Kama uliolewa ukiwa "single mother" na ndoa ikadumu njoo uwape moyo wenzio!

Mimi niliwahi kua na mahusiano na mtu Kwa muda alikua hataki kabisa kunipeleka kwao lkn alitaka nizae nae kabla ya ndoa alinibana kiasi cha kuona hakuna mwanaume anaenipenda kama yeye hapo nilikua binti wa miaka 20 tuu yule mwanaume alinilazimisha sna nimzalie nikaona isiwe tabu ngoja Nihame mji kimya kimya baada ya miez 6 nikagundua Ana watoto kama 5 kila mtu na mama yake
Note: wanaume ndo wanasababisha uwepo wa single mother


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibun wadau mchangie maada nzur na yenye mafunzo
 
Sio wanaume wote madam
 
Sasa maon yako ni yap kulingana na maada inavyosema?
 
Exactly, kinacho matter ni mapenzi na kujitambua. Wapo wengi wameoa wanawake wasio na watoto, na hao wanawake ni hopeless kabisa.

Ila mlokole, ni wa kuwa naye makini sana. Ukioa mwanamke mlokole, asilimia kubwa mnakuwa wanaume watatu. Wewe, Yesu na Mchungaji!
 
Acha kuchafua iman za watu mkuu!!! mim nazan tabia mbovu huwa inadepend sana na nature ya mtu na wala sio dini au iman ya mtu.
 
Karibun tena ndugu wachangiaji
 
Furaha ya mwanamke ni watoto. Kuolewa waweza olewa hata uzeeni na usiweze kuzaa na ukaona furaha.
Ndoa siyo watoto jamani.
 
Vp ulimuoa ??
?
 
Mimi bila bikra sioi..sasa sipatii picha kuoa single mom..

Anyway,sio kusudio sana la wanawake kujikuta single moms,na yeyote atakayeoa single mom na wakapendana basi kila la kheri kwao.
 
Huon kuwa hapa tunawapa moyo
Muwapumzishe jamani hawa Single Mothers. Wameshasemangwa vya kutosha humu, tuhamie kwenye kujikinga na Maambukizi ya CORONA
 
Wapo wengi sana walioolewa na ndoa zao zikasimama. Narudia ni wengi mno. Kikubwa muoaji na muolewaji wajiamini na wajue wanachofanya.
 
Wee mbona hujaolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…