Pre GE2025 Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atashinda kwa 95%, Samia atakuwa nafasi ya nne.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
U
Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.

Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.

==================

Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.

Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
Umeandika pumba sana, andika hivi
1 Chadema
2 act Wazalendo
3 chauma
4 CCM.
Au taja majina tuu siyo kuchanganya Chama mara jina la mtu nkm
 
Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.

Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.

==================

Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.

Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
Angalia usije ukatekwa.
 
maana binadamu Huang akia kwa nje bali Mungu huangalia moyo na akili
Mungu huyo huyo tumuabuduye alisema tutawajua kw matendo Yao na matamshi Yao! Na si kwa moto ama akili. Sasa matamshi na matendo yanamuhukumu Ndugu yetu mtanzania Mwenzetu Antipasu kuhusu kutotosha kwenye kiti!
 
Ccd bado ina nguvu si ya kubeza. Wanachama wake tu wanaweza kuipa kura nyingi. Mzee wa ubwabwa ampite Samia kwa kura! are you serious? labda ungesema atakuwa wa pili hapo sawa kwa maana lissu ana kura nyingi zisizo za wanachama wa chadema ongeza na za wanachama wake wa chadema. ACT atakuwa wa tatu, ana mtaji wa kura kule zanzibar
 
Mungu huyo huyo tumuabuduye alisema tutawajua kw matendo Yao na matamshi Yao! Na si kwa moto ama akili. Sasa matamshi na matendo yanamuhukumu Ndugu yetu mtanzania Mwenzetu Antipasu kuhusu kutotosha kwenye kiti!

Huo ni mtazamo wako binafsi.
Hata Daudi hakuna ambae angezani anaweza kuwa Mfalme kwa mtazamo wa kibinadamu.
Wangesema vidingizio vingi kama vile umri Mdogo na kama hivyo visingizio vyako lakini Mungu yeye anaangalia moyo akaona kwa majira na nyakati zile aliyeweza kufaa ni Daudi.
Bado nasisitiza Mungu akiamua lolote linaweza kutokea kwa alitakalo yeye.
Yeye ajuae kuichunguza mioyo na nia zetu anajua yote.
 
Sawa upo sawa ulivyoeleza. Na Sasa Tutumie maelezo yako kuchambua hoja ya kutotosha kwa Antipasu kwenye kiti.

Kwenye bandiko lako umesema "Mungu huona majira na nyakati na kuchagua anayefaa ndiposa Daudi akaukwaa uongozi". Kwa maelezo haya haya Mungu kaona Trump anafaa akaona asiondolewe kwa risAsi. Trump kaingia madarakani anapiga marufuku vitendo viovu vya kishoga kuenezwa. Ni nyakati za Sasa Kumbuka Ndugu yangu na sizungumzii mambo ya kale ya Mungu ni mambo ya Sasa ya Mungu. Sasa tulirudi Tanzania, Tunaye Antipasu ambaye alinukuliwa kupata kigugumizi katika kuunga mkono kupiga vita vitendo hivi viovu pale alipokuwa anahijiwa na "Sucker wa BBC" kwenye hard talk!!! Watanzania na nyakati za Sasa hazitaki kigugumizi katika kupinga matendo ya Shetani!!!

Sitakuamini ukisema Mungu wa Trump na wamarekani si Mungu wa Antipasu na wanatanzania wakati ukijenga hoja kulazimisha Antipasu aingie sehemu takatifu ya Kiti.
 
Bitozo atawapa wakati mgumu sana watu wa Tume ya uchaguzi namna ya kumsaidia
 
Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.

Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.

==================

Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.

Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
Lissu Ameshinda Uwenyekiti kwa asilimia 51.5% na hii ni ya wajumbe 513
Sasa kwa tanzania hawezi kupata 95% hata siku moja.
Samia atapata nyingi na tayari anajulikanwa Tanzania yote.
 
Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.

Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.

==================

Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.

Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
Ccm daima Samia mitano nyie pigeni kelele mjini hapa huko vijijini tutawapiga
 
Wananchi tunataka wali maharage tafadhali ,huwez fananisha wali maharage na vitu vingine ,ubwabwa maharage weka iwe 75% hao wengine wagawane
 
Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.

Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.

==================

Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.

Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
yaani mapema sana na ccm ndo watampigia kura Lisu na chadema
 
Back
Top Bottom