Kama umeoa Mfanyakazi hizi ni mbinu wanazotumia wakienda ku-cheat

Kama umeoa Mfanyakazi hizi ni mbinu wanazotumia wakienda ku-cheat

Hao ffu kukutoa roho au kukupa kesi ni kugusa tu...heri usepe
Ila huyo ya kumuachia mwanamke kila kitu na mimi kwenda kuishi kwa tabu na maumivu kwa makosa ya mtu mwingine kwangu hapana.

Yeye ndio ataondoka na hilo begi la nguo tu sio mimi.
 
Mazingira ndio yanasababisha. Mwanamke na mwanaume wakikaa peke yao iwe ofisini au pengine basi shetani lazima aingie afanye kazi kirahisi ya vishawishi vya uzinzi.
 
Back
Top Bottom