Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na pesa ambayo haizarishi, utaitumia leo kesho n.k itafikia point itakwisha !!! Utakosa hata mianne ya kupanda dala dalaKwan mnakuaga hamuweki akiba
Hujaelewa maudhui ya thread!!Huo ni uoga wa maisha huwezi kufanikiwa kwa kutegemea kazi moja lazima uhangaike kila fursa inayojitokeza mbele yako
Ni kweli kabisa walimu hawapendani, sijui sababu ni nini?Huu msemo una apply kwenye kada fulani fulani tu hasa serikalini mf waalimu, hawa wakunaga urafiki watumishi wengi wanachukiana sana sijui tatizo nini tofauti na kwetu huku wakili msomi popote nikimkuta ni learned brother au sister na sio kinafiki wala kinyonge natoa support.
Ila nimeshuhudia watumishi wa umma hasa waalimu wakinafikiana wazi wazi
Kwa hiyo ukijiajiri huwezi kwenda kwa utaratibu wa ratiba maalumu??.Kazi zote za kuajiriwa ni utumwa, kwa sababu kila kitu unapangiwa hadi muda wa kwenda na kutoka kazini, inshort hakuna uhuru na akili lazima ilale unawaza mshahara tu na viposho kama vipo
Kwa hiyo ukijiajiri huwezi kwenda kwa utaratibu wa ratiba maalumu??.Kazi zote za kuajiriwa ni utumwa, kwa sababu kila kitu unapangiwa hadi muda wa kwenda na kutoka kazini, inshort hakuna uhuru na akili lazima ilale unawaza mshahara tu na viposho kama vipo
Unaenda kwa utaratibu ila hakuna kufokewa wala kupelekeshwa, wala kumnyenyekea mtu boss ni wewe mwenyeweKwa hiyo ukijiajiri huwezi kwenda kwa utaratibu wa ratiba maalumu??.
Sio kujaribu tu nimefanya na kufanikiwa!!!, Mkopo sio lazima Benki!!!, hapo ndio hua tuna kosea, kuna mkopo unaweza pata hata hapo kazini, kwenye vyama vya shirika hata kwa ndugu na marafiki wenye uwezo!Kwahiyo uliyotuambia hapo juu unayafanya (implement)? Kama unafanya na yameenda kama ulivyokusudia tueleze, ili na sisi tufanye (sio tujaribu), maana nijuavyo mikopo ina masharti, ikiwa ni pamoja na dhamana (nyumba, kiwanja, shamba, nk). Tumeona wengi badala ya kupiga hatua, mikopo imewarudisha nyuma!
Haya tutumie sasa kwenye kazi zako ila utatulipaLook naheshimu mawazo ya wengine sababu najua sisi binadamu tuko tofauti lakini kwangu mimi hakuna cha kusema zaidi ya F being hired.
Considering hakuna kitu nachukia kama kunyenyekea, kupigia watu magoti na kuendeshwa especially by force.
Nilichojifunza kwenye hii thread ni hiki:
Actually sijawahi kuamini wala kujua kwamba kuna loyal employees lakini now nimejua kwamba an employee can be loyal to his/her boss which is good for me sababu nitaweza kuwatumia wao ipasavyo kunifanyia kazi zangu na kukamilisha kazi zangu jinsi ninavyotaka.
Forget "works well with others" instead I make others work well for me.
Look man kwenye huu ulimwengu kuna watu wa aina mbili tu watumikishaji na watumikishwaji.
And I'd rather be the former.
[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38] ukiranga utakuja ita depend ulini treat vipi kipindi una kazi kama ndo ulikuwa mume mbinafsi usojali huo ndo utakuwa Wakati wa kuvuna ulichopanda[emoji28]ila kama tulienda sawa aaaaaah nakusupport 100%Heheheheh mbona mkeo mzungu huyo, wengine vilanga kichizi [emoji28][emoji28][emoji28] atakunyali kwanza ndio akutume mkeo sounds kama ana ku please kabisa!
HakikaHuwezi kuwa mfanyakazi bila kuwa mtumwa
Sasa Kama mtu amefanya kazi miaka 25 Hana Maendeleo yoyote ana tofauti gani na ambae Hana kazi , Tena ukute hata aliejiajiri kampita!Acha hio kazi uone bill zitakavyokupiga mieleka na kuanza kununiwa na wife pale home!
Kuna mtu anatamani hio kazi unayoiita utumwa japo hata apate pa kuamkia asubuhi maana amekuwa kero kwao. Na kuonekana useless kabisa.
Hakuna Kitu huwa nachukia kwenye ajira Kama kunyenyekea, kujipendekeza na unafiki.Unaenda kwa utaratibu ila hakuna kufokewa wala kupelekeshwa, wala kumnyenyekea mtu boss ni wewe mwenyewe
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] for sure mkuu watu ni wezi afu wanajiita mission town ...au wazee wa Ganji (Ma winga) hawa wamejaa k.koo Kila Kona ukiwa unaulizia kitu wanakuwahi na kujifanya kiko store kumbe Hamna lolote ni ujanja ujanja tuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mission town ni wizi ulipachikwa jina lenye staha!
Ni kama vile tu rushwa ilivyopewa jina la ' takrima ' na wana ccm kipindi fulani.
Ukimuona mtu anajinasibu kwa jina la mission town kaa nae mbali futi nyingi sana maana jela ni muda wowote
😅😅😅😅😅😅 msitufanyie hivyo[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38] ukiranga utakuja ita depend ulini treat vipi kipindi una kazi kama ndo ulikuwa mume mbinafsi usojali huo ndo utakuwa Wakati wa kuvuna ulichopanda[emoji28]ila kama tulienda sawa aaaaaah nakusupport 100%
Kama maisha unayaangalia kwenye Angle Moja tuu (AJIRA) Lazima uone yanazidi kuwa magumu ...Na Wala sikushangai kwakua ushakua affected na mfumo wetu wa Elimu .. ambao unatujenga kuwaza kuwa Ajira ndo suluhisho Pekee kitu ambacho sio ukweliKuna kitu hukijui mkuu,
Nitaleta uzi kuelezea,
kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ugumu wa kimaisha ndio unakuwa imara zaidi
just imagine enzi zile form four candidate mwenye division four anahitimu chuo cha ualimu Singida na kupangiwa ajira moja kwa moja bila hata kuaply
Leo hii unaonaje mziki wa ajira
For sure mkuu ...watu badala kuwaza fursa wanawaza ajiraUzi una watu wenye Mindset za Kimasikini Kinoma..