Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa jf na magari hatari! Hongera kwa kumiliki gari ila kwa awamu hii kunadalili likapakiwa tu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Poa vipiiiWakati wengine nyie poa tu....au sio?
Safi....Poa vipiii
Nenda jukwaa la ujasiriamali mkuu, huku tuachie sisi!Kama mitandao mngeitumia kama fursa ya kutafuta jinsi ya kujiinua kichumi vijana wengi wangekua mbali zaidi kuliko mada ambazo hazina faida hata kwa mtoa mada
In swala la muda tu, hata guest house hazijai, ukiwa huna pesa hata kusimama haisimamiNenda jukwaa la ujasiriamali mkuu, huku tuachie sisi!
Hakika.In swala la muda tu, hata guest house hazijai, ukiwa huna pesa hata kusimama haisimami
Mzee kumbe gar ni ishu eeh?skujuaga mim,..mi mwenzio nmeanza kuendesha gar nna miaka 13Watu wa jf na magari hatari! Hongera kwa kumiliki gari ila kwa awamu hii kunadalili likapakiwa tu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ndomana hata hum jf sjawai tongoza dem,siamin kwenye mahusiano na mtu nisiemwona livePole sana mkuu,hawa mademu wa mitandao hasa ista ni artificial mkuu,kwa hiyo ukimuona kapendeza kwenye mtandao unasema bonge nyapu kumbe live unaweza ukajuta kumfahamu kama ilivyokutokea
[emoji121]"weekend mmoja nimepiga mpunga wangu wazali,nikaona siyo mbaya nimtafute mrembo mmoja tukasaidiane matumizi.basi Kuna binti mmoja jirani nilikuwa na mmendea Sana...kumwendea hewani kitu imooo!tukapanga tukutane kiwanja kimoja tabata.mishale ya jioni mrembo huyo kaupara kweli kweli!basi baada ya makaribishi bidada akanza kuagiza ... Savannah..***** Kama kafungwa filter vile ikienda kirudi empty ndani ya masaa 3 Savannah 12 nikasema yarabi Bei ya Savannah 4000.mpaka mishale ya kulala 160000 ishakwisha asbh akili zinarudi 240000 haipo.nikasema usinitanie ww .....brain ika load ..nikamwambia ngoja niende nje nikaandae mazingira ya supu..eeh eh yani alivyo Nipa mgongo bolt kasingiziwa...kilichofata matusi,shombo kibao..nikasema famili lilahi Bora nusu hasara kuliko hasara kamilii....wewe ilikuaje mpaka ukamuacha mrembo lodge?????