Kama umeajiriwa sehemu yoyote shika sana kazi yako hakikisha huipotezi, ukiipoteza utajuta

Sawa
 
Umenena vyema mkuu..

Hakuna mtu namheshimu kama anayenijua since nastruggle na sina kitu[emoji848]

Haya mambo ya kukutana kazini kila mmoja ana mchele wake tujenge urafiki huwa siyaentantain kabisa, koz najua ni unafiki tuu..
Urafiki mwingi wa kazini unakuzwa kutokana na starehe mnazozifanya baada ya kazi na siyo shida ulizonazo nje ya kazi na ndo maana siku ukiikosa hiyo kazi na urafiki unaisha kwakua wanajua huna uwezo wa kumudu gharama za starehe Kama awali na sasa utahitaji msaada wao.

Ni vyema ukipata kazi acha kuiga maisha ya ulio wakuta kazini katika kufanya starehe na utengeneze njia yako ya ku save pesa na kuandaa maisha yako kwa nguvu kubwa Kama vile kesho utafukuzwa kazi na hautakua na wakukusaidia.
 
Absolutely correctly [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Kuwa kivyako tu, mtu asijue ishu zako kabisa
 
Huo ni uoga wa maisha huwezi kufanikiwa kwa kutegemea kazi moja lazima uhangaike kila fursa inayojitokeza mbele yako

Inategemea na kazi ya aina gani tunaongelea mkuu, kazi na mishahara inatofautiana.

Kuna watu kazi zao, kuanzia makazi, bima ya afya, usafiri, ada ya shule watoto na mazagazaga kibao anapatiwa, hapo mamilioni ya mshahara wake uko palepale. Achilia mbali fursa za kupata mikopo taasisi za kibenki ili afanye mambo ya maendeleo, mtu kama huyo ukimwambia ajira hailipi anakutizama tu...hakujibu chochote.

Lakini mwisho wa siku, binafsi, namheshimu kupita maelezo mtu mwenye kuweza kutengeneza kiasi chochote cha pesa kwa kujiajiri au kuwa na biashara yake.
 
Acha kuogopesha watu wewe !

Watu tumepiga chini kazi na tukapata na tukapiga Tena chini kazi!

Maisha hayahitaji huo Uoga ,

Elimisha watu wawe na vyanzo mbalimbali vya mapato ili kujinasua na sio kuwa watumwa na kazi !

Mbona hujazungumzia Kama hizo ofisi ambazo zimewaajiri zitafunga shughuli mtu ataenda wapi?
 
Huyo Jamaa muoga Sana wa maisha.

Unawezaje kuridhika na unyonyaji ?

No human is Limit
 
Ha ha ha unajivuta taratibu mpaka kijiweni ku kill timeπŸ˜…
Amna namna mzee kijua kikizama najirudisha msobe msobe kwa mama watoto.
Hapo unakuta ashatoka kazini na ist kakapark tu anasubiri nije, ndiyo ile ananiona tu no kiss no salamu utasikia anaanza chukua ufunguo kabitini hapo upark gari mi nimechoka eti πŸ˜…

Afu kama amna samaki wa kesho emu washa gari kachukue shika pesa hii hapa unapewa liten unatulia kwa password πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Madhara ya mwanaume kukosa pesa mwezi tu.
 
Heheheheh mbona mkeo mzungu huyo, wengine vilanga kichizi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… atakunyali kwanza ndio akutume mkeo sounds kama ana ku please kabisa!
 
Sikubaliani na wewe. Hujawahi kusikia watu wameacha kazi tena ya misharaha mikubwa wakafanya investment zingine na wakatoboa zaidi?
Wapo akina Speshoz hao ila alipopigwa Pini na Ole Sabaya aliangukia ulevi mmbwa almanusura adate akaanza kunywa pombe zake mwenyewe anazozalisha kiwandani kwake πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…