Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye


Argentina vipi mzee?
 
Tupambane kuijenga nchi yetu.
Hizo nchi unazozisema wananchi waliumia kuzijenga.
Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania.
Nchi yangu.
 
CANADA itoe hapo. Kuna kiongozi mkubwa wa upinzani alienda huko akiwa na akili timamu amerudi akiwa taahira. HAPAFAI huko. Hakuna nchi tamu kama Tanzania ukiweza kumudu bills zako.
 
Nimeishia hapo ulipoitaja South Africa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Una miaka 34 ushazunguka nchi 125 na kila nchi umekaa miezi 6 6, ningependa kujua umeanza kutembelea tangu ukiwa na umri gan na ulifika kupitia mgongo wa nani?

Kuna watu ni vibopa Ila hata nchi 15/20 hawajatembelea, sasa wewe imekuaje kuaje?

Usije ukawa unatuletea akili za kitoto

Au ndio ile true definition of Bill Lugano on the 1 & 2
 
Punguza wivu wewe MTU WA mkoani

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mtu anaeishi Dar huwezi mlinganisha na mtu anaeishi Namtumbo huko sijui Simanjiro Mahuta Shimoni lazima utofauti uwepo
 
Tupambane kuijenga nchi yetu.
Hizo nchi unazozusema wananchi waliumia kuzijenga.
Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania.
Nchi yangu.
Tanzania Tanzania Nchi yangu Tanzania
Huu wimbo ni Mali ya Tanzania

Tazama Ramani utaona Nchi nzuri
Huu wimbo ni Mali ya Tanzania

MUNGU ibariki Tanzania
Huu wimbo sio Mali ya Tanzania ni Mali ya South Africa
 

Why not UK
Spain .
Italy
France
Portugal...hizi zina nini ambacho umeziona hazifai ??
 
hii post naitazama kwa jicho tofauti sana. Kwa wajuvi unaweza kubaini Unigeria kwa mbaaali. Hii post iko kimtego kuvuta wapenda mteremko na maisha ya chap chap wamfuate DM afu hapo ndio wapigwe kama kawaida.
 
Kuna documentary niliangalia inaelezea maisha ya homeless people wa America
Walikua wame cover kitongoji kimojawapo cha jiji maarufu na tajiri sana la Los Angeles kinaitwa Skid row

Aisee wale mbwa wanapata tabu yani wana maisha ya dhiki utadhani wale jamaa wanaolala nje ya maghofa kule kariakoo
 
Nasubiri majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…