Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

Mkuu kwanini unajihangaisha na mtu muongo. Kwa kusoma mwandiko tu unatakiwa uujue ukweli. Kuna mtu hapa anadhani jamaa amezunguka kweli hizo nchi 125
 
Mkuu Mimi nipo na Akili Sana kichwani na najikubali sasa tunafikaje hapo katika nchi za Asali na maziwa maana hapa Tanzania tunazidi kuchakaa na kufa Mapema

Mfano mshahara Mdogo
Ukiwa na Akili unachukiwa so Mimi nipo tiyari kuja ughaibuni Mkuu
 
Bila uwepo wa USA

Huu Uzi wako ni Batili.
 
Tupe sababu zilizokufanya usiweke makazi ya kudumu katika nchi Moja wapo kati ya hizo ulizotuambia ukawa unazunguka tu
 
Bila uwepo wa USA

Huu Uzi wako ni Batili.
USA its shit country! si nchi nzuri kama wengi tunavyohadithiwa ni majirani zangu hao ila dah kimaisha hapana, ukiishi hiyo nchi roho inakuwa juu tu, wasiwasi, mashaka mashaka na depression mbaya zaidi crime rates iko juu sana marekani, wanaosema pesa ipo ni kweli pesa ipo, ila pesa nyingi watu wanazipata kwa kufanya shughuli haramu(We call "Dirty Money") Jambo ambalo linaloweza kufanya life expectance yako kushuka chini kila kukicha.. kwa jicho la kitalaamu simshauri mtu kuingia humo labda kama una ndoto za kupata hela tu na kuondoka..
 
Inamaana wewe huna akili? Umeshindwa kwenda kuishi kwenye hizo inchi?pili inaonekana ni kati ya watu ambao mnahudumiwa na selikali, inamaana huwa huendi kwa gharama zako
 
Zitaje sasa hizo nchi.
Mauritius kuna amani kuliko nchi yeyote Africa na pia kuishi

Seychelles, Botswana, Ghana, Namibia na hata Cape Verde na SA

Hizo zote kuna maisha ya uhakika na kama una mtaji unaweza kufanya mengi tu
Ardhi unapata kama una nia ya Ranch na kilimo
Kama ni biashara wanakaribisha watu na longolongo kama za kwetu na tamaa za mswahili hakuna huko

Hata kwa Kagame ni pazuri pia na ujinga ujinga hakuna
Kama unataka kibali, ndani ya masaa 24 unapewa

Naona kuna zingine ila walizijadili sana humu kwa ubaguzi wao hizo pia zina maendeleo kuliko sisi
 
SA hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…