Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
- Thread starter
- #101
Anashika mkia kabisa š¤£Bi tozo anaweza kuwa hata wa mwisho kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anashika mkia kabisa š¤£Bi tozo anaweza kuwa hata wa mwisho kabisa
Umeandika pumba sana, andika hiviKama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.
Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.
==================
Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.
Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
Angalia usije ukatekwa.Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.
Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.
==================
Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.
Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
Mungu huyo huyo tumuabuduye alisema tutawajua kw matendo Yao na matamshi Yao! Na si kwa moto ama akili. Sasa matamshi na matendo yanamuhukumu Ndugu yetu mtanzania Mwenzetu Antipasu kuhusu kutotosha kwenye kiti!maana binadamu Huang akia kwa nje bali Mungu huangalia moyo na akili
Mungu huyo huyo tumuabuduye alisema tutawajua kw matendo Yao na matamshi Yao! Na si kwa moto ama akili. Sasa matamshi na matendo yanamuhukumu Ndugu yetu mtanzania Mwenzetu Antipasu kuhusu kutotosha kwenye kiti!
Duh!Angalia usije ukatekwa.
Kwamna hata ACT itawazidi?Oktoba wataiba kura na kufanya figisu na watashinda. Ila ccm bila wizi wa kura na kufanya figisu kwenye uchaguzi wanakuwa wa mwisho kwenye uchaguzi š¤£
Sawa upo sawa ulivyoeleza. Na Sasa Tutumie maelezo yako kuchambua hoja ya kutotosha kwa Antipasu kwenye kiti.Huo ni mtazamo wako binafsi.
Hata Daudi hakuna ambae angezani anaweza kuwa Mfalme kwa mtazamo wa kibinadamu.
Wangesema vidingizio vingi kama vile umri Mdogo na kama hivyo visingizio vyako lakini Mungu yeye anaangalia moyo akaona kwa majira na nyakati zile aliyeweza kufaa ni Daudi.
Bado nasisitiza Mungu akiamua lolote linaweza kutokea kwa alitakalo yeye.
Yeye ajuae kuichunguza mioyo na nia zetu anajua yote.
NdioKwamna hata ACT itawazidi?
Kazi ipo. Wizi wa kura ndio mbinu ya uhakika ya kushindaBitozo atawapa wakati mgumu sana watu wa Tume ya uchaguzi namna ya kumsaidia
Lissu Ameshinda Uwenyekiti kwa asilimia 51.5% na hii ni ya wajumbe 513Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.
Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.
==================
Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.
Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
Sawa
Ccm daima Samia mitano nyie pigeni kelele mjini hapa huko vijijini tutawapigaKama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.
Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.
==================
Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.
Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
Wizi wa kura na figisu za uchaguzi ndio mbinu za ccm.Ccm daima Samia mitano nyie pigeni kelele mjini hapa huko vijijini tutawapiga
Wananchi tunataka wali maharage tafadhali ,huwez fananisha wali maharage na vitu vingine ,ubwabwa maharage weka iwe 75% hao wengine wagawaneKama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.
Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.
==================
Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.
Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
Yah hizo hizoWizi wa kura na figisu za uchaguzi ndio mbinu za ccm.
yaani mapema sana na ccm ndo watampigia kura Lisu na chademaKama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.