kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
ilo andiko limekuja kumaliza kila kituMhubiri 9:11
Tena, nimeona kitu kimoja hapa duniani, kwamba wenye mbio hawafaulu katika riadha, wala wenye nguvu hawashindi vita; wenye busara hawapati chakula, wenye akili hawatajiriki, wala wenye ujuzi hawapandi vyeo; lakini wakati wa bahati huwapata wote pamoja.
CC kajamaa kadogo
Hapo juu Kuna sehem nimesema nafikiri Mimi ni miongoni mwa wenye Bahati sio kwamba nachangamsha genge, nna maanisha.
Nakumbuka boss wangu mmoja tuliwahi fanya kazi wote mwaka 2009 aliniambia " The Monk, you know your hands are blessed, whatever you touch works, you are talented..." Alinipigania nikapandishwa mshahara na cheo bila kujali elimu yangu na vigezo vingine.
Huo ni mfano mmoja tu kati ya mingi ambayo siwezi kuielezea yote hapa.
Sio kwamba sipitii changamoto, la hasha lakini Bado naona upendeleo na upendeleo mambo yakifanyika unasema hii ni Neema ya Mungu tu.
Mimi sipendi sana kuzungumzia makabila. Ninaishi Kilimanjaro, huwa nikiona mtu anasifia Wachagga kwa Mambo fulani namuona Kama mpumbavu ambaye hajawahi kutoka kwenye comfort zone yake.Unakosea etu wachaga Wana bahati sana unakosea sana mtu wangu tuko nao Wana njaa kibao
Usiingize kabila mzee Kuna vingi katika utajiri japo bahati nakubali 100% mi nilishwai kuwa na bahati namshukuru mungu kwa hapa nilipo
Wachaga hawana bahatu bali waliingia kweny system na kuungashana went bahati ni wale labda wanatokea Yale makabila na background hazijulikani na wanafika mbali
Mimi sipendi sana kuzungumzia makabila. Ninaishi Kilimanjaro, huwa nikiona mtu anasifia Wachagga kwa Mambo fulani namuona Kama mpumbavu ambaye hajawahi kutoka kwenye comfort zone yake.
Ukweli ni kwamba Wachagga wanazaliwa wakiwa katika mazingira ambayo yanawalazimisha kupambana kufa na kupona na kuthamini unachotafutaa kwasababu wanaona.
Uchaggani Hakuna ardhi kabisa na ardhi nzuri pia ni kidogo mnoo.
Kwahiyo, unazaliwa kwenu tu Hakuna ardhi na hata kama ukipewa wanaita Kihamba Ni kidogo na mkiwa wengi ni balaa zaidi.
Sometimes, Mzee wako anakupq anakwambia Jenga Happ, Kama huna kitu unajenga nyumba ya tope au mbao kulinda Kiwanja.
Huku Hakuna mtu atalia siku ya msiba wako, watu watajaa tu kuja kula na kunywa na kurithi ulicho acha.
Kama huna kipato huku uchaggani utazikwa Kama Mzoga wa mbwa Koko maana Hadi kaburi watu mpaka walipwe ndio wachimbe.
Na ndio maana mchagga Yuko tayari hata kuua watu ili apate pesa.
Kwenye system wengi walking enzi za Mkapa kupitia mke wa Mkapa.
Enzi hizo, Rais Mkapa mke wake ( Mchagga) halafu, Waziri Mkuu Sumaye na Waziri wa fedha Ni FISADI Mramba. Kwanza Rami ilipelekwa kibabe mpaka huko vijijini Rongai, Chaka poli karibu na Kenya.
Kwahiyo, katika mazingira hayo sioni Kama Kuna bahati yoyote.
Mchagga akitoka Old Moshi Hana ardhi, akifika Kishapu huko ardhi tele, na kwasababu thamani yake ananunua eneo kubwa sana analima, anafuga Nguruwe, ng'ombe na mbuzi. Huku akowa na biashara ya muda ana biashara ya Bar na Duka huwezi kusema Ni bahati.
Ni Mapambano yanayotokanq na kumbukumbu mbaya na uzoefu wa alikotoka.
Kuwa na ndugu wa kukushika mkono nayo ni bahatiUnakosea etu wachaga Wana bahati sana unakosea sana mtu wangu tuko nao Wana njaa kibao
Usiingize kabila mzee Kuna vingi katika utajiri japo bahati nakubali 100% mi nilishwai kuwa na bahati namshukuru mungu kwa hapa nilipo
Wachaga hawana bahatu bali waliingia kweny system na kuungashana went bahati ni wale labda wanatokea Yale makabila na background hazijulikani na wanafika mbali
Ukiishi uchaggani ndio utajua. Mchagga Hana Ndugu Wala Mtoto.Hii umenikumbusha jamaa yangu sana alikua Mzimbabwe, nikamuulize kwanini uko aggressive sana, na ni kipi kimekufanya kuwa mtu wa utaratibu na kujipanga kutafuta maisha? Alinijibu tu " poverty my friend, am afraid of pivery, going back to where I came from. You know I got no uncle or some one who can place me somewhere if I get fired or lose the job..."
Mwingine ni mchina, nae nikamuulize kwanini na wao ni wapambanaji sana? Huyo alisema tu " we are so many, we don't believe in God, money/ wealth is what gives you power..."
Nikilinganisha na maelezo Yako hapo juu, naona kabisa Kuna vitu vinaeaendesha watu kuongeza juhudi za mapambano
umetufundisha kituMimi sipendi sana kuzungumzia makabila. Ninaishi Kilimanjaro, huwa nikiona mtu anasifia Wachagga kwa Mambo fulani namuona Kama mpumbavu ambaye hajawahi kutoka kwenye comfort zone yake.
Ukweli ni kwamba Wachagga wanazaliwa wakiwa katika mazingira ambayo yanawalazimisha kupambana kufa na kupona na kuthamini unachotafutaa kwasababu wanaona.
Uchaggani Hakuna ardhi kabisa na ardhi nzuri pia ni kidogo mnoo.
Kwahiyo, unazaliwa kwenu tu Hakuna ardhi na hata kama ukipewa wanaita Kihamba Ni kidogo na mkiwa wengi ni balaa zaidi.
Sometimes, Mzee wako anakupq anakwambia Jenga Happ, Kama huna kitu unajenga nyumba ya tope au mbao kulinda Kiwanja.
Huku Hakuna mtu atalia siku ya msiba wako, watu watajaa tu kuja kula na kunywa na kurithi ulicho acha.
Kama huna kipato huku uchaggani utazikwa Kama Mzoga wa mbwa Koko maana Hadi kaburi watu mpaka walipwe ndio wachimbe.
Na ndio maana mchagga Yuko tayari hata kuua watu ili apate pesa.
Kwenye system wengi walking enzi za Mkapa kupitia mke wa Mkapa.
Enzi hizo, Rais Mkapa mke wake ( Mchagga) halafu, Waziri Mkuu Sumaye na Waziri wa fedha Ni FISADI Mramba. Kwanza Rami ilipelekwa kibabe mpaka huko vijijini Rongai, Chaka poli karibu na Kenya.
Kwahiyo, katika mazingira hayo sioni Kama Kuna bahati yoyote.
Mchagga akitoka Old Moshi Hana ardhi, akifika Kishapu huko ardhi tele, na kwasababu thamani yake ananunua eneo kubwa sana analima, anafuga Nguruwe, ng'ombe na mbuzi. Huku akowa na biashara ya muda ana biashara ya Bar na Duka huwezi kusema Ni bahati.
Ni Mapambano yanayotokanq na kumbukumbu mbaya na uzoefu wa alikotoka.
Ukisema hauwezi kufanikiwa kisa huna bahati sio kweli kwa asilimia 100,jiulize Juma nature na Diamond nani mkali,je kwa nini Mond amekuwa tajiri kuliko Juma necha,hapa inabidi uchambue zaidi,hv kipindi,zama za juma necha kulikuwa na YouTube,platform za kuuza miziki,radio za kutosha?Wanamuziki wa sasa hv 2020,wanapiga pesa zaidi kupitia internet platform zaidi,hizi platform hazikuwepo,99,98,2000,sasa wakifanikiwa hiyo sio bahati,ni zama zimebadirika.Katika haya maisha kama huna Bahati mambo mengi sana utatumia nguvu
Hata kazin kama huna Bahati kupandishwa cheo itakua mtihani wanaweza wakaja wafanya wapya wakapewa vyeo kabla Yako mambo mengine sio uchawi Bali wanakua na bahati
Mfano kwa dar es salaam ukianzia mbezi, ukaenda buguruni mpaka kariakoo utaona watu wanavyopambana na maisha point yangu ni kwamba kupambana na huna Bahati utatumia nguvu sana
Ukija kwa wachaga wamefanikiwa sana ila wale watu wanabahati ambayo Haina maelezo sio kwamba makabila mengine hawajitumi Bali hawana Bahati
Ukija kwa wazungu ni kweli wanaakili sana ila wana Bahati sana Kuna mambo hawatumii nguvu kuyaelewa ni tofauti na race nyingine
Ukija kwa wanawake kama huna Bahati nao utatumia nguvu nyingi kuwapata na watakusumbua sana, Kuna jamaa ni wakawaida Ila mkienda nae sehemu mademu wa zuri Wanashobokea Sana Mara wanamfananisha ni basi tu waongee nae
Kuna watu wengi wanamaisha ya kawaida sio kwamba hawajitumi wanafanya sana kazi kwa bidii Ila hawana bahati
Ndo hapo namwambia huyo ila mi amor miongoni mwa njia za kufanikiwaKuwa na ndugu wa kukushika mkono nayo ni bahati
Umesema kweli ndo maana wako mikoani sana na wanamiliki ardhi nyingiMimi sipendi sana kuzungumzia makabila. Ninaishi Kilimanjaro, huwa nikiona mtu anasifia Wachagga kwa Mambo fulani namuona Kama mpumbavu ambaye hajawahi kutoka kwenye comfort zone yake.
Ukweli ni kwamba Wachagga wanazaliwa wakiwa katika mazingira ambayo yanawalazimisha kupambana kufa na kupona na kuthamini unachotafutaa kwasababu wanaona.
Uchaggani Hakuna ardhi kabisa na ardhi nzuri pia ni kidogo mnoo.
Kwahiyo, unazaliwa kwenu tu Hakuna ardhi na hata kama ukipewa wanaita Kihamba Ni kidogo na mkiwa wengi ni balaa zaidi.
Sometimes, Mzee wako anakupq anakwambia Jenga Happ, Kama huna kitu unajenga nyumba ya tope au mbao kulinda Kiwanja.
Huku Hakuna mtu atalia siku ya msiba wako, watu watajaa tu kuja kula na kunywa na kurithi ulicho acha.
Kama huna kipato huku uchaggani utazikwa Kama Mzoga wa mbwa Koko maana Hadi kaburi watu mpaka walipwe ndio wachimbe.
Na ndio maana mchagga Yuko tayari hata kuua watu ili apate pesa.
Kwenye system wengi walking enzi za Mkapa kupitia mke wa Mkapa.
Enzi hizo, Rais Mkapa mke wake ( Mchagga) halafu, Waziri Mkuu Sumaye na Waziri wa fedha Ni FISADI Mramba. Kwanza Rami ilipelekwa kibabe mpaka huko vijijini Rongai, Chaka poli karibu na Kenya.
Kwahiyo, katika mazingira hayo sioni Kama Kuna bahati yoyote.
Mchagga akitoka Old Moshi Hana ardhi, akifika Kishapu huko ardhi tele, na kwasababu thamani yake ananunua eneo kubwa sana analima, anafuga Nguruwe, ng'ombe na mbuzi. Huku akowa na biashara ya muda ana biashara ya Bar na Duka huwezi kusema Ni bahati.
Ni Mapambano yanayotokanq na kumbukumbu mbaya na uzoefu wa alikotoka.
Huku Hakuna kitu MkuuUmesema kweli ndo maana wako mikoani sana na wanamiliki ardhi nyingi
Bahati ipo tena ipo sana soma biblia au Qur'an ndyo utajua ayooo kama wanavyosema waisrael wamependelewa tofauti na wanadamu wengine unaweza his labda ni uzushi Ila ukichimbua utakuta kuna ukweli ndani yake Mimi siyo mtu wa bahati kabisa Mambo yangu mengi lazima nitumie nguvu kuyapata yani lazima yatokane na akili na uwezo wangu bila ivyoo sina Ila Kaka yangu ni mtu wa bahati sana assume aliweka hasara ya million 20 nabado akaeleweka na familiahakuna kitu kinaitwa bahati wala nyota acheni kukalilisha watu upuuzi ninachojua dunia inataka juhudi na ukutane na watu sahihi enough
ilo andiko limekuja kumaliza kila kitu
"lakini wakati wa bahati huwapata pamoja"
kumbe tunaona watu wote wana bahati isipokuwa yule asiye na juhudi pia nimesoma short story yako hapo juu inaonyesha wewe umewekeza kwenye maarifa [ kujianda ] kwahiyo acha kusema ni bahati mimi naweza kusema hiyo ni juhudi
ogea chumviya maweUkiwa na bahati ni jambo zuri sasa ishu nyingine bahati inakuja vipi kwako au ni njia gani za kukufanya uwe na bahati (ngekewa) wataalam waje watusaidie [mention]Mshana Jr [/mention]
Lucky? Ina mana kulipwa laki 5 mwalimu ni bahati yake? We unaona umaskini na utajiri ni mipango ya mungu?Katika haya maisha kama huna Bahati mambo mengi sana utatumia nguvu