Kama umechoshwa na Tabia mbovu ya Mwanamke wako , pitia hapa upate suluhisho na Umbadilishe Kirahisi

pole sana mkuu hawa viumbe hawaridhiki. lakini pia wewe ulifanya makosa kumtaftia kazi za maana hivyo na kuipambania Carrier yake.
mwanamke askishika fedha na madaraka makubwa. huna cha kumfanya sahivi hata kama umemwacha hana shida ya kumfanya akutafte au ajutie kukupoteza. njia pekee ni wewe kumsahau na kumfuta kwenye akili yako hapo utakuwa salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimtafutia kwa sababu alikuwa mnyenyekevu saana kwangu na pia nilitaka awe mkombozi wa familia yake

All in All najua mwanangu atafaidika pia
 
Ni story ndefu saana but ngoja nikupe kwa ufupi

Kuna binti niliingia nae kwenye mahusiano tukiwa primary darasa la 5 secondary yeye alifaulia shule ya taarafa (alikuwa na akili saana)
Mm nikaenda shule ya kataa then kuna shemeji yangu akaona kabisa hiyo shule siwezi kufaulu ikabidi anipeleke shule ya kulipia mkoa mwingine

Tukaendelea mahusiano hasa nikiwa narudi home likizo (huyu binti alikuwa ananipenda saana)
Then advance mm nikapangiwa bwiru boys baada ya kumaliza form six nikarudi mkoani kwetu na tukaendelea mapenzi

Muda wa kwenda chuo ulipofika huyu binti alikuwa anataka MD na kwao hakuna hela ikabidi aende education (alipata mkopo 100%)
Mm sikupata mkopo na shemeji yangu akanishauri niende nikasome diploma ya mechanical engineering
So one day before binti hajaenda chuo nikamuomba kibumbu (alikuwa bado ni bikra) baada ya wiki mbili toka tusex na kumtoa bikra akajigundua ni mjamzito

Nikahudumia mimba mpaka mtoto alivyozaliwa (kipindi chote hichi cha mimba hakurudi kwao na hakuwaambia kuwa ana mimba ila aliendelea na chuo)

Mm nilivyomaliza tu chuo shemeji yangu aliupiga mwingi saana nikapata kazi kwenye mamlaka moja chap chap na mzazi mwenzangu yeye baada ya kumaliza hakupata kazi hivyo basi nikawa namuhudumia yeye na kwao kiujumla (so hapa alizidisha unyenyekevu saana)

Kulingana na mamlaka nayofanyia kazi nikajuana na watu mbali mbali kama wafanyabiashara,tiss,walimu,wajeda,polisi,wavuvi N.K
Katika kujuana na watu huko nikawa nimempatia connection ya kazi shule moja ilikuwa wilaya tofauti na kwao na ilikuwa rahisi kumpatia nafasi sababu ya masomo yake (chemistry and physics) hii shule alikuwa analipwa laki nne na bado akawa mnyenyekevu saana kwangu

Baada ya muda wa miezi 9 toka apate kazi kuna mmiliki wa shule nyingine nilifahamiana nae nikamuombea kazi pia akapewa kazi masomo yake yalimbeba plus jinsia hii shule wakawa wanamlipa laki 7 na nusu na baada ya miezi 4 akawa academic (academic wa hii shule aliacha kazi so akateuliwa yeye kushika cheo) lakini bado akawa mnyenyekevu saana kwangu

Hii shule mpya na cheo vikamuweka busy saana mimi nikaona kama anateseka vile alafu malipo laki 7 so nikaanza mchakato wa kumtafutia kazi kwenye mashirika kuna mama mmoja nilikuwa na mfahamu ana cheo kikubwa saana UN nikawa nimemwambia kuhusu kumtafutia nafasi kwenye mashirika
Huyu mama akamtafutia NGOs moja ndogo saana ambayo walikuwa hawana mradi wowote so hapakuwa na malipo (alifanya hivyo makusudi ili apate uzoefu na asibanwe na shule kule)

Baada ya mwaka mmoja Yule mother wa UN akaupiga mwingi mzazi mwenzangu akapata kazi IRC so mshahara ukawa mkubwa plus posho nyingi taizi la kwanza akaenda kupanga nyumba ya laki 6 kwa mwezi (kwa kibondo hii nyumba ni classic saana) taizi la pili akaniambia masuala ya ada ya mtoto nimuachie yeye (alifanya hivi ili ampeleke boarding alijua kabisa siwezi kukubali mtoto wa prepo ll kusoma bweni)

Pigo la mwisho ni hii siku ya siku ya mtoto wa Africa aliniomba ruhusa aende dodoma (Alitaka amlete mtoto kwangu hii ni likizo mtoto yupo ili yeye aende huko dodoma) nikawa nimekataa lkn akamleta kwa nguvu mm natoka kazini namkuta mtoto wangu home

So hichi kitendo kikanipa mashaka saana sababu kwenye hii siku IRC wao hawakuwa na ulazima wa kwenda plus umbali aliutumia kumleta mtoto kibondo to kigoma mjini kwa gari ni masaa 5(kwa kutumia mbinu za majasusi wa jamii forum nikahisi tu hapa kuna kitu)

Mzazi mwenzangu alifika kibondo Jumamosi jioni mm jana jumapili asubuhi nikampeleka mtoto kibondo so nilishinda pale na nilimpekua simu yake nikakuta sms ambazo zinaashilia ngono na ndio sababu kubwa iliyompeleka huko
Mkuu malizia hii story tafadhali imenigusa sana
 
Hawa educated women hiyo mbinu inaweza ikawa ni kuziba tundu la panya na mkate.

Sqizo mwendo wa 50/50 bibie kasoma ana kazi nzuri ana uhakika wa kupata basic needs zote uanze kumletea maneno hayo ya wakati mtimilifu na vitenzi vielezi hakusikilizi unaachwa kwenye mataa
Mwanamke awe na kazi, awe na cheo, awe na Mamlaka , atabaki kuwa mwanamke tu ndo maana wakifika 30+ wanaona sana aibu ya kuwa single wanaleta Uzi humu wa kutaka kuolewa.
Hawezi pingana na nature.
 
Ni story ndefu saana but ngoja nikupe kwa ufupi

Kuna binti niliingia nae kwenye mahusiano tukiwa primary darasa la 5 secondary yeye alifaulia shule ya taarafa (alikuwa na akili saana)
Mm nikaenda shule ya kataa then kuna shemeji yangu akaona kabisa hiyo shule siwezi kufaulu ikabidi anipeleke shule ya kulipia mkoa mwingine

Tukaendelea mahusiano hasa nikiwa narudi home likizo (huyu binti alikuwa ananipenda saana)
Then advance mm nikapangiwa bwiru boys baada ya kumaliza form six nikarudi mkoani kwetu na tukaendelea mapenzi

Muda wa kwenda chuo ulipofika huyu binti alikuwa anataka MD na kwao hakuna hela ikabidi aende education (alipata mkopo 100%)
Mm sikupata mkopo na shemeji yangu akanishauri niende nikasome diploma ya mechanical engineering
So one day before binti hajaenda chuo nikamuomba kibumbu (alikuwa bado ni bikra) baada ya wiki mbili toka tusex na kumtoa bikra akajigundua ni mjamzito

Nikahudumia mimba mpaka mtoto alivyozaliwa (kipindi chote hichi cha mimba hakurudi kwao na hakuwaambia kuwa ana mimba ila aliendelea na chuo)

Mm nilivyomaliza tu chuo shemeji yangu aliupiga mwingi saana nikapata kazi kwenye mamlaka moja chap chap na mzazi mwenzangu yeye baada ya kumaliza hakupata kazi hivyo basi nikawa namuhudumia yeye na kwao kiujumla (so hapa alizidisha unyenyekevu saana)

Kulingana na mamlaka nayofanyia kazi nikajuana na watu mbali mbali kama wafanyabiashara,tiss,walimu,wajeda,polisi,wavuvi N.K
Katika kujuana na watu huko nikawa nimempatia connection ya kazi shule moja ilikuwa wilaya tofauti na kwao na ilikuwa rahisi kumpatia nafasi sababu ya masomo yake (chemistry and physics) hii shule alikuwa analipwa laki nne na bado akawa mnyenyekevu saana kwangu

Baada ya muda wa miezi 9 toka apate kazi kuna mmiliki wa shule nyingine nilifahamiana nae nikamuombea kazi pia akapewa kazi masomo yake yalimbeba plus jinsia hii shule wakawa wanamlipa laki 7 na nusu na baada ya miezi 4 akawa academic (academic wa hii shule aliacha kazi so akateuliwa yeye kushika cheo) lakini bado akawa mnyenyekevu saana kwangu

Hii shule mpya na cheo vikamuweka busy saana mimi nikaona kama anateseka vile alafu malipo laki 7 so nikaanza mchakato wa kumtafutia kazi kwenye mashirika kuna mama mmoja nilikuwa na mfahamu ana cheo kikubwa saana UN nikawa nimemwambia kuhusu kumtafutia nafasi kwenye mashirika
Huyu mama akamtafutia NGOs moja ndogo saana ambayo walikuwa hawana mradi wowote so hapakuwa na malipo (alifanya hivyo makusudi ili apate uzoefu na asibanwe na shule kule)

Baada ya mwaka mmoja Yule mother wa UN akaupiga mwingi mzazi mwenzangu akapata kazi IRC so mshahara ukawa mkubwa plus posho nyingi taizi la kwanza akaenda kupanga nyumba ya laki 6 kwa mwezi (kwa kibondo hii nyumba ni classic saana) taizi la pili akaniambia masuala ya ada ya mtoto nimuachie yeye (alifanya hivi ili ampeleke boarding alijua kabisa siwezi kukubali mtoto wa prepo ll kusoma bweni)

Pigo la mwisho ni hii siku ya siku ya mtoto wa Africa aliniomba ruhusa aende dodoma (Alitaka amlete mtoto kwangu hii ni likizo mtoto yupo ili yeye aende huko dodoma) nikawa nimekataa lkn akamleta kwa nguvu mm natoka kazini namkuta mtoto wangu home

So hichi kitendo kikanipa mashaka saana sababu kwenye hii siku IRC wao hawakuwa na ulazima wa kwenda plus umbali aliutumia kumleta mtoto kibondo to kigoma mjini kwa gari ni masaa 5(kwa kutumia mbinu za majasusi wa jamii forum nikahisi tu hapa kuna kitu)

Mzazi mwenzangu alifika kibondo Jumamosi jioni mm jana jumapili asubuhi nikampeleka mtoto kibondo so nilishinda pale na nilimpekua simu yake nikakuta sms ambazo zinaashilia ngono na ndio sababu kubwa iliyompeleka huko
Usimtafutie kazi mwanamke MKEO au Mzazi mwenzio .

Mtafutie Biashara ambayo wewe utabaki kua Boss.

Kama anataka kazi, Wacha ajihangaikie mwenyewe kuitafuta.

Ona Sasa !!.

Sema nn, kikubwa umezaa naye, Haina shida.
 
Kwa kizazi hiki akizingua nkalie tu kmy kama mmekwazana nyumban toka kdg alafu badae ukirud ile mada uliyoiacha usiiendeleze maana ukimya ni adhabu kubwa ya akili ya mtu
 
Papuchi yako haina ladha na wewe mwenyeeew kiburi yni hadi nyumba siitamani ni vile tu sina mbadala maana nakupenda mpka nashindwa kufanya uaumuzi
Unachanganya chimvi na sukari ye ataskia kimoja sasa😁😁😁
 
mbaya, huridhiki nae, kitandani hawezi mambo, chakula chake kibaya, mchafu, ananuka nk.
Ila sio njia nzuri japo wanaume wengi wenye inferiority complex hufanya sana ili kujilinda, na mengi huwa ni ya uongo tu.
Ukweli.

Wengi wenye maneno makali wana hiyo inferiority complex. Wanao jikubali hata kwenye story wanachambua kiuhalisia na wapo positive
 
Usimtafutie kazi mwanamke MKEO au Mzazi mwenzio .

Mtafutie Biashara ambayo wewe utabaki kua Boss.

Kama anataka kazi, Wacha ajihangaikie mwenyewe kuitafuta.

Ona Sasa !!.

Sema nn, kikubwa umezaa naye, Haina shida.
Bad enough bado hajagundua kuwa najua usaliti wake
 
Ukitaka mwanamke akuheshimu we mkojoze vizuri tu halafu mpotezee!! Utaisumbua sana akili yake maisha yake yote.

Mwanamke anayekojozwa vizuri huwa ni kama mfano wa mbwa pindi aonapo Chatu. Hawezi kubweka tena.
 
📌📌💉🪒🪒🪒
 
Hii ndo mbinu nayotumia asee na inafanya kazi 100%

Wanakuwa wapole na mara nyingi wao ndo wanakutafuta na kuomba kukazwa
 
Papuchi yako haina ladha na wewe mwenyeeew kiburi yni hadi nyumba siitamani ni vile tu sina mbadala maana nakupenda mpka nashindwa kufanya uaumuzi
Ukimwambia hivi mwanamke lazima akusaliti ili akajihakikishie ni kweli papuchi yake ladha haina

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli.

Wengi wenye maneno makali wana hiyo inferiority complex. Wanao jikubali hata kwenye story wanachambua kiuhalisia na wapo positive
Ndo ivo mkuu nae anajifariji apunguze maumivu ila sasa ndo huwa wanazidisha.
 
Heshima Ndani ya Nyumba huletwa Kwa Mkono wa Chuma tu Hakikisha Mwanamke anakuogopa Zaidi Ya Mungu Full stop.

Maneno matupu Hayana Tofauti Na Matusi ya Nyani Akimtukana Mamba huku yeye akiwa juu ya Mti.

Tena Mwananume unaonyesha makucha yako mapema kabs kipindi cha Mahusiano ili ajue kabsa anadate na Mtu asiyelea upuuzi,

sasa sisi vijana wa siku hizi dem mpo nae kweny Mahusiano ukimkosea tu et unaanz kuomba vimisamaha huku unambembeleza umtoe out huo ulofa ndo unafany Mwanamke akupande kichwani,

Muumba kila Siku anafyatua watoto wakali Kila kukicha wew umekazana na kubembelezan na binadam mmoja mpuuzi.... Nahis hata Shetani anatushangaa kwakweli Tumezidi ulofa vijana.
Kwenye hili Leo mimi nmekosea aise nmemuomba msamaha kwa sms na hajajibu kabisa.... Upuuzi huu
 
Mwanamke hatakiwi ajue kama umemzimikia sana, hatakiwi ajue kwamba eti mkiachana utakosa raha, akigindua hivo atakusumbua sana, mi niliwahi kuwa na mwanamke mmoja hivi Mwanzo ilikua kila akitaka jambo lake namtimizia, Leo anaweza sema Nina shida na kiasi flani Cha pesa ukampa, halafu baada ya siku Moja anataka Tena pesa ingine, ukionyesha kama kumtolea nje ni kama ananza kununua , Yani Leo anaomba laki tano, keshokutwa anaomba laki sita ,Sasa siku Moja akaniambia dada ake ana shida ananiomba nimtumie kilo 8 nikamwambia siko vizuri siwezi kutuma mda huo tulikua mezani tunakula basi baada ya kumwambia hivo akaacha kula akanyanyuka akachukua handbag yake na kuniambia usiku mwema mi naondoka nikamwambia sawa safari njema akasepa ,Sasa alijua nitaanza kumpigia cm na kumbembeleza na kumwambia ok ngoja nitume hiyo pesa, maana mara nyingi sana nilifanya hivo, Sasa safari hii nikasema no, no no it's over nikawa simwitaji Tena, nika block number Zake kila Kona alafu nikatulia sikumpigia wala kumtafuta kwa takribani week tatu, Sasa siku Moja nikaona namba ngeni inanipigia kupokea naona ni yeye, anasema oooh umenisusa halafu umeniblock kumbe hakuwa na upendo kwangu, nikamjibu kiufupi tu nikamwambia may be ni kweli alafu nikakata cm yake na kuzima kabisa, Yani baada ya hapo alitumia nguvu nyingi sana kurudi na tuliporudiana akawa mpole sana lakini nikawa simjali kama zamani, akija gheto kunisubiria Mimi najichelewesha kurudi gheto naweza rudi night kali, alafu morning sana nasepa , nikwamba alibadilika akawa mtu mwema balaa, nikaona zile tabia za zamani za kupenda kula bata kila siku kaacha , maana before alikua hawezi hata kukaa jikoni kupika Yani hata kuchemsha chai ya kunywa mwenyewe hawezi, ila baada ya hapo akawa wife material though baadaye nikamwacha ki design na akaendelea na maisha yake
 
Back
Top Bottom