44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Vijana wengi wa kiume wamekuwa wakiwapomda sana single mama kwa kuwakashifu kuwa hawawezi kuolewa. Wanaume weng wanaamin kuwa ukimuoa single maza atakusumbua kwa tabia mbaya hasa ile ya kuwasiliana na mzaz mwenzi. Lakn ukweli ni kwamba single maza wanaolewa na wanakalika katka ndoa!
Wewe mwanamke ulieolewa ukiwa single mama na ndoa yako ikadum hebu njoo uzibe midomo ya hawa wanaume!!! NB:Unapotoa ushuhuda ni vizur ukataja na changamoto unazokutananazo kuhusu mtoto wako wa nje hasa unavyowasiliana na mzaz mwenzio na jins unavyokaribiana nazo hzo changamoto!! Karibuni.