Unaamua mwenyewe kutengeneza mazingira ya kukutana na watu sahihi.Kitu Gani kinakufanya wewe ukutane na watu sahihi na mwingine asikutane nao?
Yaah, Kwahiyo huelewi ni maneno ya nani? Nikufundishe?Nafikiri hapo juu ulisema Kuna wakati sio Kila mtu anakuelewa au muelewane. Naomba Kwa hili niishie hapa.
Kuna watu Wana ndugu, majirani, marafiki zao wanaela lakin hawawasaidii wanaenda kusaidia watu wengine unaweza ukawa umezungukwa na watu sahii wasiwe na msaada kwako ukaja saidiwa na mtu strangerHow do you ensure " uko circled na watu wa namna flani?"
Bibi Upo?Yaah, Kwahiyo huelewi ni maneno ya nani? Nikufundishe?
Alhamdulillahi, nimejaa tele.Bibi Upo?
Yaah, Kwahiyo huelewi ni maneno ya nani? Nikufundishe?
Karudi tena umsome mhubiri: "Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili" (1:2).You are right madam.
Andika tu alafu ufunge pm yakoKuna mambo yanihusuyo huwa nasita kuandika hapa kwani naihurumia pm yangu
Karudi tena umsome mhubiri: "Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili" (1:2).
You are more than right.
Kuna watu Wana ndugu, majirani, marafiki zao wanaela lakin hawawasaidii wanaenda kusaidia watu wengine unaweza ukawa umezungukwa na watu sahii wasiwe na msaada kwako ukaja saidiwa na mtu stranger
Watu sahihi sio kazi yako kuwatambua,kuwajua na kuwafahamu ila hao watu sahihi ndio watatambua potential,skills and talent uliyonayo wwNdio maana nimeuliza huyo mkuu hapo anaposema make sure unazungukwa na watu sahihi, hiyo kuwang'amua hao watu sahihi ni Bahati pia. Kwanini wakusaidie wewe na si wengine?
Watu sahihi sio kazi yako kuwatambua,kuwajua na kuwafahamu ila hao watu sahihi ndio watatambua potential,skills and talent uliyonayo ww
Cha msingi kutoka kwako ni pure engagement na jamii kwa ujumla na automatically watu sahihi watakuja kwako