Kama umewekeza kwenye hisa za CRDB toa hela yako mapema. Mporomoko mkali waja

Haya mambo ya hisa waachie WAHALIFU kama akina Wambura ambao wanawekeza mabilioni huko.
 
Kupanda na kushuka ndio hali halisi kuhusiana na hisa.
 
Kwahiyo mkuu mzigo umeweka wap sahv
 
We survived 2008 blackout, 2025 still holding the DIP.....shwaaaa🫡
 
Lazima kuwe na correction never buy high wait for lower price, kipindi cha uchaguzi hisa hushuka investor wengi husecure profits na kusubiri muda mzuri wa kununua so zishaprint all time high wait for correction
Asante mchambuzi, uko nondo naona hata mt4 & 5 unapasua tu hiviii📈📉
 
CRDB Ni wezi nilijuta wamenikata hela jumla ya 23,000 Kwa kile wanaita VAT payable on commission,, commission gani ya Kukata hela siku 15 mfululizo na haieleweki ni za nini?

Hii benki Ina wizi sana najilaumu kuwa mteja wao tena wa Mkopo.

Wizi ndio unazifaidisha benki za Tanzania
 
Usifanye makadirio mkuu. Je supply ikiwa kubwa kuliko demand kitatokea nn? Mara paaap 700 na ukumbuke hiki ni kipindi cha uchaguzi lolote laweza kutokea
Kipindi cha uchaguzi ni very risk...hata huko UTT ni hatar tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…