Kama Tundu Lissu anasema haogopi kufa ilikuwaje hadi akamkimbia Magufuli? Jeła sio kuzuri tusidanganyane

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.

Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.

Sasa mtu asiyeogopa kufa ilikuwaje akamkimbia mzee Magu baada ya uchaguzi kuisha na leo amepata ujasiri wa kukwambia Lema kuwa haogopi kufa.

Tusilishane matango pori, jela sio kuzuri na kwa vile Lissu hana adabu mwacheni akae huko, watu wanaopanga kukinukisha zawadi yao ni Segerea tu.

Kama Lema unaona jela kuzuri fanya kama alivyofanya Lissu ili na wewe tukija gerezani utuambie hivyo hivyo

Shikeni adabu zenu, alaa
 
Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na są hv mkewe yuko ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.

Ss mtu asieogopa kufa ilikuwaje akamkimbia mzee Magu baada ya uchaguzi kuisha na leo amepata ujasiri wa kukwambia Lema kuwa haogopi kufa.

Tusilishane matango pori, jela sio kuzuri na kwa vile Lissu hana adabu mwacheni akae huko, watu wanaopanga kukinukisha zawadi yao ni segerea t

Kama Lema unaona jela kuzuri fanya kama alivyofanya Lissu ili na ww tukija gerezani utuambie hivyo hivyo

Shikeni adabu zenu, alaa
Alimkimbia tena? Sio kwamba baada ya kupata shida akapelekwa nje kwa matibabu? Umesahau?
 
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.

Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.

Sasa mtu asiyeogopa kufa ilikuwaje akamkimbia mzee Magu baada ya uchaguzi kuisha na leo amepata ujasiri wa kukwambia Lema kuwa haogopi kufa.

Tusilishane matango pori, jela sio kuzuri na kwa vile Lissu hana adabu mwacheni akae huko, watu wanaopanga kukinukisha zawadi yao ni Segerea tu.

Kama Lema unaona jela kuzuri fanya kama alivyofanya Lissu ili na wewe tukija gerezani utuambie hivyo hivyo

Shikeni adabu zenu, alaa
Watu kama nyie hamna thamani. Die for a cause, die for democracy, die for freedom. Unafikiri kufa ni kufa, ulimwenguni lazima uwe na accomplishment otherwise baba yako angekutupa chooni, mbwa wewe.
 
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.

Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.

Sasa mtu asiyeogopa kufa ilikuwaje akamkimbia mzee Magu baada ya uchaguzi kuisha na leo amepata ujasiri wa kukwambia Lema kuwa haogopi kufa.

Tusilishane matango pori, jela sio kuzuri na kwa vile Lissu hana adabu mwacheni akae huko, watu wanaopanga kukinukisha zawadi yao ni Segerea tu.

Kama Lema unaona jela kuzuri fanya kama alivyofanya Lissu ili na wewe tukija gerezani utuambie hivyo hivyo

Shikeni adabu zenu, alaa
Kwamba kama huogopi kifo ndio unatakiwa kufa kizembe? Ungemwambia Magufuli afungiwe chumba kimoja na Lisu ili tupime nani angekimbia.
 
Katika hiyo battle mbona kama mzee magufuli ndio kakimbilia kusikojulikana 😁
20250315_231126.jpg
 
Kwahiyo hata kama huogopi kufa uende ukaogelee kwenye mto unaojua una mamba na viboko?
Huko unakosema si kufa bali ni kijiua,

And f@( u
 
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.

Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.

Sasa mtu asiyeogopa kufa ilikuwaje akamkimbia mzee Magu baada ya uchaguzi kuisha na leo amepata ujasiri wa kukwambia Lema kuwa haogopi kufa.

Tusilishane matango pori, jela sio kuzuri na kwa vile Lissu hana adabu mwacheni akae huko, watu wanaopanga kukinukisha zawadi yao ni Segerea tu.

Kama Lema unaona jela kuzuri fanya kama alivyofanya Lissu ili na wewe tukija gerezani utuambie hivyo hivyo

Shikeni adabu zenu, alaa
swali la kipumbavu mnoo
 
Kwani Magufuli yupo wapi leo?
 
Tuanzie hapo kwanza, Jiwe yuko wapi?
 
Kum- kungugu. Isimani!!!
Hivi wewe zama za Lipuli na Wanderers ulikuwaga wapi?

Zama za kina Mwangamilo, Kondo, Shamte, Saad Ali, Albdarham………
Kipa wa African wonderers Isihaka Majaliwa alikuwa rafiki yangu na nilimfanyia connection kwa Shafi Bora akaenda Majimaji

Kitambo sana mwagito 😂😂
 
tofautisha kufa na kuuwawa ndo mana lisu kesi nyingi zote za serikali hushinda
 
Back
Top Bottom