JwaLema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.
Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.
Sasa mtu asiyeogopa kufa ilikuwaje akamkimbia mzee Magu baada ya uchaguzi kuisha na leo amepata ujasiri wa kukwambia Lema kuwa haogopi kufa.
Tusilishane matango pori, jela sio kuzuri na kwa vile Lissu hana adabu mwacheni akae huko, watu wanaopanga kukinukisha zawadi yao ni Segerea tu.
Kama Lema unaona jela kuzuri fanya kama alivyofanya Lissu ili na wewe tukija gerezani utuambie hivyo hivyo
Shikeni adabu zenu, alaa
Kwa hiyo Magufuli alikuwa muuwaji?Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.