Kama umeoa Mfanyakazi hizi ni mbinu wanazotumia wakienda ku-cheat

Yaani jitu limalaya halafu unaogopa kuwaambia kwao? Sasa yeye utamuumiza vipi bila kuyamwaga kwao wajue wana litoto malaya?
Ukiwaambia kwao kuwa binti yao ni malaya wewe unaona utakua umekoa nini, mpe vitasa aende kwao watayatatua wenyewe huko
 
Wanaume nao wana matatizo sana. Ukiwa naye pekeeake anakuona una mikosi hutongozwi. Ukitongozwa anakuona malaya.
Sasa sijui wanatakaga nini?
Poleni sana mahangaiko tu ya walimwengu hayana formula
 
Haya mambo hayana formula lakini odd kubwa za kuchapiwa zimelala kwa watu waliiooa watumishi, yaani 60% Huwa ni dhaifu saana so kupigiwa ni kugusa tu.

Imani yangu inaniambia kwamba Mwanamke hawezi kucheat kwa bahati mbaya yaani lazima kuwepo na sababu ya yeye kucheat, lazima atengenezewe ukaribu/mazingira.

Nilikua naperuzi nikavutiwa na hii story nadhani itawafundisha na kupata mwanga.

View attachment 2855892View attachment 2855894View attachment 2855895View attachment 2855896

Kama umeoa Mwanamke Mfanyakazi kwa ajili ya kusaidiana kimaisha, hakuna rangi hutoacha kuiona kwenye hiyo ndoa, oa Mwanamke uliempenda, huku makazini unashangaa tu mke wako kila seminar yupo, trip za kutosha mara dodoma wewe umekaa tu hapo sebuleni shtuka mzee.
""BINADAMU WANA VISA KAMA BUNDI UNAWEZA KUOGELEA ALAFU UKA AMBIWA UNA TIMUA VUMBI""
 
Ukiwaambia kwao kuwa binti yao ni malaya wewe unaona utakua umekoa nini, mpe vitasa aende kwao watayatatua wenyewe huko
Vitasa unaweza ukauwa mzee. Lakini maneno yakifika kwao ataumia balaa. Wanawake wanaumia sana na maneno
 
Haya mambo hayana formula lakini odd kubwa za kuchapiwa zimelala kwa watu waliiooa watumishi, yaani 60% Huwa ni dhaifu saana so kupigiwa ni kugusa tu.

Imani yangu inaniambia kwamba Mwanamke hawezi kucheat kwa bahati mbaya yaani lazima kuwepo na sababu ya yeye kucheat, lazima atengenezewe ukaribu/mazingira.

Nilikua naperuzi nikavutiwa na hii story nadhani itawafundisha na kupata mwanga.

View attachment 2855892View attachment 2855894View attachment 2855895View attachment 2855896

Kama umeoa Mwanamke Mfanyakazi kwa ajili ya kusaidiana kimaisha, hakuna rangi hutoacha kuiona kwenye hiyo ndoa, oa Mwanamke uliempenda, huku makazini unashangaa tu mke wako kila seminar yupo, trip za kutosha mara dodoma wewe umekaa tu hapo sebuleni shtuka mzee.
tofautisha kuoa askari na kuoa mfanyakazi. very different.
 
Kama ww unachepuka amini amini na kwambia na mkeo anachepuka!
Na lazima kuna siku utajua hata kama ndo siku ya mwisho unapelekwa kaburini.
Kifupi malipo ni hapa hapa!!!.
Badilika ili abadilike
 
Back
Top Bottom