Kama ukiwa huna Bahati (luck) utatumia nguvu nyingi sana kwenye mambo mengi

Mimi pia ni kati ya watu wenye bahati sana,sema nilizichea nikaja kujuta badae,hii ni Kwny mahusiano, kipato , kibali
 
Bahat zipo ndugu yng,


Hakunaga bahati, Ni effort zako zinakutana na opportunity ..ndio munaita lucky, but Mimi naamini hakuna bahati katika maisha. Chochote kiruzi ama kibaya kikitokea kwenye maisha yako, hiyo Ni nature imeamua hivyo.
 
Kuna watu Wana bahati sanaa...mtalima nae yeye atavuna mazao yenye afya Zaid ako....

Bahati zinawachagua wenye bahati....watu wenye bahati hawanaga hustler

Nakubaliana na wewe damu ya kichaga ime be blessed...

Wazungu (race) kwao hata vitu vigumu na complicated wanavielewa na kuvielezeea simple....

#luck of time or worse of time#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…