Kama ulishawahi kumkimbia mwanamke lodge tukutane hapa

Tehtehte,nilimkimbia dem lodge,tulikua tunachat sana insta.na picha zake za insta nying ni kuanzia kifuan,ana sura nzur skatai,..sasa siku ya kumeet,nkamfata had mitaa ya kwao ilikua jion,kabla sjafka kwanza akasema vp,niage home kua sirud?..mmh nkawaza,yaan leo ndo tunakutana mara ya kwanza tuu na hapo hapo unataka mchezo?daah skuzoea mim..nkajib tu poa,sasa nkamfata wakat namsubir aje kwenye gar akawa anakuja ,giza nkawa simwon fresh ila naona kajitu kafup irregular shape,manywele yao mawig maref balaa,akaingia kwenye gar,mikope miref,poda ina haruf kal na perfum kali balaa,..daah sura kajichubua sjui,..daah nilijuta,af alikua na mafua,bas yeye anafuraha kinoma,aisee nkaanza kupanga namwachaje huyu maana nilijua kabsa siwez lala na mtu kama yule kwakwel,..bas nkajifanya nmepigiwa sim ya gafla,nkajiongelesha palee,akanambia daah umeniuz sana,na mi kurud hom siwez bas twende kanilipie lodge we usepe mi ntalala ntarud home,ikabid nifanye hvyo,mi nkasepa zangu home,..yaan sitorudia teena kitu kama hyo
 
Watu wa jf na magari hatari! Hongera kwa kumiliki gari ila kwa awamu hii kunadalili likapakiwa tu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Buguruni nilikamata kalewa chakari kanambia utanitoa ten nikamwambia poa. Tukaingia guest nikamushawa viwili vya fasta ndo kama nimemuongezea ulevi nikachukua ten yngu pamoja na bahasha aliyokuwa kajifungua kwenye kitenge nilijua kuna mkwanja kaifungua bahasha nakutàna na RB ya polisi buguruni
 
Pole sana mkuu,hawa mademu wa mitandao hasa ista ni artificial mkuu,kwa hiyo ukimuona kapendeza kwenye mtandao unasema bonge nyapu kumbe live unaweza ukajuta kumfahamu kama ilivyokutokea
 
Mkuu we kiboko ukapiga shoti(ukachukue uteni wako) na bahasha yake ukaondoka nayo!
 
sijaelewa hapo, ulilipa au ulikimbia bila kulipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…