Kama uliolewa ukiwa "single mother" na ndoa ikadumu njoo uwape moyo wenzio!

Huu Sasa ndo Ushuhuda Unaotakiwa..!
Jinsi Ya Kuenenda na hali iliyopo.!
Kwanza Kuhakikisha anafuta memory Zote Za Yule 'Mjinga mjinga' Aliyemtelekeza na Kupambana na Maisha.

Kiukweli japo Single Maza Wanashambuliwa Sana Lkn Waowaji Wengi Huwa Wanatamani Saaana Kumpata Mwanamke 'mpambanaji' anayejitambua...!

Na Mwanaume ukifanikiwa Kumpata anayejitambua hlf mpambanaji, Usifanye kosa la Kutomjali Mtoto uliyemkuta.

Mara nyingi Hivyo vitoto Huwa vinarithi roho ngumu Ya Upambanaji na Baadae vinakuwa na nafasi bora.Hapo nawe unakuwa proud kama Sehemu ya Mafanikio.
 
Dah moyo wangu unakataa kabisa, I'm sorry single mothers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…