Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Sisi ndoa yetu ni paradiso, tunamshirikisha Mungu kila panapo tokea migongano.
Nakupenda na wewe unanitii..... Sasa lini tutaja gombana love....[emoji45] [emoji45]
Ebu tuwaachage wapambane na ndoano zao....[emoji12] [emoji12]
Umeonaeee
Ila usiku usisahau bae
 
Acha uongo huyo mwanamke miaka 30 bado bikra utampata wapi?! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msg nzuri sana. Watakuja waseme wao ni michepuko wanapendwa zaidi. Ila ukweli utabaki palepale ndoa ina raha na hasa mkijuana vyema. Mm nawaambiaga wadada nyie chepukeni tuu ila ukweli utabaki kua fulani ni mume wa fulani. Halafu mwanamke ulieolewa halafu hujielewi inashangaza ,sasa ww utachukuaje ushauri wa humu ukaufanyia kazi ilihali ni wa kubomoa?? Hebu tufurahi na ndoa zetu Mungu alizotujaalia kwa kweli Asante Mungu kwa kunipa Mume na kupata familia.
 
Hongera sana....
 
Acha uongo huyo mwanamke miaka 30 bado bikra utampata wapi?! [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu inawezekana wakawepo! [emoji4][emoji4][emoji4]!
Kuna Watu wametulia MashaAllah!
Halafu mbaya zaidi wanaume huwa hawawezi kuwatambua !
Wanaume wengi mmm
Mungu anawatu jamani!
 
Mrs Dee. Umenifungua akili.. kumbe stress zote hiz ni sababu hawakupata bahati ya kuolewa.

Mawili. - tabia zao zimekuwa zikiwavutia wanaume ambao hawana malengo. Mwishowe kujikuta wanachezewa na kuachwa.

-kuishi maisha feki all the time.
 
Mwanamke ambaye hajaolewa kabla hata hajakutana na mwanamke mwenye mme tayari (wanamgogoro wa nafsi).

Kama ilivyo mtu mfupi na mrefu kabla hawajakutana wanamgogoro wa nafsi.
Kama kweli hii ni kauli yqko orijinoo na hujacopy sehemu basi unatakiwa upewe cheo cha filosofa.
 
ndo wengi hivyo mi nakwambia...hata ukiwa nazo usimuoneshe kwanza uone kama kweli atataka kuolewa kwa dhati
Leo naona UMEAMUA KUVUNJA BOTI LENU KATIKATI YA BAHARI mugawane mbao...ahahahahhah

SIRI ZA WANA JF WA KIKE ZOOOTE UMEMWAGILIA NJE KUKU NA NJIWA WAFAIDI MTAMA.
 
"Yanini tungule wakati mume majaliwa.....Usije itaka harusi kwa pupa, usijeitaka harusi ukarudi na talaka, usikimbilie mume ukaukondesha moyo....."

hehehe ujumbe murua kabisa kama kisu basi kimegonga mfupa.
Hehehehe umeona eehh mule mule
 
Hivi mbona mtoa mada nikikusoma vizuri kama kuna shida sasa wewe ndio unatoa stress!! Au mimi ndio sijui kusoma katikati ya mistari!!!
 
Kumbe wanatudharau eeh asante kwa taarifa.
 
Hahaha espy njoo unisaidie kucheka huku, eti atakulazimisha tu kuwa una stress, as if waliopo ndoani wote hawajui kitu stress, wanacheka tu maisha yao yote. Wakati maisha ya aina yoyote yale, stress hazikosekani
Mie nilivyosoma hii mada mwanzo niliishia tu kucheka kwakweli.

Wewe jishebedue tu hapo na stress zako za kukosa mume kaone!!! Hebu olewa hukobuwe na heshima kwa jamii na uwe na furaha ya milele ebo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…