Kama umeoa mke mwenye sifa hizi, fukuza kabla mambo hayajaharibika sana

Kama umeoa mke mwenye sifa hizi, fukuza kabla mambo hayajaharibika sana

Unaoaje mwanamke anavaa wigi? anavaa rasta?
mwanamke anavaa suruali nguo za kubana halafu fupi?

Unaoaje mwanamke anapaka mkorogo anaji makeup daily? ili iweje?
Mwanamke haumwi macho ila kutwa kubadirisha miwani ili amtazame nani?
Hivi taaliban mnawaona wajinga sio?

Vijana mna akili sawasawa lakini?
Mwanaume wa pili ni wewe baada ya mimi G4N
 
Hata akiwa ananyoa denge mzee akiamua kuliwa ataliwa tu
Hivi mwanaume mwenye Akili za hivi uwa ni wanaume kweli au kwa vile hatujuani hivi mwanaume huna wivU unapata wapi ujasiri wa kujitambulisha kwamba we ni wa kiume hivi hamjui vijana kwamba kila kitu kina sehemu yake yaani mkeo akivaa kikaaba kwamba fresh haina shida ila poa hapa ndo duniani.
 
Qc
Mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:-

1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani?

2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo za ndani (see through clothing). Unadhani anamuoneaha nani maungo yake?

3. Ana makolokolo mengi kwenye dressing table yake. Anajiremba kwa ajili ya nani?

4. Anafuga kucha ndefu. Anafuga ili iweje?

Wa nini mke wa aina hii? Tafuta mke mwenye tabia na hulka njema ambaye hana makuu. Akioga anapaka mafuta yake ya mgando huyo anaondoka.

Endelea kushupaza shingo. Unachapiwa
Mtoa Mada ni Mshamba sana LIMBUKENI
 
When we tell them judge a woman harshly based on her past they think we are joking.

Whatever you torelate while dating will multiply 10x in marriage. Marriage doesn't fix disfunction, it reveals it all.
Mwamba kama kawa
 
Hivi mwanaume mwenye Akili za hivi uwa ni wanaume kweli au kwa vile hatujuani hivi mwanaume huna wivU unapata wapi ujasiri wa kujitambulisha kwamba we ni wa kiume hivi hamjui vijana kwamba kila kitu kina sehemu yake yaani mkeo akivaa kikaaba kwamba fresh haina shida ila poa hapa ndo duniani.
Mke wa nani?
Sihitaji na wala sina mpango wa kuoa
 
Unamaanisha wa hivi
 

Attachments

  • Screenshot_20241208_221512.jpg
    Screenshot_20241208_221512.jpg
    341.1 KB · Views: 1
Mtu wa miaka 35+ unampaje mzigo?
Umeelewa swali?
Kama wewe huwezi kuoa mwanamke mwenye tabia za aina hiyo, kwa sababu atakuwa mzigo kwako, huoni utawatesa watoto wako kwa kuwapa mama mzigo, ambao wewe mwenyewe umekataa/umeshindwa kuubeba?
 
Back
Top Bottom