Mwanamke hatakiwi ajue kama umemzimikia sana, hatakiwi ajue kwamba eti mkiachana utakosa raha, akigindua hivo atakusumbua sana, mi niliwahi kuwa na mwanamke mmoja hivi Mwanzo ilikua kila akitaka jambo lake namtimizia, Leo anaweza sema Nina shida na kiasi flani Cha pesa ukampa, halafu baada ya siku Moja anataka Tena pesa ingine, ukionyesha kama kumtolea nje ni kama ananza kununua , Yani Leo anaomba laki tano, keshokutwa anaomba laki sita ,Sasa siku Moja akaniambia dada ake ana shida ananiomba nimtumie kilo 8 nikamwambia siko vizuri siwezi kutuma mda huo tulikua mezani tunakula basi baada ya kumwambia hivo akaacha kula akanyanyuka akachukua handbag yake na kuniambia usiku mwema mi naondoka nikamwambia sawa safari njema akasepa ,Sasa alijua nitaanza kumpigia cm na kumbembeleza na kumwambia ok ngoja nitume hiyo pesa, maana mara nyingi sana nilifanya hivo, Sasa safari hii nikasema no, no no it's over nikawa simwitaji Tena, nika block number Zake kila Kona alafu nikatulia sikumpigia wala kumtafuta kwa takribani week tatu, Sasa siku Moja nikaona namba ngeni inanipigia kupokea naona ni yeye, anasema oooh umenisusa halafu umeniblock kumbe hakuwa na upendo kwangu, nikamjibu kiufupi tu nikamwambia may be ni kweli alafu nikakata cm yake na kuzima kabisa, Yani baada ya hapo alitumia nguvu nyingi sana kurudi na tuliporudiana akawa mpole sana lakini nikawa simjali kama zamani, akija gheto kunisubiria Mimi najichelewesha kurudi gheto naweza rudi night kali, alafu morning sana nasepa , nikwamba alibadilika akawa mtu mwema balaa, nikaona zile tabia za zamani za kupenda kula bata kila siku kaacha , maana before alikua hawezi hata kukaa jikoni kupika Yani hata kuchemsha chai ya kunywa mwenyewe hawezi, ila baada ya hapo akawa wife material though baadaye nikamwacha ki design na akaendelea na maisha yake