Haya mambo hayana formula lakini odd kubwa za kuchapiwa zimelala kwa watu waliiooa watumishi, yaani 60% Huwa ni dhaifu saana so kupigiwa ni kugusa tu.
Imani yangu inaniambia kwamba Mwanamke hawezi kucheat kwa bahati mbaya yaani lazima kuwepo na sababu ya yeye kucheat, lazima atengenezewe ukaribu/mazingira.
Nilikua naperuzi nikavutiwa na hii story nadhani itawafundisha na kupata mwanga.
View attachment 2855892View attachment 2855894View attachment 2855895View attachment 2855896
Kama umeoa Mwanamke Mfanyakazi kwa ajili ya kusaidiana kimaisha, hakuna rangi hutoacha kuiona kwenye hiyo ndoa, oa Mwanamke uliempenda, huku makazini unashangaa tu mke wako kila seminar yupo, trip za kutosha mara dodoma wewe umekaa tu hapo sebuleni shtuka mzee.