Uchaguzi 2020 Kama tungekuwa na uchaguzi wa Rais wa Dunia, Magufuli angeshinda asubuhi!

Kipi amewahi shinda binafsi bila kubebwa,
 
Sawa tumekubali magu rais wa dunia. Sas wewe fanya hivi. Tengeneza onlie polls nenda kawaambie mataga wote wapige kura yani fanya kampeni.

Muweke meko na mwingine muweke hata bambo.
Wawe wanania urais wa dunia.
Baada ya wiki au wiki 2 tuletee matokeo hapa.
Hayo maneno unyoropokwa ni mihemko tu.
Weka polls
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maneno yako ya mwisho yenye mistari mitatu

Yamenichekesha Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mimi naku support Mkuu

Japo Mimi sio CCM wala Chadema wala Sina chama ila napenda mtu mwenye Kujitum kwa ajili ya wananchi wake

Mimi na mkubali Sana Mh. Magufuli ila kuna watu wanapitiliza kwenye kumsifu

Mwambie huyo alieleta uzi huu aangalie Serekali ya CUBA tu ndo atajua hajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CUBA kwenyewe wanataka Magufuli awe rais wao
 
Ushahidi ni rais Magufuli kushangiliwa kwa nguvu nchini Afrika Kusini
Kumbe ni kushangiliwa Africa kusini na siyo CUBA. Kwa hiyo wewe ukishangiliwa mahali au nchi yoyote utatakiwa kwenda kutawala???? Acha ujinga wewe. Museveni na Kagame wakijaga Tanzania wanashangiliwa sana lakini hilo halimaanishi kuwa tunataka wawe marais wetu. Ebu punguza wenge na jifunze kuwa straight kwenye kila unalofanya au unaloongea. Africa kusini na Cuba ni nchi mbili tofauti....Unapopokea pesa angalia pia ukweli.
 
Wewe mwenyewe kwenye moyo wako unamtaka Magufuli
 
Delete ccm Oct 28
 
Hata kama Kampeni zingeamuliwa kwa Push ups bado angeshindwa na Putin ......!!
 
Dunia inamchukia majirani zake wanamchukia sasa angekua rais wa miti?......Huyu anafaa arudi akawe katibu kata kule chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…