Kama umeoa mke mwenye sifa hizi, fukuza kabla mambo hayajaharibika sana

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Kama umeona mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi, basi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:-

1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani?

2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo za ndani (see through clothing). Unadhani anamuonesha nani maungo yake?

3. Ana makolokolo mengi kwenye dressing table yake. Anajiremba kwa ajili ya nani?

4. Anafuga kucha ndefu. Anafuga ili iweje?

Wa nini mke wa aina hii? Tafuta mke mwenye tabia na hulka njema ambaye hana makuu. Akioga anapaka mafuta yake ya mgando huyo anaondoka.

Endelea kushupaza shingo. Unachapiwa!
 
Kabla haujamuoa haukumfanyia uchunguzi na kugundua kiwa ana izo sifa ambazo hauzitaki?
 
Kwani ulimkutaje mkuu,
Kama ndio yalikuwa ni maisha yake na ukaamua kumuoa kwa kuhisi unaweza kumbadilisha. Alaumiwe nani sasa hapo
Vijana ni wapumbavu sana, wana msemo wao wa kuhalalisha red flags za .wanamke eti wanasema mapenzi hayana formula.

When we tell them judge a woman harshly based on her past they think we are joking.

Whatever you torelate while dating will multiply 10x in marriage. Marriage doesn't fix disfunction, it reveals it all.

Marry reality and not potential
 
Wa nini mke wa aina hii? Tafuta mke mwenye tabia na hulka njema ambaye hana makuu. Akioga anapaka mafuta yake ya mgando huyo anaondoka.
Mkuu hawa wenye tabia njema wengi wao huwa hawavutii kwa kuwatazama machoni, Vijana wanataka fahari ya macho.

Nawashauri vijana wakubaliane na matokeo ya uchaguzi wao ili kuepusha milio ya mara kwa mara humu jukwaani.

Nasisitiza tena hasa kwa wale ambao huwa wanajiona spesho sana, yaani wao wanajiona wanaweza date malaya na wakambadilisha. Mkichagua njia hizo basi mfahamu pia na namna ya kudili nazo.

Be a Man, Mwanaume siku zote unafaa kujua unahitaji nini, kwa wakati gani, ufanye nini ili upate na namna ya kutunza ukishapata.
 
Unaoaje mwanamke anavaa wigi? anavaa rasta?
mwanamke anavaa suruali nguo za kubana halafu fupi?

Unaoaje mwanamke anapaka mkorogo anaji makeup daily? ili iweje?
Mwanamke haumwi macho ila kutwa kubadirisha miwani ili amtazame nani?
Hivi taaliban mnawaona wajinga sio?

Vijana mna akili sawasawa lakini?
 
Mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:-

1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani?

2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo za ndani (see through clothing). Unadhani anamuoneaha nani maungo yake?

3. Ana makolokolo mengi kwenye dressing table yake. Anajiremba kwa ajili ya nani?

4. Anafuga kucha ndefu. Anafuga ili iweje?

Wa nini mke wa aina hii? Tafuta mke mwenye tabia na hulka njema ambaye hana makuu. Akioga anapaka mafuta yake ya mgando huyo anaondoka.

Endelea kushupaza shingo. Unachapiwa!
Hamna mwanaune tz hii ambaye hachapiwi mke au mwanamke bro usinidanganye.
Sehemu peke mke wako yupo salama ni afghanistan tuu. Bongo hii watu tunashare mbusush vizuri tuu
 
Wewe mbona nongwa ..............akifanya hayo na wewe jitoe ufahamu ..........Pakia mkongo huyo mtu mpaka damu zimtoke si anajifanya yeye kenge.........asikii mpaka damu zitoke sikioni
 
  • Kicheko
Reactions: G4N
Mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:-

1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani?

2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo za ndani (see through clothing). Unadhani anamuoneaha nani maungo yake?

3. Ana makolokolo mengi kwenye dressing table yake. Anajiremba kwa ajili ya nani?

4. Anafuga kucha ndefu. Anafuga ili iweje?

Wa nini mke wa aina hii? Tafuta mke mwenye tabia na hulka njema ambaye hana makuu. Akioga anapaka mafuta yake ya mgando huyo anaondoka.

Endelea kushupaza shingo. Unachapiwa!
Bora ujasema nguo fupi japo umesema kuonyesha maungo 😁mke lazima apendeze kama ana mguu mzuri uonekane ni pambo la nchi mbona nyumba zetu tunapenda zionekana uzuri wake na magari mazuri tunapenda yaonekane kwa wengine pia
 
  • Mshangao
Reactions: G4N
Mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:-

1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani?

2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo za ndani (see through clothing). Unadhani anamuoneaha nani maungo yake?

3. Ana makolokolo mengi kwenye dressing table yake. Anajiremba kwa ajili ya nani?

4. Anafuga kucha ndefu. Anafuga ili iweje?

Wa nini mke wa aina hii? Tafuta mke mwenye tabia na hulka njema ambaye hana makuu. Akioga anapaka mafuta yake ya mgando huyo anaondoka.

Endelea kushupaza shingo. Unachapiwa!
mke akivaa nguo za kubana ndani Haina tabu, si anamvalia mumewe!?. Kutembea nazo ndo shida
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:-

1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani?

2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo za ndani (see through clothing). Unadhani anamuoneaha nani maungo yake?

3. Ana makolokolo mengi kwenye dressing table yake. Anajiremba kwa ajili ya nani?

4. Anafuga kucha ndefu. Anafuga ili iweje?

Wa nini mke wa aina hii? Tafuta mke mwenye tabia na hulka njema ambaye hana makuu. Akioga anapaka mafuta yake ya mgando huyo anaondoka.

Endelea kushupaza shingo. Unachapiwa!
Jambo usilolielewa ni kuwa, wanawake ni binadamu bidhaa, wanaenda na upepo wa wateja wao, mmoja wapo ukiwa ni wewe.

Hayo yote uliyoyasema wanafanya, kwa sasa hawayafanyi.

Na yale uliyosema hawayafanyi, ndiyo sasa wanayafanya:
mwanamke hasuki, ananyoa, paka mafuta ya kumeremeta na hajichubui, mkorogo hautumiwi.

Nguo zake ni za kawaida sana, vitenge tu na madera.

Utasikia wanaume(wateja) wakimsifia: ... 'huyo dem yupo natural' kweli...

Ukimtongoza, hakupatii jibu la papo kwa hapo, anakupiga kalenda, pia hapandishi sauti wakati ukiongea naye, anaangalia tu chini huku akikata kucha kwa meno.

Na siku ya kufuata jibu, atakwambia anaogopa sababu hayajui mambo hayo, bado ni bikira.

Wanaume walivyo kama mambwa, akipewa jibu la namna hiyo atachanganyikiwa na kuanza vishawishi vya kufukuzia kwa nguvu kubwa ili tu kumuwini kigori kwa gharama zozote zile, hata iwe kwa kujifirisi.

Na kweli akikaza uzi atakubaliwa na kwenda kukikuta kitu kipo sealed lakini ile sealed fake kulaleki.

Ndivyo wanawake malaya wanavyoigiza na kujipandisha thamani kwa kuangalia wateja wao wanataka nini.

Wewe utamuona mpole, kajituliza na ni bikra, kumbe sifa zote hizo si zake , ni za bandia za kutafutia soko, kiuhalisia ni malaya la kutupwa.
 
Back
Top Bottom