Kama Tundu Lissu anasema haogopi kufa ilikuwaje hadi akamkimbia Magufuli? Jeła sio kuzuri tusidanganyane

Lissu alipigwa risasi 36 na hayati, Lissu alimwita hayati "Dikteta uchwara" mchana kweupe. Alimkimbiaje sasa?
 
Upo sahihi, ila ndo kasema, sasa sijui wewe una mahusiano gani na yeye maana unamjua zaidi
 
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.

Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.

Sasa mtu asiyeogopa kufa ilikuwaje akamkimbia mzee Magu baada ya uchaguzi kuisha na leo amepata ujasiri wa kukwambia Lema kuwa haogopi kufa.

Tusilishane matango pori, jela sio kuzuri na kwa vile Lissu hana adabu mwacheni akae huko, watu wanaopanga kukinukisha zawadi yao ni Segerea tu.

Kama Lema unaona jela kuzuri fanya kama alivyofanya Lissu ili na wewe tukija gerezani utuambie hivyo hivyo

Shikeni adabu zenu, alaa
Una akili sn, wote hao kunguru tu, Lema, Heche walikuwa wapi?
 
Alimkimbia tena? Sio kwamba baada ya kupata shida akapelekwa nje kwa matibabu? Umesahau?
Acha uzombie alikimbilia ubalozi wa Ujerumani ili atoroke, na akatoroka. Mama alisumbua bure, tabia haina dawa. Aliyezoea vya kunyongwa hawezi vya kuchinjwa
 
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.

Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.

Sasa mtu asiyeogopa kufa ilikuwaje akamkimbia mzee Magu baada ya uchaguzi kuisha na leo amepata ujasiri wa kukwambia Lema kuwa haogopi kufa.

Tusilishane matango pori, jela sio kuzuri na kwa vile Lissu hana adabu mwacheni akae huko, watu wanaopanga kukinukisha zawadi yao ni Segerea tu.

Kama Lema unaona jela kuzuri fanya kama alivyofanya Lissu ili na wewe tukija gerezani utuambie hivyo hivyo

Shikeni adabu zenu, alaa
Lissu amekubuhu kwa uwongo.Hata makamanda wenzake wameshalijua Hilo.Wamempuuza na wamegoma kuandamana
 
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.

Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.

Sasa mtu asiyeogopa kufa ilikuwaje akamkimbia mzee Magu baada ya uchaguzi kuisha na leo amepata ujasiri wa kukwambia Lema kuwa haogopi kufa.

Tusilishane matango pori, jela sio kuzuri na kwa vile Lissu hana adabu mwacheni akae huko, watu wanaopanga kukinukisha zawadi yao ni Segerea tu.

Kama Lema unaona jela kuzuri fanya kama alivyofanya Lissu ili na wewe tukija gerezani utuambie hivyo hivyo

Shikeni adabu zenu, alaa
Mmemuweka jela mkitegemea ataingiza upepo?
 
Katika hiyo battle mbona kama mzee magufuli ndio kakimbilia kusikojulikana 😁
Kati ya jibu la kikatili sana aises...nimejisikia vibaya
Nachoumia zaidi ni amewekwa ndani lakini bado watu wanateseka mno mno.

Mimi ni Chauma,ila kile kitendo cha Lissu kupigwa risasi kiliniumiza sana

Hizi ni mali za Watz wote ila kumbe kuna watu wanaweza kukua si kwa ajili ya kuzitetea hapana kutetea ulaji wao na family zao na friends of family.

😀😀😀😀
 
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.

Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.

Sasa mtu asiyeogopa kufa ilikuwaje akamkimbia mzee Magu baada ya uchaguzi kuisha na leo amepata ujasiri wa kukwambia Lema kuwa haogopi kufa.

Tusilishane matango pori, jela sio kuzuri na kwa vile Lissu hana adabu mwacheni akae huko, watu wanaopanga kukinukisha zawadi yao ni Segerea tu.

Kama Lema unaona jela kuzuri fanya kama alivyofanya Lissu ili na wewe tukija gerezani utuambie hivyo hivyo

Shikeni adabu zenu, alaa
Wewe unaogopa kufa je unajua kwamba hofu ya binadamu huwa. haidumu muda mrefu, hofu inategemea aina ya tukio, (type of threat), uhimilivu wako, (uoga wako), wengine wakiguswa tu na Jani wanaogopa wanadhani ni nyoka
 
Hata Daudi alikuwa anamkimbia Sauli japo anajua kabisa mkono wa Mungu uko juu yako "usimjaribu Bwana Mungu wako"... Mungu haamua hatima, sisi tunapigania tunachoamini ni sahihi kwa Kila mbinu kwa tahadhari zote.
 
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.

Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.

Sasa mtu asiyeogopa kufa ilikuwaje akamkimbia mzee Magu baada ya uchaguzi kuisha na leo amepata ujasiri wa kukwambia Lema kuwa haogopi kufa.

Tusilishane matango pori, jela sio kuzuri na kwa vile Lissu hana adabu mwacheni akae huko, watu wanaopanga kukinukisha zawadi yao ni Segerea tu.

Kama Lema unaona jela kuzuri fanya kama alivyofanya Lissu ili na wewe tukija gerezani utuambie hivyo hivyo

Shikeni adabu zenu, alaa
Viumbe vyote vilivyoumbwa na Mungu, kuanzia kwa Serafi Mkuu mpaka kiumbe mdogo kabisa, vina hofu (Xenophobia).

Hakuna kiumbe kisicho na hofu kabisa. Ujasiri wa Lissu haupimwi kwa kutokimbia hatari iliyokuweko mbele yake. You live to fight for another day.

Ujasiri wake hupimwa namna atakavyoji-conduct anapokuwa mikononi mwa Watesi, atalialia au atawaambia kill me you coward? Kwa kipimo hichi, Lissu has proved himself to be a hero.
 
Hata Yesu aligoma kujirusha ghorofani.

Sio kila anachotaka shetani ukifuate.

Mungu alikuumba na akili ili ujue kujilinda, ikiwa kichaa analitambua hilo wewe ni mtu wa aina gani?
 
Kazi ipo hawa ndio vijana tunaotegemea wajenge Nchi kwa mawazo haya..
 
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.

Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.

Sasa mtu asiyeogopa kufa ilikuwaje akamkimbia mzee Magu baada ya uchaguzi kuisha na leo amepata ujasiri wa kukwambia Lema kuwa haogopi kufa.

Tusilishane matango pori, jela sio kuzuri na kwa vile Lissu hana adabu mwacheni akae huko, watu wanaopanga kukinukisha zawadi yao ni Segerea tu.

Kama Lema unaona jela kuzuri fanya kama alivyofanya Lissu ili na wewe tukija gerezani utuambie hivyo hivyo

Shikeni adabu zenu, alaa
Lissu sio saizi yako.
Wewe hata huwezi kuhoji maamuzi ya ngazi za familia. Nyie kwa vile mnapewa 1000 ili kuandika upuuzi.
 
Utakuta aliyeandika hapa mama ake ni yule anayegemea khanga ya kijani na tuvitishirt tule twa afu3 twa kijani, kavaa ndala imeisha kulia, baba sasa🤫 ana kakofia kake ka uandikishaji wapiga kura kale keupe ila ndo ni chafu hadi rangi haisomeki ni gani, ana t-shirt yake ya chama imeisha isha mgongoni utamwambia nini sisi ndo wazee wa chama
 
Back
Top Bottom