Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OopsSikutegemea kama uzi kama huu utakuwa hewani kwa zaidi ya nusu saa
Labda mods wapo kanisani
Kinyaa kinatoka wapi mtoto mzuri kalegea macho, ameshaoga.
Nani kakuambia nimeoa maku weweHuenda kapita na mke wako kabla hujaoa
A ujinga pimbi wewe usijifanye unajua kila kitu na u mwema sana.mtoa post yuko sahihi ndo mojawapo ya hali halisi ilivyo ktk lodge.na kupitia uzi wake tumepata maoni chanya mengi tu.Ukikaa na Wakenya,Wanyarwanda na Wanaijeria wanasema katika Afrika hakuna Vijana wapumbavu na wasiokuwa na Akili km Watanzania,mfano wake ndio huu.
Hapo anaandika huu upumbavu ndio kamaliza Chuo, anataka wasomaji wajifunze alichokifanya au tuchangie alichokifanya ili tuanze kucheka cheka.
Watanzania tunaishi maisha magumu sana na tunachelewa sana kubadili maisha yetu sababu ya kufanya mambo kimasihara sana,
Nyerere anajialaumu sana huko alipo lakini waliokufa vitani huko Uganda na wao ndio wanalia zaidi,Vijana wa leo ni wapumbavu kabisa