Kama uliolewa ukiwa "single mother" na ndoa ikadumu njoo uwape moyo wenzio!

Kama uliolewa ukiwa "single mother" na ndoa ikadumu njoo uwape moyo wenzio!

Wanawake wote Ni walewale tu hakuna Cha single mother Wala asie single mother Kama Hana tabia nzuri hatokuwa nacho

Kasumba iliyopo huwa tunaogopa kuhudumia watoto ambao sio damu zetu na hapo ndio mambo mabovu yanaanza

Kuna single mother wako katika ndoa miaka na miaka ila hao ambao sio single mother wakifunga ndoa Leo baada ya miez kadhaa utasikia hakuna ndoa Tena

Cha msingi muweke mwanamke katika kujal Hali yake na kujua thamani yake Basi

kilicho akilini kitumie
 
Kuna wadada nawafahamu wameolewa wakiwa single moms lkn ndoa zao zinaenda poa tu.

Nadhani inategemea na single mama mwenyewe anajitambuaje, kuna ambao ni wastaarabu ni vile ilitokea tu hao baba watoto wao wakaenda zao, au utoto ile stage ya balehe wakajikuta wanapata ujauzito, so huyu akipata mume atakua serious na mwenye kujiheshimu.

Changamoto inatoka kwa sisi watu wa pembeni kuwanyooshea vidole, like "yule ni firstborn wake si mtoto wa huyo mume wake" nk, inawafanya wajiskie vibaya. Ila ni watu poa na wanajua maisha coz wamepitia mengi. Vijana acheni woga oeni.
Mwanamke anayetaka kufaa kwenye ndoa alelewe kwa kujizuia. Hizi hadithi zenu zinachosha, tangu awali mwanamke alipaswa kulinda hadhi yake wa ajili ya ndoa. Ndivyo ilivyo kwa mwanamume pia. VIJANA JIFUNZENI CHASTITY.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Hiviiii hakunaga Single father mwe? Wasichana ambao hamjazaa chonde chonde msikubali kuzaa na wanaume Kama hawajawaoa.Inawezekana ndoa ikavunjika mkishakuwa mmezaa,lakn mwanamke uliyewahi kuishi kwenye ndoa unaweza amua kubaki na wanao uwalee pasipo kuhitaji ndoa Tena.

Lakin na wadada mda mwingine kashfa tunazitaka,wewe mwanaume hata posa hajatoa sawa umeamua kumpa kitumbua,lkn ndo mpaka uzaeeee? Kuna mmoja kabisa anaona mjamaa akishawazalisha tu wanawake anawatafutia sababu,na yeye kutongozwa tu kahamia kwa kaka na kuzaa kazaa.

Ametimuliwa naye anajieleza kwenye mitandao.Kama ulihisi ww waweza kuwa Bora sindo ungehakikisha kakuoa.Tena akikuoa huzai haraka hata ipite miaka 2 aje akutaliki kwa tabu.Wanawake matusi tunajitakia kwakweli.Samahanini kwa gazeti.
 
Nilipishana na mama watoto wangu kwa muda mrefu,basi bwana nikapata mwanamke ana mtoto mmoja kwa kuwa mimi nilikuwa sijapata mtoto basi nikaona siyo kesi nitamtunza dogo kama mwanangu mpaka siku tutakapokuja kupata mdogo wake.

Mtoto wake na Mwanamke wangu alikuwa anaishi na Bibi yake,siku zimeenda huku tunapanga mikakati ya kuoana kabisa,
Muda wote huo alishaniaminisha huwa hawasiliani na mzazi mwenzake bali huwasiliana na mama yake tu kwa kuwa ndiye anaishi na mtoto.

Kuna muda alisafiri siku amerudi nikachukua simu yake nikakuta amewasiliana na mzazi mwenzake, nikamuuliza "uliniambia huwa huwasiliani na mzazi mwenzako mbona mmepigiana simu uliposafiri"?

Ndipo akanieleza kwamba wanaewasiliana naye wala siyo baba wa yule mtoto,baba wa mtoto ni fulani ila huyo ameshanga'ang'ania tu kwamba mtoto ni wake ili hali siyo wake na amekuwa akimhudumia kwa muda wote mpaka hapo alipofikia,na baba yake halisi naye huwa anatuma hela ya matumizi ya mtoto.
Yaani kwa haraka haraka mtoto ana baba wawili.

Kuanzia siku hiyo alianza kuona mawasiliano yanaanza kupungua tu,nilikuwa nimeshaanza kumlipia kodi ilipoisha sikulipa tena, nikaamua kujitoa taratibu.Nikaamua kumrudisha mke wangu niliyemuoa akiwa binti,maana niliona naruka mkojo naenda kuangukia mavi kabisa.

Ile nakuja kumthibitishia kwamba nimestisha mpango wa kumuoa tayari alikuwa mjamzito mpaka muda huu naandika hapa anaelekea kujifungua mwezi June.

Huyo ni single mother mmoja aliyenifanya nistarajie kuoa mwanamke aliyezaa ikiwa mimi sina mtoto.
Siwezi kuhukumu wote kwa makosa ya huyo niliyempata lakini nawasihi ambao hawajaoa ukitaka kuoa jipe muda kidogo mfahamiane kwa kiasi fulani.
 
Kwa mke tunachza na akili yake,ila kwa gari tunacheza na injin,nadhan umeona utofaut
The question was "Unaweza kununua gari used kwa bei sawa na jipya?
Yani kuna Carina hapa used na pale Carina brand new specification zao ziko sawa kabisa utofauti ni moja limetumika jingine halijatumika which one will you buy😏
 
Vijana wengi wa kiume wamekuwa wakiwapmda sana single mama kwa kuwakashifu kuwa hawawez kuolewa.
Wanaume weng wanaamin kuwa ukimuoa single maza atakusumbua kwa tabia mbaya hasa ile ya kuwasiliana na mzaz mwenzie
Lakn ukweli ni kwamba single maza wanaolewa na wanakalika katka ndoa!!!
wew mwanamke ulieolewa ukiwa single mama na ndoa yako ikadum hebu njoo uzibe midomo ya hawa wanaume!!!
NB:Unapotoa ushuhuda ni vizur ukataja na changamoto unazokutananazo kuhusu mtoto wako wa nje hasa unavyowasiliana na mzaz mwenzio na jins unavyokaribiana nazo hzo changamoto!! karibun

Ukiifunga hii mada uje na ya wababa tuliooa single mothers tunakutana na changamoto zipi. Tutazileta.

Ukimaliza hiyo uje na ile ya Wadada walioolewa na njema lenye mtoto/watoto.

N.k
 
Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujitafutia matatizo tu kwa bei rahisi!!baby mama wangu mmoja kaolewa mie na kula mzigo muda wote nao taka kw kisingizo nataka kumuona mwanangua!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamke humgongi kwa sabab ya kuwa umezaa nae ila unamgongi kwa sabab yeye ni mzinifu tu,na usijidanganye kuwa unamgonga wew kwa vile ulizaa nae,lazma watakuwepo na wanaume wengne anaozin nao.mzinz ni mzinz tu hata usingekuwa umezaa nae ungekuwa unazin nae tu
 
Back
Top Bottom