Kama umewahi kufanya kazi Lodge na hujamalizia show (KUFANYA UPONYAJI) huenda huna bahati

Ach
A ujinga pimbi wewe usijifanye unajua kila kitu na u mwema sana.mtoa post yuko sahihi ndo mojawapo ya hali halisi ilivyo ktk lodge.na kupitia uzi wake tumepata maoni chanya mengi tu.
 
Mleta mada ametoa uhalisia uliopo uko kwenye lodge zetu, ila kwakweli hawa wanawake ni mashetani aswaaa mwenendo ndo huu wakulungwa sasa nyie wanaume munao piga kimoja chali nadhani kuna la kujifunza hapa akili kumkichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…