Kama umeajiriwa sehemu yoyote shika sana kazi yako hakikisha huipotezi, ukiipoteza utajuta

Kama umeajiriwa sehemu yoyote shika sana kazi yako hakikisha huipotezi, ukiipoteza utajuta

Ni sahihi kabisa. Usipokuwa na mchongo hakuna atakaye kujali, hata zile simu ulizokuwa ukipigiwa na ndg. na marafiki hautaziona tena.
Ukiwa ndani ni rahisi kupata connection kuliko ukiwa nje.
 
Huu msemo una apply kwenye kada fulani fulani tu hasa serikalini mf waalimu, hawa wakunaga urafiki watumishi wengi wanachukiana sana sijui tatizo nini tofauti na kwetu huku wakili msomi popote nikimkuta ni learned brother au sister na sio kinafiki wala kinyonge natoa support.

Ila nimeshuhudia watumishi wa umma hasa waalimu wakinafikiana wazi wazi
Ni kweli kabisa walimu hawapendani, sijui sababu ni nini?
 
Kwahiyo uliyotuambia hapo juu unayafanya (implement)? Kama unafanya na yameenda kama ulivyokusudia tueleze, ili na sisi tufanye (sio tujaribu), maana nijuavyo mikopo ina masharti, ikiwa ni pamoja na dhamana (nyumba, kiwanja, shamba, nk). Tumeona wengi badala ya kupiga hatua, mikopo imewarudisha nyuma!
Sio kujaribu tu nimefanya na kufanikiwa!!!, Mkopo sio lazima Benki!!!, hapo ndio hua tuna kosea, kuna mkopo unaweza pata hata hapo kazini, kwenye vyama vya shirika hata kwa ndugu na marafiki wenye uwezo!
 
Look naheshimu mawazo ya wengine sababu najua sisi binadamu tuko tofauti lakini kwangu mimi hakuna cha kusema zaidi ya F being hired.
Considering hakuna kitu nachukia kama kunyenyekea, kupigia watu magoti na kuendeshwa especially by force.

Nilichojifunza kwenye hii thread ni hiki:
Actually sijawahi kuamini wala kujua kwamba kuna loyal employees lakini now nimejua kwamba an employee can be loyal to his/her boss which is good for me sababu nitaweza kuwatumia wao ipasavyo kunifanyia kazi zangu na kukamilisha kazi zangu jinsi ninavyotaka.
Forget "works well with others" instead I make others work well for me.

Look man kwenye huu ulimwengu kuna watu wa aina mbili tu watumikishaji na watumikishwaji.

And I'd rather be the former.
 
Haya tutumie sasa kwenye kazi zako ila utatulipa
 
Heheheheh mbona mkeo mzungu huyo, wengine vilanga kichizi [emoji28][emoji28][emoji28] atakunyali kwanza ndio akutume mkeo sounds kama ana ku please kabisa!
[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38] ukiranga utakuja ita depend ulini treat vipi kipindi una kazi kama ndo ulikuwa mume mbinafsi usojali huo ndo utakuwa Wakati wa kuvuna ulichopanda[emoji28]ila kama tulienda sawa aaaaaah nakusupport 100%
 
Acha hio kazi uone bill zitakavyokupiga mieleka na kuanza kununiwa na wife pale home!

Kuna mtu anatamani hio kazi unayoiita utumwa japo hata apate pa kuamkia asubuhi maana amekuwa kero kwao. Na kuonekana useless kabisa.
Sasa Kama mtu amefanya kazi miaka 25 Hana Maendeleo yoyote ana tofauti gani na ambae Hana kazi , Tena ukute hata aliejiajiri kampita!

TANZANIA tuna uoga Sana wa maisha na hii inatokana na raia kukosa exposure ya kutoka nje. Watanzania hawatembei nje na hawana exposure ya nje. Laiti watu wangekuwa nayo huwezi kukaa kwenye kazi moja miaka zaidi ya 10 huoni matokeo chanya na bado usichukue hatua!

Mimi nimewahi kuacha kazi Mara kadhaa kutokana na maslah mabaya na bado Mungu ananisaidi!

Uoga (UNKNOWN FEAR) Ni Kitu kibaya saaaana kwa watanzania. Mtu anaogopa Kitu hata hakijui!
 
Mission town ni wizi ulipachikwa jina lenye staha!

Ni kama vile tu rushwa ilivyopewa jina la ' takrima ' na wana ccm kipindi fulani.

Ukimuona mtu anajinasibu kwa jina la mission town kaa nae mbali futi nyingi sana maana jela ni muda wowote
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] for sure mkuu watu ni wezi afu wanajiita mission town ...au wazee wa Ganji (Ma winga) hawa wamejaa k.koo Kila Kona ukiwa unaulizia kitu wanakuwahi na kujifanya kiko store kumbe Hamna lolote ni ujanja ujanja tuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38] ukiranga utakuja ita depend ulini treat vipi kipindi una kazi kama ndo ulikuwa mume mbinafsi usojali huo ndo utakuwa Wakati wa kuvuna ulichopanda[emoji28]ila kama tulienda sawa aaaaaah nakusupport 100%
😅😅😅😅😅😅 msitufanyie hivyo
 
Kuna kitu hukijui mkuu,
Nitaleta uzi kuelezea,

kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ugumu wa kimaisha ndio unakuwa imara zaidi

just imagine enzi zile form four candidate mwenye division four anahitimu chuo cha ualimu Singida na kupangiwa ajira moja kwa moja bila hata kuaply

Leo hii unaonaje mziki wa ajira
Kama maisha unayaangalia kwenye Angle Moja tuu (AJIRA) Lazima uone yanazidi kuwa magumu ...Na Wala sikushangai kwakua ushakua affected na mfumo wetu wa Elimu .. ambao unatujenga kuwaza kuwa Ajira ndo suluhisho Pekee kitu ambacho sio ukweli

Ila amini nakuambia kwa Sasa maisha ndo yanazidi kuwa marahisi .kama utaruhusu Akili yako kujifunza Elimu ya mtaa zaidi ..kuna fursa nyingi za kufanya kama kweli uko tayari kwenda sambamba na ulimwengu huu ....Yan ukuaji wote huu wa Technology ...pamoja na issue za social network ...useme maisha yamezid kuwa tight ...

Hebu badili mind set yako ..usiwaze Ajira waza fursa zilizombele yako katika Dunia ya Leo kutokana na mabadiliko ya Technology ... utaona Tofauti kubwa Sana

Siku hz mtu anaweza akaanzisha page Instagram akawa anafanya promotion ya vitu na vikawa vinaonekana ndani na nje ya nchi na akapata wateja ....unasema sahv Maisha ni magumu compare na Miaka ya nyuma??

Mkuu ukiishi kwa kuhofia kazi tuu huwez kutoka kwenye kifungo Cha kumtumikia boss wako maisha yako yote

Ajira zisiwe ndo chanzo Pekee Cha mapato

Turuhusu Akili zetu ziwaze zaidi fursa kuliko kuwaza Ajira .....
 
Back
Top Bottom