o_2 JF-Expert Member Joined Jul 20, 2017 Posts 428 Reaction score 385 Jan 12, 2024 #121 Nifah said: Siku mtakayojua kucheat ni tabia sio kazi mtakuwa mmechelewa sana. Click to expand... Unatumia kinywaji gani laini mama? Nunua hapo naja kulipia.
Nifah said: Siku mtakayojua kucheat ni tabia sio kazi mtakuwa mmechelewa sana. Click to expand... Unatumia kinywaji gani laini mama? Nunua hapo naja kulipia.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 12, 2024 #122 Antonnia said: Kucheat ni tabia ya mtu! Click to expand... Inasikitisha sana...
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,863 Reaction score 19,626 Jan 12, 2024 #123 Hao ffu kukutoa roho au kukupa kesi ni kugusa tu...heri usepe Vishu Mtata said: Ila huyo ya kumuachia mwanamke kila kitu na mimi kwenda kuishi kwa tabu na maumivu kwa makosa ya mtu mwingine kwangu hapana. Yeye ndio ataondoka na hilo begi la nguo tu sio mimi. Click to expand...
Hao ffu kukutoa roho au kukupa kesi ni kugusa tu...heri usepe Vishu Mtata said: Ila huyo ya kumuachia mwanamke kila kitu na mimi kwenda kuishi kwa tabu na maumivu kwa makosa ya mtu mwingine kwangu hapana. Yeye ndio ataondoka na hilo begi la nguo tu sio mimi. Click to expand...
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 3,676 Reaction score 2,621 Jan 12, 2024 #124 Mazingira ndio yanasababisha. Mwanamke na mwanaume wakikaa peke yao iwe ofisini au pengine basi shetani lazima aingie afanye kazi kirahisi ya vishawishi vya uzinzi.
Mazingira ndio yanasababisha. Mwanamke na mwanaume wakikaa peke yao iwe ofisini au pengine basi shetani lazima aingie afanye kazi kirahisi ya vishawishi vya uzinzi.
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Jan 12, 2024 #125 tweenty4seven said: Hao ffu kukutoa roho au kukupa kesi ni kugusa tu...heri usepe Click to expand... Ntasepa ila na vitu vyangu, hasira za kupiga na kuua hizo sina. Bora nipe vyangu niuze nikakeshe bar.
tweenty4seven said: Hao ffu kukutoa roho au kukupa kesi ni kugusa tu...heri usepe Click to expand... Ntasepa ila na vitu vyangu, hasira za kupiga na kuua hizo sina. Bora nipe vyangu niuze nikakeshe bar.