Kama uliolewa ukiwa "single mother" na ndoa ikadumu njoo uwape moyo wenzio!

Kama uliolewa ukiwa "single mother" na ndoa ikadumu njoo uwape moyo wenzio!

Wanaoponda single mama mbona si waoaji. Ni wavulana tu wanaoishi na hofu za kugongewa.

Wanaume huwa hawana hiyo hofu maana mpenzi au mke wake akimsaliti mwanamke ndo anapoteza zaidi. Na utamuona atakavyotembea kwa magoti akiteseka kuomba msamaha.

Wavulana wengi hata wakiwa na wapenzi watoto wa primary bikra, wakikua huishia kugongwa na wao ndo huomba msamaha au kuishia kusikiliza nyimbo za mapenzi na kuvuta hisia kuwa zinawahusu.
 
Write your reply...sijawahi kuona mechi inaanza 1-0

iwe league
-au Uefa

ueropa

copa liberito

vodacom premier na kadhalika

wanawake wapo wengi kwani lazima kuoa aliezalishwa na mwanaume mwezio ?
 
Ukiondoa hawa waliofiwa na waume zao wengi wao wasumbufu sana. Wengi wanakuwa na mambo mengi ya utata kutoka mahusiano yao ya nyuma. wengi hawajiamini muda wote wana hofu ya kukimbiwa. Hii inawafanya wanakosa uwazi wanafanya mambo kwa kujificha ili usijue. Usipokuwa makini kuna siku itarushwa spana mwenzio anabonyea inakuchimba mapokezi a.k.a usoni



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sista yetu alibeba mimba akiwa mtaani kamaliza form 4, huku na kule baba kaingia mitini(aliko naomba awe kati yawanaotangazwa kuikwaa korona). Matokeo yametoka kachaguliwa kujiunga chuo cha ualimu so alivojifungua akanyonyesha wiki 2 tu akalazimika kumuacha mtoto awahi registration otherwise nafasi anapewa mwingine so mzigo ungekua mkubwa kulea mama na mwanae. Akapaka ndizi mbivu za kutosha kwenye maziwa mzigo ukaanza kunyauka akasepa. Mtoto tukabaki nae akaishi kwa maziwa ya kopo(ni kipindi hiki ndo tulidevelop ile hali ya kupenda mtoto kutoka moyoni.

Akilia au akiugua unahisi uchungu ule wa ndani kabisa kama mzazi). Leo sista ni mwalimu wa shule ya msingi na yuko kwenye ndoa toka 2007 na mambo yanaenda fuleshi kabisa. Binti yake yuko form 3 na anaishi kwa mama yetu kule kwa mama yake anaenda kusalimia mara moja moja kuepuka migongano mingine isiyo ya lazima.. Singo maza wanaoleka so kudum au kutokudum kwenye ndoa ni swala la tabia binafsi za mmoja mmoja..
 
Write your reply...sijawahi kuona mechi inaanza 1-0


iwe league
-au Uefa

ueropa

copa liberito

vodacom premier na kadhalika



wanawake wapo wengi kwani lazima kuoa aliezalishwa na mwanaume mwezio ?

Kwahiyo 2nd leg sio mechi zile huamuriwa kwa aggregate score..?
 
Back
Top Bottom