ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
hawajui kama le empire's ownerKujipa matumaini ni vizuri sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawajui kama le empire's ownerKujipa matumaini ni vizuri sana mkuu
Teh teh hawajui ze duduhawajui kama le empire's owner
Angetafutia jf.Si alikuwa kibiashara lazima akukomoe sidhani kwa mpenzi wako anayekupenda na kukujal atakufanyia hizo mambo
Maji ya kizidi unga hata wa mkoani huwa wanatimua mbioWanaume wa Darisalama mnakimbia mabint guest!?
Huku kila member ana drive Hawa inabidi high classified techniqueAngetafutia jf.
Watu wa jf na magari hatari! Hongera kwa kumiliki gari ila kwa awamu hii kunadalili likapakiwa tu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Tehtehte,nilimkimbia dem lodge,tulikua tunachat sana insta.na picha zake za insta nying ni kuanzia kifuan,ana sura nzur skatai,..sasa siku ya kumeet,nkamfata had mitaa ya kwao ilikua jion,kabla sjafka kwanza akasema vp,niage home kua sirud?..mmh nkawaza,yaan leo ndo tunakutana mara ya kwanza tuu na hapo hapo unataka mchezo?daah skuzoea mim..nkajib tu poa,sasa nkamfata wakat namsubir aje kwenye gar akawa anakuja ,giza nkawa simwon fresh ila naona kajitu kafup irregular shape,manywele yao mawig maref balaa,akaingia kwenye gar,mikope miref,poda ina haruf kal na perfum kali balaa,..daah sura kajichubua sjui,..daah nilijuta,af alikua na mafua,bas yeye anafuraha kinoma,aisee nkaanza kupanga namwachaje huyu maana nilijua kabsa siwez lala na mtu kama yule kwakwel,..bas nkajifanya nmepigiwa sim ya gafla,nkajiongelesha palee,akanambia daah umeniuz sana,na mi kurud hom siwez bas twende kanilipie lodge we usepe mi ntalala ntarud home,ikabid nifanye hvyo,mi nkasepa zangu home,..yaan sitorudia teena kitu kama hyo
Pole sana mkuu,hawa mademu wa mitandao hasa ista ni artificial mkuu,kwa hiyo ukimuona kapendeza kwenye mtandao unasema bonge nyapu kumbe live unaweza ukajuta kumfahamu kama ilivyokutokeaTehtehte,nilimkimbia dem lodge,tulikua tunachat sana insta.na picha zake za insta nying ni kuanzia kifuan,ana sura nzur skatai,..sasa siku ya kumeet,nkamfata had mitaa ya kwao ilikua jion,kabla sjafka kwanza akasema vp,niage home kua sirud?..mmh nkawaza,yaan leo ndo tunakutana mara ya kwanza tuu na hapo hapo unataka mchezo?daah skuzoea mim..nkajib tu poa,sasa nkamfata wakat namsubir aje kwenye gar akawa anakuja ,giza nkawa simwon fresh ila naona kajitu kafup irregular shape,manywele yao mawig maref balaa,akaingia kwenye gar,mikope miref,poda ina haruf kal na perfum kali balaa,..daah sura kajichubua sjui,..daah nilijuta,af alikua na mafua,bas yeye anafuraha kinoma,aisee nkaanza kupanga namwachaje huyu maana nilijua kabsa siwez lala na mtu kama yule kwakwel,..bas nkajifanya nmepigiwa sim ya gafla,nkajiongelesha palee,akanambia daah umeniuz sana,na mi kurud hom siwez bas twende kanilipie lodge we usepe mi ntalala ntarud home,ikabid nifanye hvyo,mi nkasepa zangu home,..yaan sitorudia teena kitu kama hyo
Mkuu we kiboko ukapiga shoti(ukachukue uteni wako) na bahasha yake ukaondoka nayo!Buguruni nilikamata kalewa chakari kanambia utanitoa ten nikamwambia poa. Tukaingia guest nikamushawa viwili vya fasta ndo kama nimemuongezea ulevi nikachukua ten yngu pamoja na bahasha aliyokuwa kajifungua kwenye kitenge nilijua kuna mkwanja kaifungua bahasha nakutàna na RB ya polisi buguruni
Ile bahasha nilijua siwezi kosa chochoteMkuu we kiboko ukapiga shoti(ukachukue uteni wako) na bahasha yake ukaondoka nayo!
Ukaambulia Rb mkuuIle bahasha nilijua siwezi kosa chochote
Nilihama kupita mitaa hiyo nikijua atakuwa na RB inayonihusuUkaambulia Rb mkuu
sijaelewa hapo, ulilipa au ulikimbia bila kulipa."weekend mmoja nimepiga mpunga wangu wazali,nikaona siyo mbaya nimtafute mrembo mmoja tukasaidiane matumizi.basi Kuna binti mmoja jirani nilikuwa na mmendea Sana...kumwendea hewani kitu imooo!tukapanga tukutane kiwanja kimoja tabata.mishale ya jioni mrembo huyo kaupara kweli kweli!basi baada ya makaribishi bidada akanza kuagiza ... Savannah..***** Kama kafungwa filter vile ikienda kirudi empty ndani ya masaa 3 Savannah 12 nikasema yarabi Bei ya Savannah 4000.mpaka mishale ya kulala 160000 ishakwisha asbh akili zinarudi 240000 haipo.nikasema usinitanie ww .....brain ika load ..nikamwambia ngoja niende nje nikaandae mazingira ya supu..eeh eh yani alivyo Nipa mgongo bolt kasingiziwa...kilichofata matusi,shombo kibao..nikasema famili lilahi Bora nusu hasara kuliko hasara kamilii....wewe ilikuaje mpaka ukamuacha mrembo lodge?????
Wakati wengine nyie poa tu....au sio?Ahahhah naona hii mada ya mleta thread anajua wote ndio hao hao