbumbu ' tu au kwa kuwa wa ' hovyo hovyo ' katika Kufikiri tayari tumeshaaminishwa hivyo.
Sawa kama kweli Mungu hakosei sasa inakuwaje kila mara huwa tunaisikia hii Kauli ambayo nainukuu hapa " Hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, Mwezi au Dunia hii ". Je hapa tushike lipi au tuelewe lipi?
Na kama Wote tunakiri kwamba Mwenyezi Mungu hakosei katika ' Uumbaji ' wake na Sisi Wanadamu ni mfano wake tosha iweje tena leo tunasema hadi kwa msisitizo kabisa kwamba Binadamu wote hatujakamilika?
Tujadili na Karibuni katika huu ' mjadala ' ambao nawahitaji tu wale ambao wamebarikiwa Critical Thinkig na Logical Reasing ya kutosha wachangie na nimetahadharisha mapema tu katika ' Headline ' kama unajijua au kujihisi huna huo uwezo tafadhali tusichoshane na pita zako tu mia.
Nawasilisha.
Mkuu, kwa leo naomba niishie hapa.Ungetoa mfano.Ni eneo gani katika biblia linakuchanganya?
Hakuna binadamu aliekamilika hiyo kauli ni sawa na hii ya "mgaa gaa na upwa hali wali mkavu" zote hizi ni kauli za wahenga tu.Hivyo zipuuze tu!
Mungu katuumba kwa ukamilifu mkubwa saana maana kama matako angeyaweka kifuani tungesema kakosea sababu hatuwezi kukaa comfortably but akayaweka pale nyuma yakiwa na nyama nyama mfano wa spongy sehemu sahihi kabisa ili tukae comfortably na tukiona anayo mbebe tunamsifu kwa kuyaita "Neema za Allah " tuyaite msambwanda kwa lugha za majanki.
God is the best designer ever.
Swadakta..."Hakuna binadamu aliyekamilika" hii ni kauli ya binadamu pale tunapokuwa tumekosea hivyo tunataka huruma upande wa pili. Haina mahusiano ya Mungu kwenye kauli hiyo.
Nimeridhia ombi lako.Mkuu, kwa leo naomba niishie hapa.
Haha hah, mkuu hupendi maswali chokonozi eh [emoji23] [emoji23]Fafanua kwanza nini maana ya miaka? [emoji23] ndio nikujibu.
Kiranga mkubwa wewe!
Mvua ikinyesha au ukioga huoni maji yatazama puani kama shimoni? [emoji23]Hivi kwa nini aliamua tundu mbili za pua zetu zielekee chini wakati tumesimama huku akijua kabisa chini kuna vumbi na kwa 'bouyancy rule' hewa inayopanda inaweza kuingiza vumbi hilo kwenye pua? (Hapa si kosoi uumbaji hata kidogo, na mimi nakubaliana na Humble African kuwa Mungu ni fundi sanifu mzuri kuliko kila kitu kuwahi kuwepo). Hili ni swali la udadisi tu...! Hivyo intel walioitwa hapa nisadie nielewe hili katika 'engineering design perspective' ama namna nyingine inayofaa bila kuhoji Uwezo wa Mungu.
[emoji23] [emoji23] maswali gani yamekaa kama "ramli chonganishi"Haha hah, mkuu hupendi maswali chokonozi eh [emoji23] [emoji23]
Tuanzie hapoVigezo vya mtu aliekamilika ni vipi?
Sina neno maana yote tumelishwa[emoji23] [emoji23] maswali gani yamekaa kama "ramli chonganishi"
Sipendi sana.