Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
- Thread starter
- #101
Jidanganye mzee, Mwanamke kama tabia yake ni kuchepuka hata uwe mchungaji ushinde kanisani atakazwa tu.Kama ww unachepuka amini amini na kwambia na mkeo anachepuka!
Na lazima kuna siku utajua hata kama ndo siku ya mwisho unapelekwa kaburini.
Kifupi malipo ni hapa hapa!!!.
Badilika ili abadilike