Kama umeoa Mfanyakazi hizi ni mbinu wanazotumia wakienda ku-cheat

Kama umeoa Mfanyakazi hizi ni mbinu wanazotumia wakienda ku-cheat

Muwe munawala wake zenu vizuri .kiwasoma na kujua pakuwakalisha chali.. hata aondoke mwaka mzima hautachapiwa. Kuna video calls fanyeni yenu huko muweke muwe marafiki wa michezo bila kuwa kama mapolisi kwa wake zenu.
Hivi unatumia google translator ama? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu wanashinda nae masaa 9 akirudi usiku amechoka ni kulala.

Binadamu wana upendo wa asili kadri wanavyokaa pamoja ndio maana kawaida na uhakika watu wengi 90% their first lovers were their classmate .

Watu wengi wapenzi wao wa kwanza ni watu waliosoma nao kwa kukaa nao darasani mda mrefu inafanya watu wanapendana hata mtaani kama ni majirani.
Yeah huo ndio ukweli, imagine huko makazini wanashinda wote kuanzia asubuhi Hadi jioni kwa mwaka mzima kwanini wasifanye hivyo? Mtu anaka nurse kwanini vijana wasichape?
 
Hakuwahi kuwa wake huyo..
Na inaweza ikawa ndo wale sogea tuishi, most likely hata mahari alikuwa hajatoa.

Mwanamke anaye cheat na anafanya juhudi ujue anakucheat sio wako.

Alifanya maamuzi murua kabisa kujiondokea.
 
Muwe munawala wake zenu vizuri .kiwasoma na kujua pakuwakalisha chali.. hata aondoke mwaka mzima hautachapiwa. Kuna video calls fanyeni yenu huko muweke muwe marafiki wa michezo bila kuwa kama mapolisi kwa wake zenu.
Kucheat hakuna formula ni tabia ya mtu binafsi unaweza kumgonga vizuri na still hakakucheat
 
Muwe munawala wake zenu vizuri .kiwasoma na kujua pakuwakalisha chali.. hata aondoke mwaka mzima hautachapiwa. Kuna video calls fanyeni yenu huko muweke muwe marafiki wa michezo bila kuwa kama mapolisi kwa wake zenu.
Sawa sawa, usicheat tu
 
Haya mambo hayana formula lakini odd kubwa za kuchapiwa zimelala kwa watu waliiooa watumishi, yaani 60% Huwa ni dhaifu saana so kupigiwa ni kugusa tu.
Imani yangu inaniambia kwamba Mwanamke hawezi kucheat kwa bahati mbaya yaani lazima kuwepo na sababu ya yeye kucheat, lazima atengenezewe ukaribu/mazingira.

Nilikua naperuzi nikavutiwa na hii story nadhani itawafundisha na kupata mwanga.

View attachment 2855892View attachment 2855894View attachment 2855895View attachment 2855896
Kama umeoa Mwanamke Mfanyakazi kwa ajili ya kusaidiana kimaisha, hakuna rangi hutoacha kuiona kwenye hiyo ndoa, oa Mwanamke uliempenda, huku makazini unashangaa tu mke wako kila seminar yupo, trip za kutosha mara dodoma wewe umekaa tu hapo sebuleni shtuka mzee.
Wafanyakaz wanakulwa asubuhi anvyoenda kazin au mchana Wakat wa lunch au kwenye kusafir kikaz.
 
Muwe munawala wake zenu vizuri .kiwasoma na kujua pakuwakalisha chali.. hata aondoke mwaka mzima hautachapiwa. Kuna video calls fanyeni yenu huko muweke muwe marafiki wa michezo bila kuwa kama mapolisi kwa wake zenu.
Niliwahi kula mke wa mtu fulani,, baadae nikamuuliza kwann una cheat,?

Akanambiya hajuwi kwann ana mcheat mumewe,,

Wanawake huwa wana cheat bila sababu ya msingi..
 
Back
Top Bottom