Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

hapo ni hata sijakusoma mkuu!!

yaan mwaka 1992 ndio ushuhuda wako wa kwanza ukiwa unafundisha shule X

halafu ushuhuda wako wa mwisho ni mwaka 2009 ukiwa field liwale wakati huo inasoma chuo cha sauti mtwara

hoja yangu sasa, yaani ulianza kufundisha kabla haujawa mwl?
[emoji477][emoji477][emoji477][emoji477]
 
hapo ni hata sijakusoma mkuu!!

yaan mwaka 1992 ndio ushuhuda wako wa kwanza ukiwa unafundisha shule X

halafu ushuhuda wako wa mwisho ni mwaka 2009 ukiwa field liwale wakati huo inasoma chuo cha sauti mtwara

hoja yangu sasa, yaani ulianza kufundisha kabla haujawa mwl?
mmh
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20220305_115845.jpg


Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
hapo ni hata sijakusoma mkuu!!

yaan mwaka 1992 ndio ushuhuda wako wa kwanza ukiwa unafundisha shule X

halafu ushuhuda wako wa mwisho ni mwaka 2009 ukiwa field liwale wakati huo inasoma chuo cha sauti mtwara

hoja yangu sasa, yaani ulianza kufundisha kabla haujawa mwl?
Kwahyo ukishaajiriwa kama mwalimu hauruhusiwi tena kusoma sio?
 
Kahawa kidogo [emoji23][emoji23][emoji23]

I remember back in the days in the village when i used to trick boda guys..because our house was close to a cemetery.Once i climbed the bike i would stuff my nostrils with cottonwool without him knowing. Then when we got infront of the cemetery i would scare him and he would run for his life! On this fateful day, i boarded the bike as usual and stuffed my nostrils with cottonwool.when we got to the cemetry i scared him but this time he just stared at me.I danced all the ghost songs i know..but he didnt even move.I even spoke pidgin "oga..you no dey fear ghost!?" nothing happened.He got up and held my shirt "nipatie pesa zangu mjinga ii" I begged the guy to calm down and let me get it for him..i went into the cemetry as he held my shirt and followed me.As i was walking..i jokingly knelt down on a grave and knocked on it "Habari..nsaidie na 200 nipatie hii ghasia iniachilie" i thought this would scare the guy..but nothing! kidogo kidogo a hand stretched out from the grave holding 200/- note "chukua hii na unirudishie ukipata" My brothers and sisters..to date..i still dont know who carried who between me and the bikeman out of that cemetry.ile kitu nakumbuka tu ni nilijipata juu ya pikipiki at a neighbouring town.As for the bikeman sijui alienda wapi..i still have the bike parked at home [emoji23][emoji23].whenever i pass by that place,i always see my one pair of gucci shoe that fell off as i was running [emoji23].It is not that i cannot go and get it oooo...just that i dont like gucci stuff anymore.Infact..i dont like shoes again!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Happy 2020 Fam!!

Sent using Jamii Forums mobile app
My ribs [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Miaka ya nyuma nilienda Mafia Island kwa Babu yangu.
Basi nilienda na Redio ya kuchaji kwa kuzungusha kama unapandisha Kioo ktk Gali kubwa.yaani unapo zungusha ndio linajichaji nazani ushapata picha.
Basi ikawa nikilala Usiku naliwasha kwa sauti kubwa mwenyewe nalala.
Kumbe kuna wazee majilani walikua nawakera Usiku, Wakamwambia Babu asubuhi.
Babu akanielezea alichoambiwa na Wazee wenzake,nikaacha kuweka sauti kubwa nikapunguza sauti.
Ikapita siku kama tatu hivi nikakutana na Bibi mmoja njiani nilivyo msalimia akaitikia alafu akaniuliza wewe ndie unatupigia kelele usiku na Redio yako eee?.
Mzee nikauchuna kimya basi nikaacha kabisa kuwasha Usiku.
Ikapita siku kazaa Mzee nikajisahau nikarudia tena ujinga wangu wa kuwasha Redio tena kwa sauti kubwa nakula zangu ladha za Bongo.
Nilivyo kuja kustuka saa 9 usiku Redio imepunguzwa sauti yaani ule mziki unapigwa lakini mwimbaji kama sauti imemkauka,nikapotezea nikazima nikilala zangu.
Asubuhi nikachaji Redio yangu basi kila nikibadili Station Mtangazaji sauti imemkauka,nikaweka Kanda za kaseti vilevile .
Ikabidi niipeleke kwa fundi, fundi akaniambia Spika mbovu akaibadilisha ngoma vilevile .
Nikamfuata Babu nikamuelezea yaliyo tokea akasema wale wazee washafanya yao. Basi nikarudi zangu Dar na redio yangu na haikupona tena. Licha ya kufanya juhudi ya kuangaika kwa mafundi
Inakera sana,umelala umepumzika,mtu mwingine anakua siyo mstaarabu,anafungulia redio.Bora walivyokufanyia hivyo.
 
sababu ya kiwasha ganja kabla sijalianza pori la ushirombo.

ilikuwa mwezi wa ramadhani mwaka 2013 mida ya saa 11 jion na siku hiyo kulikuwa na mvua ya rasha rasha, nilikuwa naendesha pulling ya kampuni moja ya mafuta na hilo gari sikuwa nimekabithiwa mimi dereva wake alipata udhuru ambaye pia ni mjomba wangu na kwa kuwa yeye ndiye aliyenifundisha gari akachukua chuma akaja nayo mpaka river side akanikabithi gari yeye akaenda kwenye mambo yake, mimi nikashobokea dundo nikaomba dua mdogomdogo, ikumbukwe hata lesen yangu wakati huo haikuwa ikiruhusu nikokote lile gari ni ubishi tu wa kibongo, basi kufika mji mmoja unaitwa masumbwe ile gari ikaanza mapicha picha inachemsha hatari, nikawa nalikokota hivyo hivyo temp ikishuka safar inaendelea, sasa ktk lile pori chuma ikaanza kuchemka tena, nikashuka chini nikawa naisubiria ipoe niwahi runzewe nikafturu nilikuwa nimefunga ila ni zile funga za masela c unajua tena? sasa nimemaliza kujaza maji nikasema ngoja nichungulie feni nikakuta chuma inataka kuanguka, na pale porin nikaona hapa nikijikokota nafika runzewe, naingia ndani ya gari fresh ile chuma inaanza ondoka dah naona mdada anatokea nyuma ya kitanda, nilistuka nusu niruke sasa akili ingine ikanikatalia kufanya hivyo, nikamuuliza we umeingia saa ngapi humu? huku sasa napaki gari pemben akaniambia ukipaki tu hii gar inawaka moto, ****** alafu mle ndani ya gari harufu imebadilika kuna marashi yanakera ndani ya pua zangu, sasa kuna jambo liliniponza mimi dini yetu inasema wakati wa mwez mtukufu viumbe vya ajabu vinafungiwa huyu katoka wapi? katoroka? nikakumbuka nna ganja tena ishanyongwa nilikuwa nasubiri nifungulie niilipue, ikabidi nifuturu bangi nikapandisha vioo ananiangalia tu ananichekea mm jasho linanitoka na vile sikula tangu asubuhi na mwili nauhisi unaisha nguvu akasema we mtoto usiwashe hayo majani mimi nikabana usukani na goti nikawasha alafu nikampulizia ule moshi, hamkuwepo ila nahisi nilikuwa na malaika maana mle katika cabin ulitanda moshi mzito na kelele ambazo sijui mpaka leo niseme ni za mnyama gani, hapo chuma inatembea maana nilihisi giza likiingia niko ma lile dubwana basi ndio kifochangu baada ya ule moshi kutanda mm nilichochora, chuma ikatoka nje ya barabara lakini nashukuru sikuingia kule kwenye ule msitu, wakati gari imesimama mle ndani moshi umejaa kama cabin inaungua, nikashuka nikaacha mlango wangu wazi ule moshi ukawa unatoka hapo natetemeka sasa nikakimbilia barabarani, chuma nimeiacha kule ktk njia ambayo ilikuwa diversion zaman, nimesimama pale kama dakika kumi hakuna gari hata moja kupita, hapo ganja yangu imebak kikucha, nikasema ngoja niende ktk gari nikaangalie yupo? hapo eneo lile lishaanza kuingiwa na ukimya na giza, narudi kule sikumkuta, hali ipo shwari kabisa, nikaizunguka gari kuikagua kama kuna janga lolote nimesababisha hamna, nikapanda nikaihakiki gar yote na nikaridhia niko mwenyewe chuma ikatoka huyoo mpaka runzewe nimeingia pale kama saa moja na robo sasa kilichonifanya niandike hapa ni hiki wakat nimefika runzewe nikapaki jiran ya mzee mmoja anauza kahawa, maana bado nilikuwa na wasiwasi nilitaka niwahadithie lile tukio nijue yule ni jini ama wenge la lile gari kabla sijashuka namuona yule mwanamke upande wa pili anaomba lifti katika gari ya Azam ambayo inarudi kule kule tulipotoka alaf tayar giza limetanda, nilipiga honi nikamwambia kaka usimpakie huyo mwanamke jini huku nashuka basi yule dada hata sijui alipoteaje lakini baada ya mm kuvuka nikamuambia kaka ungempakia yule mwanamke yangekukuta makubwa ananiuliza mwanamke gani? jaman si huyo ulikuwa unaongea nae hapa anakuomba lift? jamaa akasema yeye hajaongea na mtu katoka kula anaondoka zake nikamwambia basi kaka we lala hapa ondoka asubui hapa leo kuna jinni kisirani sio bure, ndio baada ya kuwahadithia wenyeji wakasema nyie mnabahati sana, kuna mwanamke jinn hapo ktk hilo pori, nikauliza lakin mwezi huu wanafungiwa wenyeji wakaishia kucheka tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Jini kakata minyororo mwezi mtukufu
 
Wakuu habari zenu, ni matumaini yangu kuwa hamjambo.

Leo nataka kuweka ushuhuda wangu kwa niliyoyashuhudia live juu ya nguvu za giza, kwa wasioamini nadhani uzi huu hautakuwa na thamani kwao, kama na wewe unao ushuhuda usisahau kushea nasi.

1. Ushuhuda wangu unaanzia mwaka 1992 nikiwa nafundisha shule X wilaya ya Sengerema, kuna mwalimu nilikuwa nafundisha naye kituo kimoja.

Siku hiyo kuna kamvua kalinyesha sana, baada ya kupungua mwalimu mwenzangu alimuagiza mtoto wake wa kiume aliyekuwa akisoma darasa la kwanza kwenda kuchuma maharage shambani.

Bahati mbaya mtoto akiwa shambani aligongwa/aliumwa na nyoka na kupeleka kifo, tulifanya taratibu za mazishi na kumsitiri mtoto huyo.

Cha kushangaza mwaka 2008 mtoto huyo alionekana akiwa uchi na nywele ndefu sana alikuja moja kwa moja nyumbani na kupitiliza ndani nyumbani kwao, alikuwa ameshakuwa baba mzima, nywele zilikuwa ndefu sana pamoja na mikono iliyofikia usawa wa magoti.

Watu walistaajabu sana lakini hakudumu sana alifariki baada ya kukaa uraiani kwa wiki mbili.

2. Ushuhuda wangu bado unabaki huko huko Sengerema katika kijiji cha Bubandwamhela.

Nikiwa nafundisha shule X, kuna binti kijijini aliyekuwa akisoma darasa la saba aliugua ghafla baada ya kutoka shuleni.

Wazazi wake walipompeleka hospitali daktari aliwaambia mtoto hana ugonjwa, wazazi waliamua kujiongeza na kumpeleka kwa mganga wa jadi.

Cha kushangaza kesho yake shangazi ya binti alikutwa kwa mganga akiwa uchi, huku akiweweseka na akili zimemruka, shangazi mtu alikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi lakini kwa kuwa serikali haiamini ushirikina aliachiwa huru, lakini hadi leo hii alishakuwa chizi. Binti yeye alipona kabisa.

3. Kisa cha tatu na mwisho ni hiki kilichotokea Liwale shule ya sekondari X nikiwa na walimu wenzangu ambao tulikuwa tunasoma chuo cha SAUT-Mtwara.

Tulipangiwa field katika wilaya ya Liwale ilikuwa mwaka 2009, mwanachuo mwenzetu akiwa zamu siku hiyo alikumbana na mtoto ambaye kwao iliaminika kuwa bibi yake alikuwa mtaalamu wa mambo ya giza.

Mwanafunzi huyo alichelewa kufika shule, mwalimu alipotaka kumuadhibu aligoma, wakasumbuana sana mwisho wa siku akamuadhibu yakaisha, jioni tukiwa uwanjani tunafanya mazoezi yule mwanachuo mwenzangu alianguka na kupoteza fahamu, ikawa jumla hadi kifo.

Kama na wewe umewahi kukutana/kushuhudia live ushirikina share nasi kisa chako watu tupate ilimu.

Mungu ni mwema siku zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatare Sanaa hiz mambo
 
Uchawi upo tena sanaaa tu kuna tajiri mkoani njombe jina nahfadhi..
Alitoka dar kununua gari kiusalama zaid akamchukua fundi toka dar kuja nae njombe. Walifka mikumi ghafla gari ikazima hakunA kitu kinachofnya kazi milango haifunguki. Tajir akawa amejua nn kimatokea sasa atafnyaje. Hawez kutoka akaongea na simu njee ikabid ampigie mkewe amwambie apulize chungu cha tatu. Fundi akabaki anashangaa baada ya mda gari ikawaka wakaendelea na safarii yule ndie alitupa hichi kisaaa
[emoji23][emoji23]
 
Vifo asilimia nyingi vya watu husababishwa na watu sio asilia, so wengi huenda kujilinda kwa waganga na hivyo vifo na Yes kuongeza umri wa kuishi, lakini sio zaidi ya ule Mungu alioupanga mwanadamu kuishi (120).

Kuongeza umri namaanisha kinga, hawezi kudhuliwa na vitu vya ajabu ajabu au vifo vya kupangiwa na wanadamu. Utaishi as long as pale Mungu atakapoamua kukuchukuq


Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu Warumi waganga walimuongezea muda wa kuishi lakini akafa kabla yetu
 
Hawa wapumbavu wanaisumbua Jamii sababu Jamii haijui codes zao, ukizijua michezo yao ni SAwa na watoto wa chekechea


Hii nakubali mzee mwenzangu, moja ya code ni kwamba uchawi wa kiswahili hauuwezi uchawi wa kizungu.

Kuna nyumba tulipanga kama group tukiwa tunasoma elimu ya ufundi stadi fani ya umeme miaka ya 2000s

Kumbe bwana ile nyumba dalali alitulengesha kwa kuwa alikuwa na shida ya hela.
Nyumba ilishakuwa abondened miaka kibao kutokana na mauzauza yaliyokuwa yanawatokea watu..

Baada ya kuhamia..
Mara msikie joto mara baridi,mara vyombo vinaangushwa mtu hammuoni,mara hatua za mtu, misonyoo na mengineyo ya kukera bahati nzuri alikuwa haguswi mtu.

Ikumbukwe vituko vyote hivyo ni kwa mchana tu....
Balaa la usiku hasa wakati wa kulala katikati ya usingizi mnaweza kusikia kama watu wanakimbia kwenye bati mwanzo wa nyumba mpaka mwisho kama cherehani rrrrrrraaaaahhhhh.....

Kuna muhuni akatoa wazo la hilo la uchawi wa kizungu, kwamba tuconnect waya wa LIVE wa umeme kwenye bati ukipitia kwenye switch, ya kwamba vishindo vikianza ile rrraaaaaahhh tunawasha..
Assee tukafanikiwa, ila kilichotokea pale kijijini kama wangejua ni sisi wangetula nyama.....
 
Back
Top Bottom