Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakunaga bahati, Ni effort zako zinakutana na opportunity ..ndio munaita lucky, but Mimi naamini hakuna bahati katika maisha. Chochote kiruzi ama kibaya kikitokea kwenye maisha yako, hiyo Ni nature imeamua hivyo.
Endelea kujifunza bado kuna mengi sana huyafahamuHakuna kitu kinaitwa bahati wala nyota acheni kukalilisha watu upuuzi ninachojua dunia inataka juhudi na ukutane na watu sahihi enough
Bahati= maandalizi yaliyokutana na fursa.Hakuna kitu kinaitwa bahati wala nyota acheni kukalilisha watu upuuzi ninachojua dunia inataka juhudi na ukutane na watu sahihi enough
How?Nyota nyingi zinaibwa na wachawi na wenye roho mbaya
Ni afadhari, hapo menopause sijakosea potelea mbali= afadhali
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?