Uchaguzi 2020 Kama tungekuwa na uchaguzi wa Rais wa Dunia, Magufuli angeshinda asubuhi!

Habari wana jukwaa.

Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.

Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!

Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.

Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
Kipi amewahi shinda binafsi bila kubebwa,
 
Sawa tumekubali magu rais wa dunia. Sas wewe fanya hivi. Tengeneza onlie polls nenda kawaambie mataga wote wapige kura yani fanya kampeni.

Muweke meko na mwingine muweke hata bambo.
Wawe wanania urais wa dunia.
Baada ya wiki au wiki 2 tuletee matokeo hapa.
Hayo maneno unyoropokwa ni mihemko tu.
Weka polls
 
Habari wana jukwaa.

Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.

Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!

Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.

Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maneno yako ya mwisho yenye mistari mitatu

Yamenichekesha Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It so funny ! Wanasiasa na washabiki wasiasa.. wanaompenda mhe. Wanadhani kuwa na nchi zingine huko duniani zinawaza kama tunavyowaza huku tz.
Wamashabikia kama wanavyoshabikia tz.

The truth is very very different out there. Ni nchi nyingi ambazo hazijali wala hazitaki kujua ndani kuna nini kinaendela kwenye siasa za tanzania.
Wana marais huko kwao wanafanya vizuri tu kuliko rais wetu.. wana marais wenye good track za uwajibikaji kuliko jpm.
Lengo si kumpinga mhe rais. Anafanya mengi..
Anafanya kazi nyingi sana na matokeo tunayaona.

Lakin huko nje hawawazi kama tunavyowaza humu ndani. wana mambo yao mengine kabisa.
Hata Mimi naku support Mkuu

Japo Mimi sio CCM wala Chadema wala Sina chama ila napenda mtu mwenye Kujitum kwa ajili ya wananchi wake

Mimi na mkubali Sana Mh. Magufuli ila kuna watu wanapitiliza kwenye kumsifu

Mwambie huyo alieleta uzi huu aangalie Serekali ya CUBA tu ndo atajua hajui

CUBA kwenyewe wanataka Magufuli awe rais wao
 
Ushahidi ni rais Magufuli kushangiliwa kwa nguvu nchini Afrika Kusini
Kumbe ni kushangiliwa Africa kusini na siyo CUBA. Kwa hiyo wewe ukishangiliwa mahali au nchi yoyote utatakiwa kwenda kutawala???? Acha ujinga wewe. Museveni na Kagame wakijaga Tanzania wanashangiliwa sana lakini hilo halimaanishi kuwa tunataka wawe marais wetu. Ebu punguza wenge na jifunze kuwa straight kwenye kila unalofanya au unaloongea. Africa kusini na Cuba ni nchi mbili tofauti....Unapopokea pesa angalia pia ukweli.
 
Wewe mwenyewe kwenye moyo wako unamtaka Magufuli
 
Habari wana jukwaa.

Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.

Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!

Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.

Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
Delete ccm Oct 28
 
Hata kama Kampeni zingeamuliwa kwa Push ups bado angeshindwa na Putin ......!!
 
Dunia inamchukia majirani zake wanamchukia sasa angekua rais wa miti?......Huyu anafaa arudi akawe katibu kata kule chato
 
Back
Top Bottom