Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Aah mdogo wangu watuache bwana, yaani hawa walioko kwenye ndoa walitegemea wao tu ndio watakuwa na furaha na sie wengine tutakuwa tuatembea na pichu kichwani sasa anapoona yeye aliyeolewa full stress af aliyeko singo anafurahia maisha inamuuma hatari
Hahha me sitaki kuongea sana leo. Pale ulipoaminishwa kuwa your whole life revolves around marriage, basi unahisi wote ambao hawajaolewa wana shida na kulia kweli kweli, na wewe uliyeolewa ndo umeyapatia na kumaliza maisha.. Uzuri si tunayaona kwa macho bana teh. Ila thamani ya mtu inaanzia ndani yake mwenyewe regardless of his/her status.

Ndoa ni kitu chema sana, ila sio kitu chema pekee kwenye maisha ya mtu, so hata bila ndoa mtu bado ana mambo mema mengi tu ya kumfanya amshukuru Mungu na aishi kwa furaha. Na usimdharau mtu ambaye hajaolewa, coz hata yeye anaweza kuja kuolewa na hata kama asipoolewa bado huna sababu ya kumdharau. So we should live and let live, afu huo muda wa kuchunguza fulani ana furaha au hana kwa sababu hajaolewa, wewe unautoa wapi jamani, na amekushirikisha kuwa hana furaha au ndo wishes zako? Na mtu achague tu anayemtaka, maana akijibebea tu, yeye ndo atakayekuja kulia huko ndoani. Maana siku hizi kama hujaolewa basi watu wanalazimisha tu ubebe yeyote aliye mbele yako, ukikataa tu "ooh anachagua sana", wao hawakuwa na vigezo?
 
Huo ndiyo ukweli mkuu....

Mtu mfupi kabla hajakutana na mrefu tayari kuna mgogoro wa nafsi kati yao.
Yan nlivo mref huwa nna marak wafup tuu, na warefu wenzang ndo wachache tunaznguana, japo wale wafup kabisa hiwa siwez kuwaangalia machoni. Na wapo waref huwa hatuangalian machon kbsaa,. Exmpl, headmaster wang enz hzoooo kiskul
 
Kwa maneno haya kuntu, naomba unifungulie mlango wa mtima wako ili niingie....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Naongeza nini sasa hapa...umemaliza kila kitu. Yaani hata akikuona una furaha bado atakulazimisha kwamba una stress
 
Mkuu.....
Ile I'd yako ya zamani "inayo julikana" mbona hauitumii skuizi...!!??
 
Naongeza nini sasa hapa...umemaliza kila kitu. Yaani hata akikuona una furaha bado atakulazimisha kwamba una stress
Hahaha espy njoo unisaidie kucheka huku, eti atakulazimisha tu kuwa una stress, as if waliopo ndoani wote hawajui kitu stress, wanacheka tu maisha yao yote. Wakati maisha ya aina yoyote yale, stress hazikosekani
 
subiri deadline ziwakute. utakuta wameanza kudandia kila wanayemuona. siku moja tu ya mahusiano wanauliza utanioa lini.
 
Kuna manzi mmoja nilimtongoza huku JF alipogundua kuwa mimi ni fukara akaniacha na kuniambia "i can't go on with the broke ass"!!
Pole sana mkuu.
Lakini alikuwa na [emoji196] [emoji196] [emoji196] ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…