Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na kaz unatamani siku moja uachane na hio kaz ya manyanyaso na mshahara kidogo ukafanye nzuri.Huwa tunatamani vile tusivyokuwa navyo.
SawaHabari wakuu!!
Huu ni ushauri kwa watu wote waliopo kwenye ajira sehemu mbali mbali serikalini au makampuni binafsi n.k,
Haiijarishi wewe ni polisi, mwanajeshi, Mwalimu, daktari, mhasibu, sekretari, mwandishi wa habari, kiongozi wa kisiasa, Modetator JF n.k hata kama unalipwa elfu moja kwa siku, heshimu sana kazi yako na ipende kama unavyompenda mke wako au watoto wako.
Siku ukipoteza hiyo kazi sio ajabu kujikuta unapoteza na vitu vingine vya muhimu kama vile mke, heshima, marafiki ndugu hata biashara uliyoamua kuianzisha nayo ikafa kifo cha mende,
Hakuna watu wanafiki kama walio maofisini, hakikisha hupotezi kazi baki huko huko na wanafiki wenzio maana siku utakapopoteza kazi hakuna atakayehangaika na wewe hapo ofisini kwako ulipo sasa ama huko utakakokuwa unapereka vyeti na CV zako narudia tena hakuna atakayehangaika na wewe,
Siku ukitaka kujitolea watapokea CV zako ulizotype na kuprint kwa pesa ya msaada kama umezipeleka private watakuambia watakupigia simu na hiyo ndio bye bye, kama ni serikalini hayupo Mkurugenzi, au mkuu yeyote atakayehangaika na makaratasi yako yatawekwa kwenye faili yaungane na barua za wenzako za mwaka juzi ambazo hazijajibiwa,
haijarishi unalipwa laki moja au mbili kwa mwezi, haijarishi unalipwa mamilioni, haijarishi unatembea kwenye gari zuri la serikali au kampuni, nguvu uliyonayo sasa ndiyo inayokufanya uheshimike na kuchangamkiwa unapokwenda kikazi kwenye taasisi zingine,
UMASIKINI HAUNA TOFAUTI NA MAKALIO YA MBWA!
Wasio na kazi au ajira hawajapenda au kutaka wawe hivo bali ni competition kali iliyopo mitaani
kijana kama wewe ni boda boda umeoa unawatoto na unarisha familia heshimu sana hiyo kazi
Mwenye macho na asome kisha atafakari
Nawasilisha.
Kwan mnakuaga hamuweki akibaNa hayo maisha nje ya kuajiriwa ndiyo haya haya ya kuamka hujui utakula wapi
MnooooKuogopa Kufukuzwa Kazi ni uoga wa maisha
Huwa tunatamani vile tusivyokuwa navyo.
Tatizo lipo hapouvivu wa kufikiri na woga ndio unapelekea useme yote hayo na kuiona ajira ndoo kila kitu.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Urafiki mwingi wa kazini unakuzwa kutokana na starehe mnazozifanya baada ya kazi na siyo shida ulizonazo nje ya kazi na ndo maana siku ukiikosa hiyo kazi na urafiki unaisha kwakua wanajua huna uwezo wa kumudu gharama za starehe Kama awali na sasa utahitaji msaada wao.Umenena vyema mkuu..
Hakuna mtu namheshimu kama anayenijua since nastruggle na sina kitu[emoji848]
Haya mambo ya kukutana kazini kila mmoja ana mchele wake tujenge urafiki huwa siyaentantain kabisa, koz najua ni unafiki tuu..
Absolutely correctly [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Urafiki mwingi wa kazini unakuzwa kutokana na starehe mnazozifanya baada ya kazi na siyo shida ulizonazo nje ya kazi na ndo maana siku ukiikosa hiyo kazi na urafiki unaisha kwakua wanajua huna uwezo wa kumudu gharama za starehe Kama awali na sasa utahitaji msaada wao.
Ni vyema ukipata kazi acha kuiga maisha ya ulio wakuta kazini katika kufanya starehe na utengeneze njia yako ya ku save pesa na kuandaa maisha yako kwa nguvu kubwa Kama vile kesho utafukuzwa kazi na hautakua na wakukusaidia.
Anaula siku ngapi?Ushauri mzuri!,nina jamaa yangu yeye akipokea mshahara tu,mpka uishe ndiyo anaonekana tena job...
Absolutely correctly [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kuwa kivyako tu, mtu asijue ishu zako kabisa
Huo ni uoga wa maisha huwezi kufanikiwa kwa kutegemea kazi moja lazima uhangaike kila fursa inayojitokeza mbele yako
Huyo Jamaa muoga Sana wa maisha.Mazingira yanadumaza fikira haswa, watanzania tumedumaa sana, yaani unasema hata kama unapata 3000 kwa siku ambayo haitoshi, inaishia kula tu na wakati mwingne isitoshe, unaishia kukopa mpaka basi lakini bado unashauri mtu asiache aganganie mpaka kufa kwake. Kwani akiamua kupambana na kujiajiri mwenyewe kwa nguvu zote unafikiri hatafanikiwa? uvivu wa kufikiri na woga ndio unapelekea useme yote hayo na kuiona ajira ndoo kila kitu.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Amna namna mzee kijua kikizama najirudisha msobe msobe kwa mama watoto.Ha ha ha unajivuta taratibu mpaka kijiweni ku kill time😅
Heheheheh mbona mkeo mzungu huyo, wengine vilanga kichizi 😅😅😅 atakunyali kwanza ndio akutume mkeo sounds kama ana ku please kabisa!Amna namna mzee kijua kikizama najirudisha msobe msobe kwa mama watoto.
Hapo unakuta ashatoka kazini na ist kakapark tu anasubiri nije, ndiyo ile ananiona tu no kiss no salamu utasikia anaanza chukua ufunguo kabitini hapo upark gari mi nimechoka eti 😅
Afu kama amna samaki wa kesho emu washa gari kachukue shika pesa hii hapa unapewa liten unatulia kwa password 😂😂😂
Madhara ya mwanaume kukosa pesa mwezi tu.
Wapo akina Speshoz hao ila alipopigwa Pini na Ole Sabaya aliangukia ulevi mmbwa almanusura adate akaanza kunywa pombe zake mwenyewe anazozalisha kiwandani kwake 😅😅😅Sikubaliani na wewe. Hujawahi kusikia watu wameacha kazi tena ya misharaha mikubwa wakafanya investment zingine na wakatoboa zaidi?