Kama umeoa mke mwenye sifa hizi, fukuza kabla mambo hayajaharibika sana

Kama umeona mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi, basi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:-

1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani?

2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo za ndani (see through clothing). Unadhani anamuonesha nani maungo yake?

3. Ana makolokolo mengi kwenye dressing table yake. Anajiremba kwa ajili ya nani?

4. Anafuga kucha ndefu. Anafuga ili iweje?

Wa nini mke wa aina hii? Tafuta mke mwenye tabia na hulka njema ambaye hana makuu. Akioga anapaka mafuta yake ya mgando huyo anaondoka.

Endelea kushupaza shingo. Unachapiwa!
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Vijana ni wapumbavu sana, wana msemo wao wa kuhalalisha red flags za .wanamke eti wanasema mapenzi hayana formula.

When we tell them judge a woman harshly based on her past they think we are joking.

Whatever you torelate while dating will multiply 10x in marriage. Marriage doesn't fix disfunction, it reveals it all.

Marry reality and not potential
Ni kweli mkuu, unaemuona kabla ya ndoa ndiye yeye halisi maana kama angeona anastahili kubadilika kwa ajili yako angefanya hivyo kabla ya ndoa. Ila kuitumia ndoa kama kigezo cha mabadiliko kwa mtu ambaye haoni thamani au umuhimu wako ni kujipa false hopes
 
Mm ninachojua ulivyotaja ni urembo wa kumfanya mwanamke au binti yeyote apendeze zaidi ....... au kumfanya avutie zaidi ya alivyokuwa mwanzo.....

Pili, kuhusu wanawake wanaovaa wigs, kope, sijui kucha unataka kusema wasivae kisa wewe umetaka ?

Hujui hizo wigs, kope, kucha, makeup ni biashara ambazo zinaingizia watu vipato ?

Na jee ukiwa kama mwanaume kwani kama hutaki mkeo asivae urembo wowote unashindwa kumwambia

Mimi at least apendeze japo inategemea anaenda sehemu gani lakini sioni ubaya wa hivyo vitu sana sana Kucha sizikubali hasa zikiwa ndefu.... Lakini kila mtu mwache atumie uhuru alio nao
 
Mm ninachojua ulivyotaja ni urembo wa kumfanya mwanamke au binti yeyote apendeze zaidi ....... au kumfanya avutie zaidi ya alivyokuwa mwanzo.....
Avutie na amvute nani wakati kishaolewa??
 
Kama umeona mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi, basi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:-

1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani?

2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo za ndani (see through clothing). Unadhani anamuonesha nani maungo yake?

3. Ana makolokolo mengi kwenye dressing table yake. Anajiremba kwa ajili ya nani?

4. Anafuga kucha ndefu. Anafuga ili iweje?

Wa nini mke wa aina hii? Tafuta mke mwenye tabia na hulka njema ambaye hana makuu. Akioga anapaka mafuta yake ya mgando huyo anaondoka.

Endelea kushupaza shingo. Unachapiwa!
5. Ana Tattoo
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Hamna mwanaune tz hii ambaye hachapiwi mke au mwanamke bro usinidanganye.
Sehemu peke mke wako yupo salama ni afghanistan tuu. Bongo hii watu tunashare mbusush vizuri tuu
Mmmh nimecheka....Afghanistan tena si kuna wale mataleban wanajichaguliaga wanae mtaka
 
Wale hawagegedi hovyo hovyo.
Kwanza kule mwanamke akisismama pembeni na mwanaume ambaye sio mume wake wnamla kichwa.

Huku mishangazi mipaja matiti nje nje tuu kazi kudindisha vibamia vyetu
 
Kama umeona mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi, basi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:-

1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani?

2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo za ndani (see through clothing). Unadhani anamuonesha nani maungo yake?

3. Ana makolokolo mengi kwenye dressing table yake. Anajiremba kwa ajili ya nani?

4. Anafuga kucha ndefu. Anafuga ili iweje?

Wa nini mke wa aina hii? Tafuta mke mwenye tabia na hulka njema ambaye hana makuu. Akioga anapaka mafuta yake ya mgando huyo anaondoka.

Endelea kushupaza shingo. Unachapiwa!
Kwa hiyo no.3 hakuna atakayebaki kwenye ndoa...
 
Kwa hiyo Brazillian yangu niitupe?we kaka wewe?unajua nimenunua bei ya kiwanja Fokayosi 20×20
 
  • Kicheko
Reactions: G4N
Back
Top Bottom