Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

..kule twitter unatumia handle gani maana leo nimesoma mambo ya alarm za asubuhi za jamaa si ww?
 
Kizuri mgawane na mwenzio huyu wa humu ndani unae mjua....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bahati hii mkuu, wanaume wenyewe tumebakia wachache kuliko wavulana...[emoji13] [emoji13]
Kugawana sitaki tena mimi labda umuache huyo uliyenaye
 
Kuna manzi mmoja nilimtongoza huku JF alipogundua kuwa mimi ni fukara akaniacha na kuniambia "i can't go on with the broke ass"!!

Mwanangu kumbe fukara? Kama sio ujue kuna siku utakuwa fukara maneno uumba
 
Hamna part nzuri kama ya kusubiriana nani aanze...
Mi akininunia usiku najifanya nipo usingiziiiniii namsogelea nione kama kweli kama atachomoa aaahhhha tunakinukisha asubuhii aaah furaha tele

Wanawake mna makusudi akiona mtu huna habari nae anakugusisha ta.ko hata kama una usingizi unakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…